Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Marekani yatoa madai bandia ya kuhalalisha mauzo yake ya silaha kwa Saudi Arabia

    Marekani yatoa madai bandia ya kuhalalisha mauzo yake ya silaha kwa Saudi Arabia

    Jun 12, 2019 21:52

    Sambamba na kuongezeka ukosoaji wa kongresi ya Marekani kuhusiana na kitendo cha serikali ya Washington cha kuiuzia Saudi Arabia silaha, Kaimu Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo ametoa madai bandia yanayojaribu kuhalalisha kuiuzia Riyadh silaha hizo.

  • Kaka wa Kambo wa Kiongozi wa Korea Kaskazini aliyeuawa alikuwa jasusi wa CIA

    Kaka wa Kambo wa Kiongozi wa Korea Kaskazini aliyeuawa alikuwa jasusi wa CIA

    Jun 11, 2019 08:30

    Kaka wa kambo wa Kiongozi wa Korea Kaskazini aliuawa baada ya kubainika kuwa ni jasusi wa shirika kuu la kijasusi la Marekani CIA.

  • Upinzani Uingereza wakosoa uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya nchi hiyo

    Upinzani Uingereza wakosoa uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya nchi hiyo

    Jun 11, 2019 02:42

    Chama kikuu cha upinzani cha Leba nchini Uingereza kimekosoa vikali uingiliaji wa masuala ya ndani ya nchi hiyo ya Ulaya unaofanywa na Marekani.

  • "Iran haihitajii Marekani wala haitaki kuwa na uhusiano nayo"

    Jun 09, 2019 22:44

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haihitajii Marekani wala haina haja ya kuwa na uhusiano na Washington.

  • Muhadhiri wa Uturuki: Lengo la Marekani ni kuzidhoofisha nchi zenye nguvu Asia Magharibi

    Muhadhiri wa Uturuki: Lengo la Marekani ni kuzidhoofisha nchi zenye nguvu Asia Magharibi

    Jun 09, 2019 22:02

    Mtaalamu wa masuala ya kisiasa na mhadhiri wa chuo kikuu nchini Uturuki amesema kuwa lengo la vikwazo na mashinikizo ya Marekani dhidi ya Iran ni kuendeleza siasa za kibeberu za White House za kuzidhoofisha nchi zenye nguvu za Asia Magharibi.

  • Wamarekani katika dimbwi la mauaji, watu 89 wauawa na kujeruhiwa kwa kupigwa risasi

    Wamarekani katika dimbwi la mauaji, watu 89 wauawa na kujeruhiwa kwa kupigwa risasi

    Jun 09, 2019 09:24

    Jumla ya watu 89 wameuawa na kujeruhiwa katika maeneo tofauti ya Marekani ndani ya kipindi cha masaa 24 yaliyopita.

  • Ukwamishaji mambo wa Juan Guaidó kuhusu mgogoro wa kisiasa wa Venezuela

    Ukwamishaji mambo wa Juan Guaidó kuhusu mgogoro wa kisiasa wa Venezuela

    Jun 09, 2019 08:05

    Kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Venezuela na kadhalika kushindwa wapinzani wa nchi hiyo kumng'oa madarakani Rais Nicolás Maduro, kumepelekea Juan Guaidó, kiongozi wa upinzani kukubali pendekezo la upatanishi wa Norway na kuanza mazungumzo ya wawakilishi wa serikali na wapinzani huko mjini Oslo.

  • Bensouda aitaka ICC ifungue upya faili la jinai za askari wa Marekani, Afghanistan

    Bensouda aitaka ICC ifungue upya faili la jinai za askari wa Marekani, Afghanistan

    Jun 08, 2019 22:37

    Fatou Bensouda, Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) amewasilisha ombi la kutaka kufunguliwa upya faili la jinai za kivita za askari wa Marekani nchini Afghanistan kati ya mwaka 2003 na 2004.

  • Viongozi wa Venezuela, Cuba wajadili njia za kukabiliana na Marekani

    Viongozi wa Venezuela, Cuba wajadili njia za kukabiliana na Marekani

    Jun 08, 2019 07:21

    Makamo wa Rais wa chama tawala cha Venezuela Diosdado Cabello amekutana na kiongozi wa Chama cha Kikomunisti cha Cuba, Raul Castro kwa lengo la kujadili njia za kukabiliana na uhasama wa Marekani dhidi ya nchi zao.

  • Russia: Madai kuwa Iran ilituomba tuiuzie ngao ya S-400 ni uvumi mtupu

    Russia: Madai kuwa Iran ilituomba tuiuzie ngao ya S-400 ni uvumi mtupu

    Jun 07, 2019 21:47

    Naibu Waziri Mkuu wa Russia katika Masuala ya Ulinzi amesema kwamba, Moscow haijapata ombi kutoka Iran la kuiuzia ngao ya makombora ya S-400.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS