Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Qassemi: Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani yuko mbali mno na yanayojiri duniani

    Qassemi: Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani yuko mbali mno na yanayojiri duniani

    May 26, 2018 22:03

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kwa kusisitiza kuwa: Haki ya kisheria ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kurutubisha madini ya urani imeshathibitishwa rasmi; na utaalamu wa kufanya hivyo unapatikana humu humu nchini.

  • Kongresi ya Marekani yampiga marufuku Trump kutangaza vita dhidi ya Iran

    Kongresi ya Marekani yampiga marufuku Trump kutangaza vita dhidi ya Iran

    May 25, 2018 22:36

    Wabunge wa Kongresi ya Marekani wamepasisha kwa kauli moja muswada wa marekebisho ya sheria inayompiga marukufu Rais Donald Trump kutangaza vita dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bila ridhaa ya Bunge hilo.

  • Baada ya kukataa kukutana na Kim Jong-un, Trump aitaka Pentagon ijiandae kukabiliana na Pyongyang

    Baada ya kukataa kukutana na Kim Jong-un, Trump aitaka Pentagon ijiandae kukabiliana na Pyongyang

    May 25, 2018 09:29

    Rais Donald Trump wa Marekani amelitaka jeshi na Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo (Pentagon) kujiweka tayari kwa ajili ya makabiliano tarajiwa na Korea Kaskazini.

  • Larijani: Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa US yanaonesha hana ukomavu wa kisiasa

    Larijani: Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa US yanaonesha hana ukomavu wa kisiasa

    May 25, 2018 02:34

    Spika wa Majilisi ya Ushauri wa Kiislamu (Bunge la Iran) amesema matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu hayana mantiki na yanaonesha kuwa waziri huyo hana ukomavu wa kisiasa.

  • Kukivunja kabisa Kibla cha Kwanza cha Waislamu; hatua ya baadaye ya Trump

    Kukivunja kabisa Kibla cha Kwanza cha Waislamu; hatua ya baadaye ya Trump

    May 24, 2018 22:47

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, vitendo vya balozi wa Marekani vinaonesha jinsi nchi yake inavyoshirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel katika kuyavunjia heshima matukufu ya taifa la Palestina na ya umma mzima wa Kiarabu na wa Kiislamu.

  • Wafungwa Waislamu Marekani wanyimwa chakula, walazimishwa kula nyama ya nguruwe

    Wafungwa Waislamu Marekani wanyimwa chakula, walazimishwa kula nyama ya nguruwe

    May 24, 2018 10:08

    Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limewasilisha faili la kesi mahakamani kuwashtaki maafisa wa Idara ya Magereza ya Alaska, kwa kuwanyima chakula wafungwa Waislamu mbali na kuwalazimisha kula nyama ya nguruwe katika mwezi huu wa Ramadhani.

  • Marekani yakasirishwa na hatua ya UN kuiruhusu Palestina ijiunge na taasisi zake

    Marekani yakasirishwa na hatua ya UN kuiruhusu Palestina ijiunge na taasisi zake

    May 24, 2018 09:59

    Marekani imeonesha kughadhibishwa na hata kutishia kuupunguzia ufadhili Umoja wa Mataifa kutokana na UN kuiruhusu Palestina ijunge na taasisi zake.

  • Kiongozi Muadhamu: Ikiwa Ulaya itazembea,  lran ina haki ya kuanzisha shughuli zake za nyuklia

    Kiongozi Muadhamu: Ikiwa Ulaya itazembea, lran ina haki ya kuanzisha shughuli zake za nyuklia

    May 24, 2018 00:21

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria uadui wa msingi, wa kina na endelevu wa Marekani dhidi ya mfumo wa Kiislamu na taifa la Iran na kusisitiza kwamba bila shaka Iran itaishinda tu Marekani iwapo viongozi wa Iran watatekeleza vilivyo majukumu yao.

  • Shamkhani: Marekani haina uthubutu wa kuishambulia kijeshi Iran

    Shamkhani: Marekani haina uthubutu wa kuishambulia kijeshi Iran

    May 23, 2018 23:59

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran sambamba na kubainisha kwamba vikwazo vya kiuchumi vya Marekani dhidi ya Iran ya Kiislamu vimefeli amesisitiza kwamba, nchi hiyo ya Magharibi haina uthubutu wa kuishambulia kijeshi nchi hii.

  • Marekani, mkiukaji mkubwa wa mkataba wa kuzuia silaha za nyuklia na makombora ya masafa ya wastani

    Marekani, mkiukaji mkubwa wa mkataba wa kuzuia silaha za nyuklia na makombora ya masafa ya wastani

    May 23, 2018 08:03

    Mkuu wa kituo cha Kitaifa cha Kupunguza Hatari ya Nyuklia cha nchini Russia, Sergei Ryzhkov amesema kuwa, Marekani imeendelea kuifanyia majaribio mifumo ya ulinzi ya makombora na kadhalika kuzalisha makombora ambayo yalipigwa marufuku na mkataba wa kuzuia silaha za nyuklia na kufuatilia kutengeneza silaha za masafa ya wastani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS