-
Kuendelea siasa za uhasama za Marekani dhid ya Iran
Mar 20, 2021 04:24Ikiwa ni katika kuendeleza siasa za uhasama za Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Wizara ya Fedha ya Marekani imewatuhumu raia wengine 10 wa Iran kuwa wamekiuka vikwazo vya nchi hiyo dhidi ya Iran.
-
Rais wa Marekani 'ala mweleka' mara tatu na kuzidisha wasiwasi kuhusu uzima wake kimwili
Mar 20, 2021 00:10Rais Joe Biden wa Marekani ameteleza na kuanguka mara tatu wakati akipanda ndege ya rais Air Force One, hali ambayo imezidisha wasiwasi kuhusu uzima wa kimwili wa kiongozi huyo.
-
Madharau ya Biden dhidi ya Putin, na mzozo wa aina yake katika uhusiano wa Marekani na Russia
Mar 19, 2021 06:00Uhusiano wa Marekani na Russia tangu Rais Joe Biden aliposhika madaraka ya nchi katika White House mwezi Januari mwaka huu umekuwa ukidorora siku baada ya nyingine huku Washington ikiendelea kuzidisha misimamo ya kihasama na kiuadui dhidi ya Russia. Sasa makabiliano baina ya nchi hizo mbili yamefikia kiwango cha vita vya maneno baina ya marais wa nchi hizo.
-
Vitendo vya uhalifu vyaongezeka kwa asilimia 25 nchini Marekani
Mar 19, 2021 04:32Polisi ya Federali ya Marekani FBI imetangaza habari ya kuongezeka kwa asilimia 25 vitendo vya uhalifu na jinai nchini humo katika mwaka uliopita wa 2020.
-
Uingiliaji wa aina tofauti wa Marekani katika masuala ya ndani ya Yemen
Mar 18, 2021 10:43Jumanne ya tarehe 16 Machi, Idara ya Kiitikadi ya Vikosi vya Ulinzi vya Yemen ilitoa nyaraka mpya zinazobainisha juu ya uwepo wa kijeshi wa Marekani na vituo vya kijeshi vya Washington huko nchini Yemen na pamoja na uhusiano wa serikali ya wakati huo ya Ali Abdullah Saleh na mashirika ya kijsasu ya Marekani.
-
Kushindwa mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran
Mar 17, 2021 23:16Baada ya serikali ya Donald Trump, Rais wa zamani wa Marekani kutangaza kujitoa rasmi katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama JCPOA mnao Mei 2018, serikali hiyo ilianza kutekeleza vikwazo vikali zaidi katika historia ya nchi hiyo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika fremu ya mchakato wa kile kilichotajwa kuwa mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya nchi hii.
-
Iran yakanusha kufanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Marekani
Mar 17, 2021 01:00Duru za kiusalama nchini Iran zimekadhibisha madai ya Marekani kwamba kuna mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja yanayoendelea baina ya Tehran na Washington.
-
Marekani inafanya juu chini kuzizuia nchi nyingine duniani zisinunue chanjo ya Russia
Mar 16, 2021 08:49Kampuni ya Russia iliyotengeneza chanjo ya corona kwa jina la Sputnik -V k imeyataja mashinikizo ya Marekani kwa nchi nyingine duniani ili kuzizuia kununua chanj hiyo kuwa kitendo kisiho cha kimaadili.
-
Ansarullah: Marekani haitaki amani irejee Yemen
Mar 16, 2021 04:46Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema: Serikali ya Marekani kwa matamshi yake ya upotoshaji na yasiyo ya kimantiki imeonyesha kuwa haitaki kuona amani ikirejea Yemen."
-
Iran: Marekani ni mvamizi Syria, itoke haraka
Mar 15, 2021 23:45Mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, madola vamizi ikiwemo Marekani yanapaswa kutoka katika ardhi ya Syria na hiyo ndiyo njia pekee ya kukomesha mapigano nchini humo na kutatuliwa kwa njia za amani mgogoro wa nchi hiyo.