-
Jitihada za Marekani za kuishawishi Ulaya iungane na Washington dhidi ya China
Jun 27, 2020 22:03Marekani katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump imezididisha mienendo yake ya kukabiliana na China katika nyuga mbalimbali. Mbali na kutaka kuitwisha Beijing matakwa yake katika nyanja za kibiashara na kiuchumi, sasa Marekani inaingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo hususan katika maeneo mawili ya Hong Kong na Xinjiang kwa kisingizio cha haki za binadamu.
-
Utawala wa Marekani unaongoza ugaidi wa kitiba dhidi ya Iran
Jun 27, 2020 03:49Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeikosoa vikali Marekani kwa kuongoza kampeni ya kimataifa ya kutekeleza ugaidi wa kiuchumi na kitiba dhidi ya haki za binadamu za taifa la Iran.
-
Vikwazo vipya vya Marekani; kujitaabisha kusio na maana kwa lengo la kuidhoofisha Iran
Jun 27, 2020 02:28Serikali ya Trump imekuwa ikifanya kila njia kupitia kampeni yake ya mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Iran ili kuilazimisha Jamhuri ya Kiislamu isalimu amri na kutekeleza matakwa yake haramu na yasiyo ya kisheria; na baada ya kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei 2018 ilianza kuiwekea Iran vikwazo vikali kabisa; na licha ya mwenendo huo kutokuwa na tija, lakini Washington ingali inashupalia kuendeleza vikwazo.
-
Kuongezeka uzalishaji wa mihadarati ya mpopi Afghanistan chini ya kivuli cha kuwepo kijeshi Marekani
Jun 26, 2020 20:29Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kupambana na uhalifu na mihadarati imetangaza katika ripoti yake ya kila mwaka kuwa, tani 6,400 za madawa ya kulevya yanayotokana na mpopi zilizalishwa nchini Afghanistan katika mwaka uliopita wa 2019.
-
Indhari kuhusu hujuma ya kigaidi ya Marekani dhidi ya vituo vya brigedi za Hizbullah Iraq
Jun 26, 2020 11:30Hujuma ya majeshi ya kigaidi ya Marekani kwa ushirikiano na waitifaki wao Iraq dhidi ya vituo vya Brigedi za Kata'ib Hizbullah imelaaniwa vikali kote katika nchi hiyo.
-
Ripoti ya kila mwaka ya Marekani kuhusu ugaidi; hila ya kujitia pambani ili kujivua na lawama
Jun 26, 2020 09:01Baada ya matukio ya Septemba 11, 2001, Marekani ilitumia kisingizio cha kupambana na ugaidi duniani ili kuzishambulia na kuzikalia kijeshi Afghanistan na Iraq.
-
Biden: Trump amekuwa kama mtoto katika kukabiliana na corona, Wamarekani milioni 25 wamepatwa na corona
Jun 26, 2020 04:21Mgombea wa kiti cha rais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democratic amesema kuwa Rais Donald Trump amekuwa na mwenendo kama wa mtoto mdogo katika kukabiliana na virusi vya corona.
-
Njama za Marekani za kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran kupitia Baraza la Usalama la UN
Jun 25, 2020 22:02Marekani imeanzisha kampeni kubwa za kimataifa za kulizuia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lisitekeleze azimio lake nambari 2231 linalotoa amri ya kuiondolea Iran vikwazo vya silaha ifikapo tarehe 18 Oktoba mwaka huu wa 2020. Marekani inaendesha njama hizo kama sehemu ya kukabiliana na uwezo mkubwa wa kiulinzi na kijeshi wa Iran unaozidi kukua na kuwa imara siku baada ya siku.
-
"Marekani kuikingia kifua Israel kumelishushia hadhi Baraza la Usalama"
Jun 25, 2020 03:19Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema hatua ya Marekani ya kuendelea kuukingia kifua na kuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel imelifanya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lipoteze hadhi yake na likose maana.
-
Dunia nzima dhidi ya Trump; walimwengu walaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu
Jun 25, 2020 01:56Mojawapo na sifa kuu za utawala wa Donald Trump huko Marekani ni sera na mtazamo mbaya wa kiongozi huyo kuhusiana na jumuiya na mashirika ya kikanda na kimataifa. Hatua ya karibuni zaidi ya Trump dhidi ya jumuiya za kimataifa ni vikwazo alivyoweka kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ambayo ndicho chombo cha juu zaidi cha kimataifa chenye jukumu la kushughulikia uhalifu wa kivita na jinai zinazofanywa dhidi ya binadamu.