Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Biden atoa ahadi ya kufunga Guantanamo waliyoshindwa kutekeleza na Obama

    Biden atoa ahadi ya kufunga Guantanamo waliyoshindwa kutekeleza na Obama

    Feb 13, 2021 05:14

    Rais Joe Biden wa Marekani ameahidi kuwa serikali yake itahakikisha kuwa gereza la kutisha la Guantanamo linafungwa kufikia mwishoni mwa uongozi wake.

  • Ammar al Hakim atilia mkazo ulazima wa askari wa Marekani kuondoka Iraq

    Ammar al Hakim atilia mkazo ulazima wa askari wa Marekani kuondoka Iraq

    Feb 12, 2021 23:25

    Kiongozi wa Harakati ya Hekima ya Kitaifa ya Iraq amesisitiza kuhusu ulazima wa Marekani kubadilisha mwenendo wake katika Asia Magharibi na askari wa nchi hiyo kuondoka katika eneo hilo.

  • Afisa wa Marekani adai utatuzi wa mgogoro wa Yemen ni kipaumbele cha serikali ya Biden

    Afisa wa Marekani adai utatuzi wa mgogoro wa Yemen ni kipaumbele cha serikali ya Biden

    Feb 12, 2021 04:09

    Afisa mmoja wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani amedai kuwa, kuna njia nzito katika juhudi za kutatua mgogoro wa Yemen, lakini pamoja na hayo utatuzi wa mgogoro huo ni katika vipaumbele vya Washington hivi sasa.

  • Ripoti: Sera mbovu za Trump ziliua maelfu ya Wamarekani

    Ripoti: Sera mbovu za Trump ziliua maelfu ya Wamarekani

    Feb 11, 2021 09:04

    Sera mbovu na ghalati za utawala uliopita wa Donald Trump nchini Marekani zilipelekea mamia ya maelfu ya Wamarekani kupoteza maisha.

  • Rouhani: Iran haijaona nia njema ya utawala mpya wa Marekani

    Rouhani: Iran haijaona nia njema ya utawala mpya wa Marekani

    Feb 11, 2021 08:59

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema taifa hili halijashuhudia nia njema wala mabadiliko ya kivitendo ya sera za Marekani mkabala wa Jamhuri ya Kiislamu.

  • Hashdu Shaabi kubuni mipango mipya ya kuwafukuza askari wa US Iraq

    Hashdu Shaabi kubuni mipango mipya ya kuwafukuza askari wa US Iraq

    Feb 09, 2021 23:00

    Harakati ya kujitolea wananchi ya Hashdu Shaabi ya Iraq imeonya kuwa, iwapo wanajeshi vamizi wa Marekani hawataheshimu uamuzi wa bunge la nchi hiyo wa kuwataka waondoke, basi itazindua mipango mipya ya kuwatimua askari hao katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Wamarekani wana wasiwasi wa kuanza vita vya ndani sambamba na kukaribia kusailiwa kwa Trump

    Wamarekani wana wasiwasi wa kuanza vita vya ndani sambamba na kukaribia kusailiwa kwa Trump

    Feb 09, 2021 02:28

    Sambamba na kukaribia siku ya kuanza kikao cha kumsaili na kumshtaki aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump, raia wengi wa nchi hiyo wana wasiwasi wa kuanza vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.

  • Madai ya Marekani kuhusu kusitisha himaya yake katika vita dhidi ya Yemen

    Madai ya Marekani kuhusu kusitisha himaya yake katika vita dhidi ya Yemen

    Feb 05, 2021 23:04

    Marekani na baadhi ya waitifaki wake wa Ulaya wamekuwa na nafasi kubwa katika kudumisha vita vya Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya taifa la Yemen vilivyoanza mwezi Machi mwaka 2015. Tangu wakati huo Marekani na waitifaki wake wamekuwa wakiisaidia Saudia na washirika wake kwa misaada ya aina mbalimbali ya silaha, upelelezi na misaada ya kilojistiki. Sasa serikali ya Washington inadai kuwa, inasitisha misaada hiyo.

  • Iran: Marekani ingali inakiuka azimio 2231 kwa vikwazo haramu

    Iran: Marekani ingali inakiuka azimio 2231 kwa vikwazo haramu

    Feb 05, 2021 09:00

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Marekani inaendelea kukanyaga azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la umoja huo kwa kuliwekea taifa hili vikwazo kinyume cha sheria.

  • EU: Diplomasia ichukue nafasi ya mashinikizo ya kiwango cha juu

    EU: Diplomasia ichukue nafasi ya mashinikizo ya kiwango cha juu

    Feb 05, 2021 08:18

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema 'diplomasia ya kiwango cha juu' inapaswa kuchukua nafasi ya 'mashinikizo ya kiwango cha juu.'

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS