-
Vijana wengi Wakristo Marekani wachukizwa na jinai za utawala wa Kizayuni
May 26, 2021 02:40Uchunguzi mpya wa maoni unaonesha kuwa, uungaji mkono wa vijana wengi Wakristo nchini Marekani umepungua kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na jinai zake dhidi ya watoto na watu wasio na hatia huko Palestina.
-
Ufaransa yakiri kuhusu utambulisho wa kigaidi wa utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina
May 25, 2021 06:03Jumapili iliyopita Jean-Yves Le Drian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa aliashiria hujuma ya kinyama iliyofanywa karibuni na utawala haramu wa Israel katika miji kadhaa ya Waarabu katika ardhi unazozikalia kwa mabavu na kutahadharisha dhidi ya ubaguzi wa rangi unaotekelezwa na utawala huo dhidi ya Wapalestina.
-
Kufika ukingoni subira ya makundi ya muqawama ya Iraq kuhusu wanajeshi wa Marekani
May 24, 2021 21:47Kituo cha Uratibu wa Makundi ya Muqawama ya Iraq kimetoa taarifa kikisema muhula waliokuwa wamepewa askari vamizi wa Marekani kuondoka Iraq umefika ukingoni na sambamba na hilo kumeshadidishwa oparesheni dhidi ya maeneo waliko magaidi hao wa Marekani nchini Iraq.
-
Axios: Marekani ilikuwa na taarifa kuhusu mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina
May 23, 2021 22:02Tovuti ya habari ya Kimarekani ya Axios imeripoti kuwa, serikali ya Washington ilikuwa na taarifa kitambo nyuma kabla ya kuanza mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya raia wa Wapalestina tarehe 10 mwezi huu wa Mei.
-
Waraka wa siri wavujishwa: Marekani ilikusudia kuishambulia China kwa silaha za nyuklia
May 23, 2021 06:27Waraka wa siri uliotoroshwa kutoka Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) umefichua kwamba, jeshi la Marekani lilitoa pendekezo la kufanya mashambulizi ya anga ya silaha za nyuklia dhidi ya China hapo mwaka 1958 ili kuihami Taiwan mbele ya hujuma yoyote ya majeshi ya utawala wa kikomunisti wa China.
-
Rouhani: Taifa la Iran limeibuka na unshindi katika vita ya kiuchumi
May 23, 2021 06:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa taifa la Iran limeibuka na ushindi katika vita ya kiuchumi.
-
Serikali ya Biden yatakiwa iushinikize utawala wa Saudia uondoe mzingiro dhidi ya Yemen
May 21, 2021 21:58Maseneta kadhaa nchini Marekani wamemuandikia barua Rais Joe Biden wa Marekani na kumtaka aishinikize Saudi Arabia ili iondoe mzingiro dhidi ya Yemen. Waliotia saini mapatano hayo ni maseneta Elizabeth Warren na Bernie Sanders.
-
Onyo kali la China kuhusu chokochoko za Marekani katika eneo la Asia Mashariki
May 21, 2021 06:01Kufuatia kuingia kinyume cha sheria meli ya kivita ya Marekani katika eneo la baharini la China katika Bahari ya Kusini ya China , wakuu wa Beijing wametoa onyo kali kwa Ikulu ya White House kuhusu madhara ya ukiukwaji wa mipaka ya China.
-
Mpango wa wawakilishi wa Kongresi ya Marekani wa kuzuia kuuziwa silaha mpya Israel
May 20, 2021 21:44Kuendelea himaya na uungaji mkono wa kila upande wa Marekani kwa utawala wa dhalimu wa Kizayuni wa Israel licha ya jinai zote unazotenda dhidi ya wananchi wa Palestina hususan mashambulio ya anga na mizinga dhidi ya Ukanda wa Gaza na kuua wakazi wake, ni jambo ambalo limekabiliwa na ukosoaji mkali hata ndani ya Marekani kwenyewe
-
Silaha mpya za Marekani kwa utawala wa Israel; hatua nyingine ya kuendeleza mauaji dhidi ya Wapalestina
May 19, 2021 22:23Sambamba na kufikia kilele jinai za utawala wa kigaidi wa Israel dhidi ya Wapalestina, serikali ya Rais Joe Biden wa Marekani umeamua kuuzia utawala huo silaha mpya na za kisasa kabisa zenye thamani ya dola milioni 735.