Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Iran: Tunafuatilia kwa karibu nyendo za Marekani katika Ghuba ya Uajemi

    Iran: Tunafuatilia kwa karibu nyendo za Marekani katika Ghuba ya Uajemi

    Jan 04, 2021 12:18

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Tehran inafuatilia kwa jicho la karibu nyendo na harakati za kutilia shaka za Marekani katika eneo la Ghuba ya Uajemi.

  • Kukosoa ripota wa Umoja wa Mataifa hatua isiyo ya kisheria ya Marekani ya kumuua Qassim Suleimani

    Kukosoa ripota wa Umoja wa Mataifa hatua isiyo ya kisheria ya Marekani ya kumuua Qassim Suleimani

    Jan 04, 2021 07:33

    Januari 3 mwaka uliomalizika hivi majuzi wa 2020, kwa amri ya Rais Donald Trump, utawala wa kigaidi wa Marekani ulifanya jinai ya kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassim Suleimani, Mkuu wa Kikosi cha Quds, cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na Abu Mahdi al Muhandis, Naibu wa Mkuu wa Harakati ya al Hashd al-Shaabi katika shambulio la anga lililofanywa jirani na uwanja wa ndege wa Baghdad nchini Iraq.

  • Ali Shamkhani: Chaguo pekee la Marekani ni kuondoa vikwazo vyote dhidi ya Iran

    Ali Shamkhani: Chaguo pekee la Marekani ni kuondoa vikwazo vyote dhidi ya Iran

    Jan 04, 2021 00:00

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, chaguo pekee la Marekani ni kuondoa vikwazo vyote dhidi ya Iran na hivyo kuachana na mkakati wake uliofeli wa mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Kupinga Marekani kupasishwa bajeti ya Umoja wa Mataifa

    Kupinga Marekani kupasishwa bajeti ya Umoja wa Mataifa

    Jan 03, 2021 23:59

    Katika kipindi cha uongozi wake, Rais Donald Trump wa Marekani ameukosoa mara chungu nzima Umoja wa Mataifa pamoja na utendaji wake na hata kutishia kupunguza msaada wa nchi yake kwa asasi hiyo ya kimataifa.

  • Wakili wa Trump ataka makamu wa rais wa Marekani amiminiwe risasi kwa kosa la uhaini

    Wakili wa Trump ataka makamu wa rais wa Marekani amiminiwe risasi kwa kosa la uhaini

    Jan 02, 2021 23:21

    Wakili wa rais Donald Trump wa Marekani ametaka makamu wa rais Mike Pence akamatwe na kuhukumiwa kuuawa kwa kumiminiwa risasi kwa kosa la uhaini kwa sababu ya kulikataa shauri la madai la kumtaka atumie mamlaka yake kubatilisha matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyoonyesha kuwa Trump ameshindwa.

  • Jenerali Baqeri: Kisasi kikali kwa wauaji wa Shahidi Suleimani muda wake hauishi

    Jenerali Baqeri: Kisasi kikali kwa wauaji wa Shahidi Suleimani muda wake hauishi

    Jan 01, 2021 00:47

    Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kisasi cha mauaji ya kigaidi ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC kitakuwa kikali na wala hakina muda wa kumalizika.

  • Zarif aishangaa Marekani kupiga ngoma ya vita badala ya kukabili corona

    Zarif aishangaa Marekani kupiga ngoma ya vita badala ya kukabili corona

    Jan 01, 2021 00:46

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameionya vikali Marekani kwa kupiga ngoma ya vita na kusisitiza kuwa, taifa hili lipo tayari kujilinda.

  • Pompeo ashitakiwa juu ya mauzo ya haraka ya silaha kwa Imarati

    Pompeo ashitakiwa juu ya mauzo ya haraka ya silaha kwa Imarati

    Jan 01, 2021 00:45

    Kesi imewasilishwa katika Mahakama ya Federali ya Marekani kuzuia hatua ya Waziri wa Mambo ya Nje ya nchi hiyo, Mike Pompeo, ya kuuzia silha aUmoja wa Falme za Kiarabu bila kufuata taratibu zinazotakiwa, katika wiki za mwisho za urais wa Donald Trump.

  • Sheikh Naim Qassim: kuuliwa kigaidi shahid Suleimani kumedhihirisha kilele cha udhaifu wa Marekani katika eneo

    Sheikh Naim Qassim: kuuliwa kigaidi shahid Suleimani kumedhihirisha kilele cha udhaifu wa Marekani katika eneo

    Dec 31, 2020 04:06

    Sheikh Naim Qassim amesema kuwa Marekani imemuuwa kigaidi Luteni jenerali Haji Qassem Suleimani nchini Iraq kutokana na kuwa dhaifu.

  • Muuguzi Marekani akumbwa na corona wiki moja baada ya kupigwa chanjo ya Pfizer

    Muuguzi Marekani akumbwa na corona wiki moja baada ya kupigwa chanjo ya Pfizer

    Dec 30, 2020 21:01

    Muuguzi mmoja katika jimbo la California nchini Marekani ameambukizwa virusi vya corona, zaidi ya wiki moja baada ya kupigwa chanjo ya kumkinga na maradhi ya Covid-19 ya kampuni ya Pfizer.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS