Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Rouhani: Taifa la Iran litaikata miguu Marekani katika eneo

    Rouhani: Taifa la Iran litaikata miguu Marekani katika eneo

    Dec 30, 2020 11:06

    Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaikata miguu Marekani katika eneo la Asia Magharibi katika kisasi chake cha mauaji ya kigaidi ya Luteni Jenerali Qassem Suleimani, Kamanda wa zamani wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH).

  • Spishi mpya ya kirusi cha corona imeshafika Marekani pia

    Spishi mpya ya kirusi cha corona imeshafika Marekani pia

    Dec 30, 2020 03:05

    Kesi ya kwanza ya mtu aliyeambukizwa spishi mpya ya kirusi cha corona nchini Marekani imegunduliwa katika jimbo la Colorado.

  • Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani yaafiki kuziuzia silaha Misri, Kuwait na Saudia

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani yaafiki kuziuzia silaha Misri, Kuwait na Saudia

    Dec 30, 2020 02:47

    Katika mwendelezo wa siasa za White House zinazolenga kuuza silaha zaidi; Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imetangaza kuwa imeafiki kutekelezwa mikataba ya kuziuzia silaha Misri, Kuwait na Saudi Arabia.

  • Kamanda wa IRGC: Dei 9 ni siku ambayo Wairani walisimama kupinga fitina

    Kamanda wa IRGC: Dei 9 ni siku ambayo Wairani walisimama kupinga fitina

    Dec 30, 2020 00:54

    Mratibu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Tarehe Tisa Dei ni siku ya taifa la Iran kwani ni siku ambayo wananchi walijotokeza na kusimama kidete kupinga waliokuwa wameibua fitina.

  • Saudi Arabia na Misri zimo kwenye orodha ya nchi hatari kwa waandishi habari mwaka 2020

    Saudi Arabia na Misri zimo kwenye orodha ya nchi hatari kwa waandishi habari mwaka 2020

    Dec 29, 2020 02:39

    Gazeti la Washington Post limeripoti kuwa Saudi Arabia na Misri zimo kwenye orodha ya nchi hatari sana kwa waandishi habari katika mwaka huu wa 2020.

  • Trump awataka wafuasi wake kuandamana akikariri madai ya kufanyika udanganyifu katika uchaguzi

    Trump awataka wafuasi wake kuandamana akikariri madai ya kufanyika udanganyifu katika uchaguzi

    Dec 28, 2020 23:31

    Rais wa Marekani amekariri madai yake kuhusu kufanyika udanganyifu katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo na kuwatolea wito wafuasi wake kuandamana ili kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais wa hivi karibuni nchini humo.

  • Nukta muhimu katika mahojiano ya Sayyid Hassan Nasrallah na Televisheni ya Al Mayadeen

    Nukta muhimu katika mahojiano ya Sayyid Hassan Nasrallah na Televisheni ya Al Mayadeen

    Dec 28, 2020 23:29

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah Jumapili 27 Disemba alifanya mahojiano muhimu na Televisheni ya Al Mayadeen ya Lebanon. Katika mahojiano hayo aliwakumbuka na kuwawenzi Shahidi Luteni Jenerali Hajj Qassem Soleimani na Abu Mahdi al Muhandis.

  • Bunge la Iran lalaani hatua ya Marekani ya kukiwekea vikwazo Chuo Kikuu cha al-Mustafa

    Bunge la Iran lalaani hatua ya Marekani ya kukiwekea vikwazo Chuo Kikuu cha al-Mustafa

    Dec 27, 2020 20:51

    Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imelaani vikali hatua ya serikali ya Marekani ya kukiwekea vikwazo Chuo Kikuu cha Kimataifa cha al-Mustafa cha Iran.

  • Marekani inaunda 'ISIS 2' katika nchi za Syria na Iraq

    Marekani inaunda 'ISIS 2' katika nchi za Syria na Iraq

    Dec 27, 2020 20:50

    Ushahidi mpya umefichua kuwa, vyombo vya usalama vya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel vipo mbioni kuzalisha kizazi kipya cha genge la kigaidi katika eneo hili la Asia Magharibi.

  • Watu 340,000 wamepoteza maisha kutokana na corona Marekani

    Watu 340,000 wamepoteza maisha kutokana na corona Marekani

    Dec 27, 2020 11:55

    Takwimu zinaoneysha kuwa watu karibu milioni 19 na nusu wameambukizwa COVID-19 au corona nchini Marekani huku wengine zaidi ya 339,992 wakipoteza maisha kutokana na ugonjwa huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS