Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Rouhani: Iran itaendelea na muqawama wake hadi Marekani irejee katika mkondo sahihi

    Rouhani: Iran itaendelea na muqawama wake hadi Marekani irejee katika mkondo sahihi

    Jun 03, 2019 02:40

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kufungamana na sera yake ya muqawama hadi pale Marekani itakaporejea katika mkondo ulio sahihi na ikiri kuwa ilikuwa imefuata mkondo mbaya.

  • Ufyatuaji risasi wajiri mbele ya ikulu ya Marekani White House

    Ufyatuaji risasi wajiri mbele ya ikulu ya Marekani White House

    Jun 02, 2019 23:59

    Vyombo vya habari nchini Marekani vimeripoti kujiri ufyatuaji risasi mbele ya ikulu ya nchi hiyo White House.

  • China yajibu vitisho vya Marekani vya kuitaka Hong Kong izizuie meli za mafuta za Iran

    China yajibu vitisho vya Marekani vya kuitaka Hong Kong izizuie meli za mafuta za Iran

    Jun 02, 2019 02:28

    Serikali ya China imetupilia mbali vitisho vya Marekani vya kuitaka kuziwekea vikwazo meli za mafuta za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zisitie nanga na kutoa huduma zake katika bandari ya Hong Kong.

  • Ripoti mpya ya IAEA kuhusu Iran; sisitizo la kufungumana Tehran na makubaliano ya JCPOA

    Ripoti mpya ya IAEA kuhusu Iran; sisitizo la kufungumana Tehran na makubaliano ya JCPOA

    Jun 01, 2019 22:04

    Licha ya tuhuma zinazotolewa na Marekani kwamba Iran haijatekeleza majukumu wala kuheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na hata imeituhumu nchi hiyo kuwa inafanya juhudi za kuunda silaha za nyuklia, lakini ripoti ya karibuni ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) inaeleza kuwa, Tehran inaendelea kuheshimu na kutekeleza majukumu yake kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Uturuki: Hatujaakhirisha uamuzi wa kununua ngao ya S 400 ya Russia

    Uturuki: Hatujaakhirisha uamuzi wa kununua ngao ya S 400 ya Russia

    Jun 01, 2019 03:04

    Serikli ya Uturuki imekadhibisha habari zilizoenezwa kwamba imesimamisha kwa muda mchakato wa ununuzi wa ngao ya makombora ya S 400 ya Russia kwa pendekezo la Marekani.

  • Juhudi za Marekani za kuiwekea Iran vikwazo vya mafuta; ukweli au madai tu?!

    Juhudi za Marekani za kuiwekea Iran vikwazo vya mafuta; ukweli au madai tu?!

    May 31, 2019 23:52

    Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza kuiondoa nchi yake katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama JCPOA, alitangaza kuiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo katika hatua mbili, yaani vya mwezi Agosti na Novemba mwaka jana wa 2018.

  • Ujumbe unaokinzana wa Trump kwa Iran

    Ujumbe unaokinzana wa Trump kwa Iran

    May 30, 2019 21:52

    Rais Donald Trump wa Marekani siku zote amekuwa na misimamo ya kihasama na kiadui dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na daima anasisitiza suala la kuzidisha masihinizo dhidi ya Tehran kwa shabaha ya kuilazimisha kukubali matakwa ya Washington.

  •  China yaituhumu Marekani kuwa inatekeleza  'Ugaidi wa Kiuchumi'

    China yaituhumu Marekani kuwa inatekeleza 'Ugaidi wa Kiuchumi'

    May 30, 2019 07:10

    China imeituhumu Marekani kuwa inachochea kwa makusudi mizozo ya kibiashara ambayo ni sawa na 'ugaidi wa wazi wa kiuchumi.'

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; taathira ya nyenzo za mashinikizo za Iran mkabala wa Marekani

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; taathira ya nyenzo za mashinikizo za Iran mkabala wa Marekani

    May 30, 2019 06:51

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwa mara nyingine tena kuwa kamwe Iran haitafanya mazungumzo na Marekani kwa sababu mazungumzo hayo kwanza, hayana faida yoyote na pili ni kwamba yana madhara kwa taifa la Iran.

  • Takwa la Moscow na Damascus la kuondoka askari wa Marekani nchini Syria

    Takwa la Moscow na Damascus la kuondoka askari wa Marekani nchini Syria

    May 30, 2019 03:22

    Licha ya kutangazwa kwa mara ya kwanza na Rais Donald Trump wa Marekani habari ya kuondoka askari wa nchi yake kutoka Syria, hapo tarehe 19 Disemba mwaka jana, lakini hadi sasa Washington imeendelea kusisitizia kubakisha askari wake nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS