-
"Iran imeazimia kweli kufikia makubaliano katika mazungumzo ya nyuklia"
May 12, 2025 07:43Rais wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu iko "jadi" katika mazungumzo yake yasiyo ya moja kwa moja na Marekani ili kufikia makubaliano yenye msingi wa amani, na kusisitiza azma ya Jamhuri ya Kiislamu ya kuendelea kutekeleza shughuli zake za amani za nyuklia.
-
Je, vyuo vikuu vya Marekani vimekuwa wenzo wa kisiasa wa serikali ya Trump?
May 11, 2025 00:31Habari ya kusimamishwa wanachuo zaidi ya 65 wa Chuo Kikuu cha Columbia kwa sababu eti ya kushiriki kwao katika maandamano ya kuiunga mkono Palestina, kwa mara nyingine imefichua makutano nyeti kati ya uhuru wa kujieleza, mamlaka ya kitaaluma na sera za usalama katika vyuo vikuu vya Magharibi.
-
US yaendelea kuwawekea mbinyo wanachuo wanaoitetea Palestina
May 09, 2025 23:27Chuo Kikuu cha Columbia nchini Marekani kimewasimamisha masomo zaidi ya wanafunzi 65 kufuatia maandamano yao ya kuwaunga mkono wananchi wa Palestina ambayo yalitokea kwenye Maktaba ya Butler.
-
Serikali ya Tripoli yapinga kupelekwa Libya wahamiaji kutoka Marekani
May 08, 2025 03:36Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya imepinga vikali mpango wowote wa kupokea wahamiaji haramu waliofukuzwa kutoka Marekani.
-
Kurudi nyuma Marekani katika vita ilivyoanzisha dhidi ya Yemen; matunda ya Muqawama wa Wayemen
May 07, 2025 22:53Msemaji wa harakati ya Muqawama ya Ansarullah, Muhammad Abdul Salam amesema, Yemen haitaiacha Ghaza peke yake licha ya kufikiwa makubaliano ya kusitisha vita, na kwamba Marekani ndiyo iliyoomba kusitishwa mapigano.
-
Kukabiliana mataifa ya Amerika Kusini na vita vya ushuru vya Trump
May 05, 2025 09:54Wanachama wa Soko la Pamoja la Amerika Kusini (Mercado Común del Sur) wameongeza idadi ya bidhaa zisizo na ushuru kwa bidhaa zinazoangizwa kutoka nje ya jumuiya ya kikanda, katika hatua muhimu dhidi ya vita vya kibiashara vilivyoanzishwa na Rais wa Marekani Donald Trump.
-
Iran yawaonya maadui: Jeshi la Anga liko mstari wa mbele kujibu kitisho chochote haraka
May 05, 2025 08:41Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Brigedia Jenerali Hamid Vahedi amesema, kikosi hicho kiko mstari wa mbele kukabiliana haraka sana na tishio lolote dhidi ya nchi.
-
Makosa 6 makubwa ya kimkakati ya Marekani kuhusu Iran
May 04, 2025 22:52Baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kuasisiwa Jamhuri ya Kiislamu nchini Iran, Marekani ikiwa kiongozi wa nchi za Magharibi, muda wote imekuwa ikilifanyia uadui taifa la Iran katika kipindi cha miaka 46 sasa ikiwa ni pamoja na kuliwekea vikwazo vikubwa kupindukia. Hata hivyo Washington imeshindwa kufikia malengo yake dhidi ya Iran.
-
Katibu Mkuu wa UN: Akili Mnemba ni upanga wenye makali pande mbili, ina manufaa na madhara
May 03, 2025 03:06Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, waandishi wa habari wanakabiliwa na hatari kila uchao na kwamba teknolojia mpya ya akili mnemba au AI inayotumika katika tasnia hiyo licha ya kuwa na manufaa inaibua hatari mpya pia kwenye uhuru wa kujieleza.
-
Iran yalaani jinai za kivita za Marekani nchini Yemen
May 02, 2025 23:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baqaei amelaani vikali wimbi la mashambulizi ya jeshi la Marekani katika muda wa saa 24 zilizopita katika maeneo mbalimbali ya majimbo ya Sana'a, Saada, na Al-Jawf nchini Yemen, yakilenga miundombinu na maeneo ya makazi ya Yemen.