Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Kuendelea mivutano kati ya China na Marekani

    Kuendelea mivutano kati ya China na Marekani

    Mar 29, 2021 22:00

    Licha ya kuwepo utabiri wa awali kwamba mivutano iliyokuwepo kati ya China na nchi za Magharibi na hasa Marekani katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump ingepungua pakubwa mara tu baada ya kuoondoka madarakani rais huyo na kuingia White House Joe Biden, lakini mivutano hiyo ingalipo bali imeongezeka hata zaidi.

  • Wanajeshi vamizi wa Marekani wanapora ngano ya Syria

    Wanajeshi vamizi wa Marekani wanapora ngano ya Syria

    Mar 28, 2021 06:33

    Wanajeshi vamizi wa Marekani wamepora malori 38 ya ngano ya Syria iliyokuwa katika maghala huko Tal Alou katika mkoa wa Hasaka kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Watoto wanaotafuta hifadhi kupelekwa katika kambi za kijeshi jimboni Texas

    Watoto wanaotafuta hifadhi kupelekwa katika kambi za kijeshi jimboni Texas

    Mar 25, 2021 06:51

    Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imeafiki kupelekwa maelfu ya watoto wanaotafuta hifadhi katika kambi za kijeshi jimboni Texas kufuatia hali ya mgogoro iliyojitokeza katika mpaka wa kusini wa Marekani. Watoto hao wanatazamiwa kupelekwa katika kambi mbili za kijeshi bila ya wazazi wao.

  • Serikali ya Biden yazidi kushinikizwa ikabiliane na mashambulio ya silahamoto yaliyokitihiri ndani ya Marekani

    Serikali ya Biden yazidi kushinikizwa ikabiliane na mashambulio ya silahamoto yaliyokitihiri ndani ya Marekani

    Mar 24, 2021 08:33

    Serikali ya Marekani inazidi kuandamwa na mashinikizo ya kuitaka ichukue hatua za kukabiliana na mashambulio ya utumiaji wa silahamoto yaliyokithiri katika jamii ya nchi hiyo.

  • Sisitizo la Russia na China juu ya kurejea bila masharti Marekani katika mapatano ya JCPOA

    Sisitizo la Russia na China juu ya kurejea bila masharti Marekani katika mapatano ya JCPOA

    Mar 24, 2021 07:51

    Wang Yi na Sergei Lavrov, Mawaziri wa Mambo ya Nje wa China na Russia Jumatatu wiki hii tarehe 22 Machi walisiistiza udharura wa kurejea Marekani katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA bila ya masharti yoyote na kuondolewa vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Iran.

  • Wabunge 12 wa Marekani waipinga Israel na kuliunga mkono taifa la Palestina

    Wabunge 12 wa Marekani waipinga Israel na kuliunga mkono taifa la Palestina

    Mar 21, 2021 08:40

    Wabunge 12 wa Baraza la Wawakilishi la Marekani wamemuandikia baraua waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyio na kuitaka serikali mpya ya Marekani iheshimu na kuunga mkono haki za binadamu na heshima za wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina.

  • Badr: Marekani inakula njama ya kuwarejesha magaidi Iraq

    Badr: Marekani inakula njama ya kuwarejesha magaidi Iraq

    Mar 21, 2021 04:35

    Mkuu wa Ofisi ya Shirika la Badr katika mkoa wa al-Anbar nchini Iraq amesema Marekani inapanga njama ya kuwarejesha magaidi katika mikoa ya magharibi mwa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Mwana wa Trump amfanyia istihzai rais wa Marekani, Joe Biden

    Mwana wa Trump amfanyia istihzai rais wa Marekani, Joe Biden

    Mar 20, 2021 23:50

    Mwana wa kiume wa rais wa zamani wa Marekani, amerusha katika mtandao wa Twitter kipande cha video kilichotengenezwa maalumu kwa ajili ya kumfanyia istihzai Joe Biden baada ya rais huyo wa Marekani kula mweleka mara tatu mfululizo wakati alipokuwa anapanda ngazi ya ndege.

  • Kikao cha Alaska na kukaririwa tuhuma za Marekani dhidi ya China

    Kikao cha Alaska na kukaririwa tuhuma za Marekani dhidi ya China

    Mar 20, 2021 23:49

    Kushadidi mpambano baina ya Marekani na China tangu baada ya Joe Biden kushika hatamu za uongozi kumezifanya pande hizo mbili kuitisha kikao cha ngazi za juu ambacho kilifanyika Alkhamisi iliyopita katika eneo la Anchorage kwenye jimbo la Alaska.

  • Iran: Hatujapokea ujumbe wowote kutoka Marekani

    Iran: Hatujapokea ujumbe wowote kutoka Marekani

    Mar 20, 2021 04:49

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haijapokea ujumbe wowote kutoka kwa Marekani wala haina azma yoyote ya kuitumia Washington ujumbe.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS