-
Binti wa Luther King awataka Wamarekani kuendeleza maandamano ya kupinga ubaguzi
Jun 24, 2020 08:45Binti wa aliyekuwa kiongozi wa harakati ya kupigania haki za kiraia za Wamarekani wenye asili ya Afrika, Martin Luther King, amewataka raia wa nchi hiyo waendeleze maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani hadi uadilifu utakapotendeka.
-
China yasema mashinikizo ya Marekani dhidi ya Iran hayatafika popote
Jun 24, 2020 03:51Balozi wa China katika Umoja wa Mataifa amesema mashinikizo ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hayatafika popote.
-
Marekani yafuta visa za raia wa Burundi kufuatia mgogoro wa kidiplomasia
Jun 24, 2020 02:50Marekani imeacha kutoa visa kwa raia wa Burundi wanaotaka kwenda nchini humo, hatua ambayo imeibua mgogoro wa kidiplomasia baina ya nchi hizo mbili.
-
Kumalizika mapema mazungumzo ya Marekani na Russia kuhusu udhibiti wa silaha za nyuklia
Jun 23, 2020 22:01Moja ya hitilafu kubwa na za kimsingi za Russia na Marekani kuhusiana na kuongezwa muda wa mikataba ya kudhibiti silaha inahusiana na mkataba wa kistratijia wa silaha za nyuklia wa New START.
-
Mgogoro wa corona waendelea Marekani chini ya kivuli cha upuuzaji wa Trump
Jun 22, 2020 22:09Wakati Mgogoro wa corona ukiendelea kuisumbua Marekani na idadi ya waathirika wa virusi hivyo ikipindukia watu milioni 2 na laki tatu, Rais Donald Trump wa nchi hiyo ametoa matamshi ya kustaajabisha akiwataka Wamarekani wapunguze kujipima ugonjwa wa COVID-19.
-
Iran yakosoa kimya cha Ulaya mbele ya ukandamizaji na ukatili unaofanywa dhidi ya raia wa Marekani
Jun 21, 2020 06:27Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran kwa mara nyingine tena amekosoa kimya cha nchi za Ulaya mbele ya ukandamizaji na ukatili unaofanwa na vyombo vya dola vya serikali ya Marekani dhidi ya raia wa nchi hiyo.
-
Uchunguzi wabaini biashara ya utumwa wa ngono katika Jeshi la Majini la Marekani
Jun 21, 2020 06:08Uchunguzi uliofanyika katika Jeshi la Majini la Marekani umebaini kundi moja la wanamaji wa nchi hiyo limeanzisha biashara ya wanawake wanaotumiwa katika masuala ya ngono.
-
Kuunga mkono kurefushwa vikwazo dhidi ya Iran, hatua ya Ulaya ya kutembea kwenye nyayo za Marekani
Jun 21, 2020 01:45Troika ya Ulaya yaani nchi tatu za Ulaya za Uingereza Ujerumani na Ufaransa licha ya kudai zinaunga mkono mkono mapatano ya nyuklia ya JCPOA lakini vitendo vyao vinaiunga mkono Markeani ambayo imejitoa kabisa kwenye makubaliano hayo ya kimataifa. Misimamo ya hivi karibuni ya troika hiyo ya Ulaya imezidi kuonesha jinsi nchi hizo tatu zisivyo na mwamana, sawa kabisa na Marekani.
-
Sanamu la rais wa kwanza wa Marekani nalo lavunjwa katika maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi
Jun 20, 2020 22:44Waandamanaji wanaopinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani wamevunja sanamu la rais wa kwanza wa nchi hiyo katika jimbo la Oregon, katika wimbi la kupinga ukatili wa polisi na sera za kibaguzi zinazofanyika kimfumo nchini humo.
-
Kufutwa jina la Marekani katika azimio la kupinga ubaguzi wa rangi la Umoja wa Mataifa
Jun 20, 2020 22:43Wakati maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi uliokita mizizi nchini Marekani yakiendelea kurindima kote duniani na hasira zilizosababishwa na mauaji ya kikatili yaliyofanywa na polisi mzungu dhidi ya Mmarekani mweusi zikiwa bado kali, maafisa wa serikali ya Washington wanafanya jitihada kubwa za kuzima harakati ya kimataifa ya kupinga ubaguzi.