Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Msomi wa Palestina arejeshwa Marekani kutoka Israel, Washington yasalimu amri kwa mashinikizo

    Msomi wa Palestina arejeshwa Marekani kutoka Israel, Washington yasalimu amri kwa mashinikizo

    Jun 07, 2019 21:46

    Familia ya msomi wa Kipalestina anayeishi Marekani, Abdul Haliim al Ashqar imetangaza kuwa msomi huyo amerejeshwa katika jela ya Marekani kutoka Israel kutokana na mashinikizo ya kisheria yaliyoiandama serikali ya Washington.

  • Balozi wa Marekani 'apigwa bomu' katika maandamano nchini Malawi

    Balozi wa Marekani 'apigwa bomu' katika maandamano nchini Malawi

    Jun 07, 2019 08:59

    Balozi wa Marekani nchini Malawi alikuwa baina ya wafuasi wa chama cha upinzani cha MCP ambao polisi ya Malawi imetumia mabomu ya gesi ya kutoa machozi kuwatawanya kwa kushiriki kinyume cha sheria maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa rais uliofanyika Mei 21.

  • Ayatullah Kashani: Katu Iran haitasaimu amri mbele ya njama za adui

    Ayatullah Kashani: Katu Iran haitasaimu amri mbele ya njama za adui

    Jun 07, 2019 08:36

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema katu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitasalimu amri mkabala wa njama za maadui na kusisitiza kwamba taifa hili litaendelea kufungamana na muqawama.

  • Iran yakosoa matamshi ya Rais wa Ufaransa alipokutana na Trump

    Iran yakosoa matamshi ya Rais wa Ufaransa alipokutana na Trump

    Jun 07, 2019 02:58

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa alipokutana na mwenzake wa Marekani mjini Paris na kusema matamshi ya Macron hayasaidii katika kulindwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Mkenya atakiwa aukane uraia wa Marekani kabla ya kuwa balozi

    Mkenya atakiwa aukane uraia wa Marekani kabla ya kuwa balozi

    Jun 07, 2019 02:53

    Raia wa Kenya ambaye pia ana uraia wa Marekani ametakiwa aukane uraia wa Marekani kabla ya kuchukua nafasi ya balozi wa Kenya nchini Korea Kusini.

  • Viongozi wa Russia na China wasisitiza kuendelea kuheshimiwa mapatano ya JCPOA, walaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Viongozi wa Russia na China wasisitiza kuendelea kuheshimiwa mapatano ya JCPOA, walaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Jun 06, 2019 22:39

    Russia na China zikiwa nchi mbili muhimu wanachama wa kundi la 4+1 daima zimekuwa zikisisitiza udharura wa kulindwa mapatano ya kimataifa ya JCPOA na wakati huohuo kupinga vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran.

  • Russia na China zalaani vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran

    Russia na China zalaani vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran

    Jun 06, 2019 03:19

    Marais wa Russia na China sanjari na kulaani vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran, lakini pia wamezitaka pande husika kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya Vienna yanayojulikana kama JCPOA.

  • Rais Erdoğan: Licha ya mashinikizo ya Marekani, tutanunua ngao ya S 400

    Rais Erdoğan: Licha ya mashinikizo ya Marekani, tutanunua ngao ya S 400

    Jun 05, 2019 00:11

    Kwa mara nyingine Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema kuwa, licha ya mashinikizo ya Marekani yanayoitaka inchi yake kuachana na mpango wa kununua ngao ya makombora ya S 400 ya Russia, Ankara haitoachana na azma yake ya kununua ngao hiyo.

  • Pompeo akiri kutotekelezeka mpango wa 'Muamala wa Karne'

    Pompeo akiri kutotekelezeka mpango wa 'Muamala wa Karne'

    Jun 04, 2019 02:42

    Licha ya juhudi kubwa zinazofanywa na serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya kutekeleza mpango wa 'Muamala wa Karne' ambao unalenga kudhamini maslahi ya utawala haramu wa Israel kwa madhara ya Wapalestina, lakini hata Mike Pompeo mwenyewe, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo hana matumaini ya kutekelezwa mpango huo.

  • Iran yaonya kuhusu matokeo mabaya ya ugaidi wa kiuchumi wa Marekani

    Iran yaonya kuhusu matokeo mabaya ya ugaidi wa kiuchumi wa Marekani

    Jun 03, 2019 06:06

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amevitaja vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya taifa hili kama 'ugaidi wa kiuchumi', huku akitahadharisha kuhusu taathira hasi iwapo Washington itaendelea kung'ang'ania mkondo wake huo wa kuwashinikiza Wairani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS