-
Russia: Hatuitaruhusu Marekani irefushe vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
May 13, 2020 03:48Russia imesema itapinga jitihada zozote za Marekani za kutaka muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran uongezwe utakapomalizika mwezi Oktoba mwaka huu.
-
Maelfu ya Wamarekani wakana uraia wao ndani ya miezi 3 ya 2020
May 13, 2020 03:43Maelfu ya raia wa Marekani wanaoshi nje ya nchi hiyo wametangaza kukana uraia wao mwaka huu kutokana na sababu mbalimbali.
-
Indhari ya Russia kuhusu kibarua kigumu katika mchakato wa kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
May 12, 2020 21:51Marekani imekuwa iking’ang’ania kutekeleza siasa za "mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa" na kuendeleza vikwazo dhidi ya Iran iwe ni vikwazo vya upande mmoja au vikwazo vinavyohusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hususan vikwazo vya silaha.
-
Iran: Hakuna mpango wa kufanya mazungumzo yoyote na Marekani
May 12, 2020 03:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, hakuna mpango wa kufanya mazungumzo yoyote na Marekani kwa sababu Washington haiwezi kuaminika kwa mazungumzo inayofanya.
-
Sisitizo la Amnesty International juu ya ukidhabu wa Marekani katika mauaji ya raia
May 12, 2020 01:38Baada ya mashambulio ya Septemba 11, 2001, Marekani ilianzisha vita katika maeneo tofauti duniani kwa madai ya kupambana na ugaidi na hasa katika nchi mbili za Waislamu, za Afghanistan na Iraq ambazo hatimaye ilizikalia kwa mabavu.
-
Sababu na lengo la Marekani kuondoa ngao ya makombora ya Patriot Saudi Arabia
May 11, 2020 22:09Vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti kuhusu uamuzi wa Marekani kuondoa mfumo wake wa ngao ya makombora ya Patriot kutoka Saudi Arabia, ripoti ambazo pia zimethibitishwa na Mike Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani.
-
Wakazi wa Washington wanaolala kwenye mahema kwa kukosa nyumba waongezeka kwa asilimia 300
May 11, 2020 11:50Idadi ya watu wanaolala kwenye mahema katika barabara za mji wa Washington, mji mkuu wa Marekani hasa baada ya kuenea virusi vya Corona, imeongezeka kwa asilimia 300.
-
Madai ya kipuuzi ya Mike Pompeo kuhusu mafanikio Marekani baada ya kujitoa katika mapatano ya JCPOA
May 11, 2020 02:31Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kuyakosoa vikali mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA, Mei 8 mwaka 2018 alichukua uamuzi wa upande mmoja wa kuiondoa nchi yake katika makubaliano hayo.
-
Marekani, muhimili wa muqawama na mzingiro wa bonde la Shi'b Abi Twalib
May 10, 2020 03:45Ijumaa iliyopita Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah nchini Lebanon aliufananisha mwenendo wa Marekani katika kukabiliana na muqawama kuwa ni sawa na mwenendo ule ule wa viongozi wa Kiquraish dhidi ya Mtume Muhammad (saw) katika mzingiro wa (bonde la) Shi'b Abi Twalib.
-
Janga la COVID-19 na uvurugaji wa Marekani katika Baraza la Usalama
May 10, 2020 02:58Katika hali ambayo Tunisia na Ufaransa zimekuwa zikijitahidi kuzikinaisha Marekani na China ziafiki rasimu ya azimio kuhusu janga la COVID-19 ambayo imekuwa ikijadiliwa kwa wiki kadhaa, Marekani imekataa kuiunga mkono rasimi huyo na hivyo kuzuia ipigiwe kura katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.