-
Marekani ni hatari kubwa kwa mustakbali wa dunia
Apr 29, 2019 02:01Mwanafikra wa Kiislamu kutoka visiwa vya Komoro amesema kuwa Marekai imehatarisha usalama wa dunia kutokana na siasa zake mbovu za kuingilia mara kwa mara mambo ya ndani ya nchi nyingine.
-
Uganda yalaani hatua za upande mmoja za Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Apr 28, 2019 23:45Waziri Mshauri katika Masuala ya Kigeni nchini Uganda amelaani hatua za upande mmoja za Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Trump kuiondoa Marekani katika Mkataba wa Silaha wa UN
Apr 27, 2019 03:16Katika mwendelezo wa sera zake kuu za kujitoa kwenye mikataba na makubaliano ya kimataifa, Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza azma ya kuiondoa nchi hiyo katika Mkataba wa Uuzaji Silaha wa Umoja wa Mataifa (ATT).
-
Viongozi wa dunia washiriki Kongamano la Barabara ya Hariri, China; Marekani yatengwa
Apr 27, 2019 03:08Zaidi ya viongozi 40 na wajumbe elfu tano kutoka nchi mbalimbali duniani wanakongamana katika Mkutano wa "Ukanda Mmoja na Njia Moja" katika mji mkuu wa China, Beijing uliong'oa nanga hapo jana.
-
Amnesty: Muungano wa kijeshi wa Marekani uliua raia 1,600 Raqqa, Syria
Apr 26, 2019 09:49Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema kuwa, muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Marekani uliua mamia ya raia katika mji wa Raqqa, kaskazini mashariki mwa Syria.
-
Korea Kaskazini yatoa radiamali kali kwa maneva ya kijeshi ya Marekani na Korea Kusini
Apr 26, 2019 00:19Serikali ya Korea Kaskazini imetoa radiamali kali kufuatia maneva ya kijeshi ya hivi karibuni kati ya Marekani na Korea Kusini katika Rasi ya Korea.
-
Hizbullah: Marekani inabeba dhima ya chinja chinja ya Saudia
Apr 26, 2019 00:17Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon Hizbullah imelaani vikali kitendo cha utawala wa Aal-Saud cha kutekeleza hukumu ya kuwanyonga makumi ya Waislamu wa Kishia nchini Saudi Arabia na kusisitiza kuwa, jinai hizo za kihaini zilifanyika kwa baraka kamili na ushirikiano wa Marekani.
-
Ukosoaji wa Rais Vladmir Putin kuhusiana na miamala mibovu ya Marekani kimataifa
Apr 26, 2019 00:12Siasa za upande mmoja za Rais Donald Trump wa Marekani, zimeibua mizozo mingi katika ngazi za kimataifa.
-
Iran yatoa onyo kwa Saudia na Bahrain zisimfuate kibubusa Trump
Apr 25, 2019 09:40Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa onyo kwa tawala za kiimla za Saudi Arabia na Bahrain zisimfuate kibubusa rais wa Marekani Donald Trump katika vikwazo vyake vya mafuta dhidi ya Iran na kuzitaka zifikirie matokeo mabaya ya hatua yao hiyo.
-
Zarif: Iran ina Shahada ya Uzamivu (PhD) ya kukabiliana na vikwazo
Apr 25, 2019 03:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Mohammad Javad Zarif amesema Jamhuri ya Kiislamu haitasimamisha uuzaji wa mafuta yake nje ya nchi licha ya vikwazo vipya vya Marekani, na kusisitiza kuwa taifa hili lina Shahada ya Uzamivu (PhD) katika kupambana na vikwazo.