-
Seneta wa Kimarekani atahadharisha juu ya uwezekeno wa kusambaratika Marekani
Jun 03, 2020 03:29Seneta wa chama cha Democrat nchini Marekani ametahadharisha kwamba kuendelea ubaguzi wa rangi nchini humo bila shaka kutaisambaratisha nchi hiyo.
-
Askari wengi wa Marekani watangaza mshikamano wao na waandamanaji
Jun 02, 2020 23:59Idadi kubwa ya polisi wa Marekani na kinyume na takwa la Rais Donald Trump la kuzidisha ukandamizaji dhidi ya waandamanaji, wametangaza mshikamano wao na waandamanaji.
-
Rais wa Ghana: Natumai mauaji ya Floyd yatachochea mabadiliko Marekani
Jun 02, 2020 23:25Rais wa Ghana ameashiria kuhusu mauaji ya kutisha ya Mmarekani mmoja mwenye asili ya Afrika katika mji wa Minneapolis nchini Marekani na kusema kuwa, "natumai kifo cha George Floyd kitakuwa chachu ya madiliko ya kudumu ya matatizo ya chuki na ubaguzi."
-
Wasiwasi wa Ulaya kuhusu kushamiri mrengo wa fikra za kibaguzi nchini Marekani
Jun 02, 2020 23:22Fikra za kuchupa mipaka za mrengo wa kulia zimeshamiri sana nchini Marekani katika kipindi cha uongozi wa Donald Trump kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa.
-
Raisi: Mahakama za kimataifa ziwafuatilie na kuwapandisha kizimbani viongozi watenda jinai wa Marekani
Jun 02, 2020 07:00Mkuu wa Chombo cha Mahakama nchini Iran amesema kuwa, viongozi wa Marekani ni watuhumiwa wa kuvunja haki za kimsingi kabisa za binadamu na inabidi wapandishwe kizimbani kwenye mahakama za kimataifa.
-
Mkuu wa Majeshi aonekana katika eneo la kukandamiza waandamanaji nchini Marekani
Jun 02, 2020 07:00Muda mchache baada ya rais wa Marekani kutangaza serikali ya kijeshi na marufuku ya kutotoka nje, Mkuu wa Majeshi ya nchi hiyo Jenerali Mark Alexander Milley amekwenda kwenye maeneo ya kukandamiza waandamanaji kuona kwa karibu hali inavyoendelea na kazi inavyofanyika.
-
Obama ataka kufanyiwa marekebisho mfumo wa kimahakama wa Marekani
Jun 02, 2020 03:28Barack Obama, Rais wa zamani wa Marekani na katika kuendelea kwa maandamano ya kulaani mauaji ya ubaguzi wa rangi nchini humo, ametaka kufanyika mabadiliko katika mfumo wa vyombo vya mahakama vya nchi hiyo.
-
Andrew Cuomo: Ghasia za mitaani nchini Marekani ndilo takwa la Trump
Jun 02, 2020 03:12Gavana wa jimbo la New York nchini Marekani sambamba na kuunga mkono maandamano ya amani dhidi ya ubaguzi wa rangi ambao umekuwa ukiendelea nchini humo kwa mamia ya miaka, amesema kuwa, jumbe za Rais Donald Trump wa nchi hiyo zinabainisha wazi kwamba anapendelea ghasia zisambae na kuenea mitaani.
-
Trump asisitiza kuwakandamiza waandamanaji wanaolalamikia ubaguzi wa rangi nchini Marekani
Jun 02, 2020 01:54Ubaguzi wa rangi na matumizi ya mabavu dhidi ya wale wanaotajwa kuwa watu wa rangi nchini Marekani na hasa weusi, ni jambo lenye historia ndefu nchini humo. Licha ya mapambano ya muda mrefu ya weusi kwa ajili ya kutetea haki zao, lakini wangali ni wahanga wakubwa wa ubaguzi na matumizi ya mabavu na hasa kutoka kwa polisi ya nchi hiyo.
-
Maandamano ya kulaani ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi ya Marekani yasambaa duniani kote
Jun 01, 2020 05:55Maandamano ya kulaani ubaguzi wa rangi na jinai ya polisi mweupe kumuuua Mmarekani mwenye asili ya Afrika sambamba na kuendelea kushuhudiwa katika miji na majimbo mbalimbali ya Marekani, lakini pia yamesambaa na kuenea kwa kasi katika nchi mbalimbali duniani hususan za Ulaya.