Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Russia yalaani 'uharamia' wa Marekani wa kukamata meli yake ya mafuta

    Russia yalaani 'uharamia' wa Marekani wa kukamata meli yake ya mafuta

    Jan 08, 2026 02:58

    Moscow imelaani vikali kitendo cha Marekani cha kukamata meli ya mafuta yenye bendera ya Russia katika Bahari ya Atlantic, na kuitaja hatua hiyo kama ukiukaji wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa Kuhusu Sheria ya Bahari.

  • Vyama vya Tunisia vyamjia juu Trump kwa kukiuka sheria za kimataifa

    Vyama vya Tunisia vyamjia juu Trump kwa kukiuka sheria za kimataifa

    Jan 08, 2026 02:39

    Vyama vya kisiasa na harakati za kijamii na kiraia nchini Tunisia zimetangaza kupinga vikali ajenda ya sera ya kigeni ya Rais wa Marekani Donald Trump, hasa uingiliaji wake wa masuala ya ndani ya Venezuela na ushupaliaji wake wa kutaka kuidhibiti Greenland.

  • Mwanachuoni Nigeria: Israel itafutwa katika uso wa dunia ikiishambulia tena Iran

    Mwanachuoni Nigeria: Israel itafutwa katika uso wa dunia ikiishambulia tena Iran

    Jan 08, 2026 02:38

    Mwanachuoni mashuhuri wa Kiislamu wa kaskazini mashariki mwa Nigeria amezionya Israel na Marekani dhidi ya kufanya mashambulizi yoyote ya kijeshi dhidi ya Iran, akisema matokeo yake yatakuwa mabaya zaidi kuliko yale ya vita vya siku 12 vya mwezi Juni mwaka uliopita 2025, na kuilazimisha Israel kuomba usitishaji vita.

  • Marekani 'yaziwekea ngumu' nchi zingine 12 za Afrika kupata viza ya kuingia nchini humo

    Marekani 'yaziwekea ngumu' nchi zingine 12 za Afrika kupata viza ya kuingia nchini humo

    Jan 07, 2026 23:36

    Serikali ya Marekani imeongeza karibu mara tatu idadi ya nchi ambazo wamiliki wa pasipoti zao watahitajika kuweka dhamana ya hadi dola 15,000 ili kuomba kuingia nchini humo.

  • White House: Chaguo la kijeshi kwa ajili ya kuitwaa Greenland lipo mezani

    White House: Chaguo la kijeshi kwa ajili ya kuitwaa Greenland lipo mezani

    Jan 07, 2026 23:34

    Ikulu ya White House ya Marekani imesema Rais Donald Trump wa nchi hiyo na washauri wake wanatathmini "machaguo mbali mbali" katika jitihada za kulitwaa eneo la Greenland, likiwemo chaguo la kutumia jeshi la nchi hiyo.

  • Mkuu wa zamani wa Sera za Nje wa EU: Ulaya iache kuifanya Marekani muitifaki wake mkuu

    Mkuu wa zamani wa Sera za Nje wa EU: Ulaya iache kuifanya Marekani muitifaki wake mkuu

    Jan 07, 2026 11:30

    Josep Borrell, mwanadiplomasia mkuu wa zamani wa Umoja wa Ulaya (EU) amesema, kambi hiyo inapaswa iache kuichukulia Marekani kama mshirika wake mkuu, huku Washington na Brussels zikiwa zinazozana hivi sasa kuhusu sera za kidijitali na udhibiti wa eneo la Greenland.

  • Umoja wa Mataifa: Hatua ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela ni ukiukaji wa sheria za kimataifa

    Umoja wa Mataifa: Hatua ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela ni ukiukaji wa sheria za kimataifa

    Jan 07, 2026 06:18

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa operesheni ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.

  • Maduro aiambia mahakama US: Ningali Rais halali wa Venezuela

    Maduro aiambia mahakama US: Ningali Rais halali wa Venezuela

    Jan 06, 2026 02:40

    Rais wa Venezuela aliyetekwa nyara na Marekani, Nicolas Maduro ameiambia mahakama jijini New York kwamba "hana hatia", "ni mtu mstaarabu", na kwamba alikuwa "ametekwa nyara", katika matamshi yake ya kwanza hadharani tangu kujiri shambulio la kuogofya la Marekani dhidi ya nchi yake Jumamosi.

  • Kukariri Rais wa Marekani kauli za uingiliaji kati; Je, Trump anawajali sana watu wa Iran?

    Kukariri Rais wa Marekani kauli za uingiliaji kati; Je, Trump anawajali sana watu wa Iran?

    Jan 05, 2026 08:27

    Rais wa Marekani kwa mara nyingine tena amekariri kauli zake za uingiliaji kati dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufuatia matukio ya hivi karibuni hapa nchini.

  • Kwa nini dunia imelaani hatua za kijeshi za Marekani dhidi ya Venezuela?

    Kwa nini dunia imelaani hatua za kijeshi za Marekani dhidi ya Venezuela?

    Jan 04, 2026 23:12

    Hatua ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Venezuela na kutekwa nyara Rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro, imekabiliwa na wimbi kubwa la laana na ukosoaji mkubwa kote duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS