Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Trump na Putin wakutana Alaska bila ya kufikia mwafaka wa kusimamishwa vita vya Ukraine

    Trump na Putin wakutana Alaska bila ya kufikia mwafaka wa kusimamishwa vita vya Ukraine

    Aug 16, 2025 01:37

    Duru ya kwanza ya mazungumzo kati ya Rais Vladimir Putin wa Russia na Rais wa Marekani Donald Trump iliyofanyika katika jimbo la Alaska nchini Marekani imemalizika pasi na kufikiwa mwafaka wa kusimamishwa vita vya Ukraine.

  • Mamia waandamana Barcelona kupinga mauaji ya kimbari ya Israel Gaza

    Mamia waandamana Barcelona kupinga mauaji ya kimbari ya Israel Gaza

    Aug 15, 2025 07:13

    Mamia ya Wahispania wameandamana mjini Barcelona kupinga vita vya mauaji ya halaiki vya utawala wa Israel dhidi ya Gaza.

  • Israel yalaaniwa vikali kila pembe ya dunia kwa mauaji ya wanahabari 5 Wapalestina Ghaza

    Israel yalaaniwa vikali kila pembe ya dunia kwa mauaji ya wanahabari 5 Wapalestina Ghaza

    Aug 11, 2025 07:18

    Umoja wa Mataifa, mashirika ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu na jumuiya mbalimbali za waandishi wa habari duniani zimelaani vikali mauaji ya kigaidi ya wanahabari watano Wapalestina yaliyofanywa na jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.

  • Nchi zinazoibukia kiuchumi zimejibu vipi vita vya ushuru vya Trump?

    Nchi zinazoibukia kiuchumi zimejibu vipi vita vya ushuru vya Trump?

    Aug 09, 2025 07:59

    Mataifa matatu yanayoinukia kiuchumi, Brazil, India na Uchina, yamejibu vikali hatua ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ya kupandisha ushuru wa forodha kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa.

  • China: Jaribio la Marekani la kuuvunja ushirikiano baina yetu na Russia litagonga mwamba tu

    China: Jaribio la Marekani la kuuvunja ushirikiano baina yetu na Russia litagonga mwamba tu

    Aug 08, 2025 07:03

    Msemaji wa Ubalozi wa China nchini Marekani ametangaza kuwa jaribio la Washington la kuilazimisha Beijing ikate ushirikiano na Russia litagonga mwamba tu.

  • Je, India itasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Trump?

    Je, India itasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Trump?

    Aug 07, 2025 22:41

    Siku ya Jumatano, Agosti 6, Rais Donald Trump wa Marekani alitia saini amri ya kuweka ushuru wa ziada wa asilimia 25 dhidi ya bidhaa za India ili kukabiliana na hatua ya nchi hiyo ya kuendelea kununua mafuta ya Russia, na hivyo kuongeza ushuru jumla kwa bidhaa za India hadi asilimia 50.

  • Je, Afrika Kusini inafanya nini kukabiliana na ushuru mpya wa kibiashara wa Marekani?

    Je, Afrika Kusini inafanya nini kukabiliana na ushuru mpya wa kibiashara wa Marekani?

    Aug 07, 2025 04:49

    Wizara ya Biashara ya Afrika Kusini imetangaza kuwa imechukua hatua kadaa mpya za kukabiliana na ushuru mpya wa kibiashara wa Marekani.

  • Nchi za Magharibi zinaonyesha sura hasi kuhusu Iran ili kushughulisha maoni ya umma kutokana na mizozo ya ndani

    Nchi za Magharibi zinaonyesha sura hasi kuhusu Iran ili kushughulisha maoni ya umma kutokana na mizozo ya ndani

    Aug 02, 2025 10:34

    Televisheni ya Al Jazeera ya Qatar iliripoti mnamo Julai 31, 2025 kwamba Uingereza na nchi zingine 13 ziliituhumu Iran kuwa inapanga kufanya mauaji na utekaji nyara katika nchi za Magharibi, madai ambayo yamekanushwa vikali na Tehran.

  • Iran yakadhibisha madai hewa ya US na nchi zingine chache za Magharibi dhidi yake

    Iran yakadhibisha madai hewa ya US na nchi zingine chache za Magharibi dhidi yake

    Aug 01, 2025 04:08

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani hatua ya Marekani, Ufaransa na nchi nyingine kadhaa za Magharibi ya kukariri tuhuma zisizo na msingi na za kuchekesha dhidi ya Iran na kuzielezea kuwa ni jaribio la waziwazi la kutaka kubebesha lawama wasiohusika na hila ya kuzibabaisha fikra za umma duniani ziachane na suala muhimu zaidi la wakati huu, yaani mauaji ya kimbari katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Araqchi: Marekani imependekeza kuanza tena mazungumzo na Iran

    Araqchi: Marekani imependekeza kuanza tena mazungumzo na Iran

    Jul 31, 2025 09:01

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araqchi ametaka kufidiwa hasara za vita vya mwezi uliopita na kusisitiza kuwa Marekani inapasa kufidia hasara zilizosababishwa kwa Iran katika vita vya karibuni vya siku 12.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS