-
Zarif: Hakuna udharura wa kufanyika mkutano kati ya Iran na Marekani
Apr 02, 2021 22:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema hakuna mazungumzo yoyote yatakayofanyika baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Marekani juu ya kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, na kwamba hakuna udharura wa kufanyika mkutano baina Tehran na Washington.
-
Kuimarishwa uhusiano wa Venezuela na Russia, jibu muafaka kwa uadui wa Marekani
Apr 02, 2021 22:04Russia na Venezuela zimechukua hatua nyingine ya kuimarisha uhusiano wao kwa kuanzisha kamisheni ya viongozi wa nchi mbili na vile vile kuanzisha kamisheni tano za pamoja za kiufundi.
-
Marekani yarejea kutumia ibara ya "ardhi zinazokaliwa kwa mabavu" huko Ukingo wa Magharibi
Apr 01, 2021 22:18Serikali mpya ya Marekani katika ripoti yake ya kila mwaka imetumia ibara ya "ardhi zinazokaliwa kwa mabavu" huko Ukingo wa Magharibi mwa Mto Jordan; ambapo serikali za kabla yake ziliacha kutumia jina hilo.
-
Kulipwa Marekani na Sudan fidia ya mashambulio katika balozi zake huko Tanzania na Kenya
Apr 01, 2021 21:55Serikali ya Sudan ili iondolewe katika orodha ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani ya mataifa eti yanayounga mkono ugaidi, imeilipa Washington fidia ya mamilioni ya dola katika tukio la kushambuliwa balozi za Marekani huko Tanzania na Kenya.
-
Mgogoro katika uhusiano wa Russia na Marekani
Apr 01, 2021 03:32Balozi wa Russia nchini Marekani amesema kuwa licha ya juhudi kubwa zilizofanywa na Moscow kwa ajili ya kuanzishwa mazungumzo na Washington lakini bado uhusiano wa nchi mbili hizo uko katika mgogoro mkubwa.
-
Idadi ya watoto wanaosumbuliwa na njaa yaongezeka kwa 50% Marekani
Apr 01, 2021 02:51Takwimu za karibuni kabisa nchini Marekani zinaonyesha kuwa idadi ya watoto wanaosumbuliwa na njaa nchini humo imeongezeka kwa asilimia 50.
-
Sudan yalipa fidia ya mashambulizi katika balozi za Marekani za Tanzania na Kenya
Mar 31, 2021 21:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema kuwa, serikali ya Sudan imeilipa fidia nchi hiyo kutokana na mashambulizi ya mabomu ya mwaka 1998 kwenye balozi za Marekani za Nairobi na Dar es Salaam katika nchi za Kenya na Tanzania.
-
Taasisi 27 za Marekani zamtaka Biden apunguze mizozo na Russia
Mar 31, 2021 21:46Taasisi 27 za nchini Marekani zimemtaka rais wa nchi hiyo, Joe Biden ajiepushe na kushadidisha mivutano na misuguano na Russia.
-
Russia: Marekani ingali inaiba mafuta na ngano ya Syria
Mar 30, 2021 22:33Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia amesema kuwa, Marekani inaendelea kuiba na kutorosha mafuta na ngano ya Syria.
-
Wakili wa Floyd awakosoa Wamarekani kwa kupuuza uhalifu na ubaguzi dhidi ya watu weusi
Mar 30, 2021 22:32Wakili wa familia ya George Floyd amewakosoa Wamarekani kwa kupuuza jinai na uhalifu unaofanywa kwa makusudi dhidi ya jamii ya watu weusi nchini humo.