-
Marekani kuziuzia Saudia na Imarati 'mabomu-erevu' 120,000
May 23, 2018 02:56Rais Donald Trump ameliomba Bunge la Kongresi la Marekani litathmini mpango wa kuziuzia Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu makumi ya maelfu ya mabomu-erevu ya kuelekezwa, licha ya makelele ya jamii ya kimataifa ya kupinga utumiaji silaha hizo dhidi ya wananchi wa Yemen.
-
Venezuela yawatimua wanadiplomasia wa Marekani
May 23, 2018 02:51Venezuela imewafukuza nchini wanadiplomasia wawili wa ngazi za juu wa Marekani, ikiwa ni radiamali ya nchi hiyo ya Amerika ya Latini ya kujibu uhasama mpya wa Washington wa kushadidisha vikwazo dhidi yake.
-
Mwakilishi wa Iran UN: Marekani imewapatia kinga Wazayuni na Wasaudi ya kushambulia raia
May 22, 2018 23:55Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema utawala wa Kizayuni na ule wa Aal Saud zinaungwa mkono na Marekani kwa kuwa ni mwanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama katika mashambulio yao dhidi ya raia na kubainisha kuwa Washington imezipatia kinga tawala mbili hizo.
-
Rouhani: Marekani haiwezi kuiamulia dunia nzima
May 21, 2018 23:43Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani haiwezi kuchukua mamuzi kuhusu Iran na nchi zingine huru na zenye kujitegemea duniani.
-
Matamshi yaliyo dhidi ya Iran ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani
May 21, 2018 23:35Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani amekariri madai yaliyo dhidi ya Iran na kwa mara nyingine tena kuituhumu Tehran kuwa inasababisha ukosefu wa amani katika eneo.
-
Amoli Larijani: Marekani haiwezi kuficha jinai za utawala wa Kizayuni
May 21, 2018 23:12Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesema kuwa Marekani inahusika na jinai za karibuni za utawala wa Kizayuni na kwamba maafa hayo yametendwa kufuatia baraka za Marekani kwa utawala huo.
-
Marekani yaamua kurudi nyuma katika vita vya biashara ilivyovianzisha dhidi ya China
May 21, 2018 09:42Waziri wa Fedha wa Marekani ameelezea kusimama vita vya kibiashara kati ya nchi yake na China sambamba na kukubali kupunguza mizozo ya kibiashara baina nchi hizo.
-
Rais Rouhani: Marekani haiwezi kukabiliana na taifa imara la Iran
May 21, 2018 03:41Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwamba kamwe Marekani haitoweza kulipigisha magoti taifa imara la Iran.
-
Rouhani: Njama za Marekani za kuitenga Iran na dunia zimefeli
May 20, 2018 02:56Rais Hassan Rouhani amesema njama za Marekani za kuitenga Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na dunia zimegonga mwamba licha ya jitihada kubwa za Washington za kufanikisha azma hiyo.
-
Ndege za Marekani zashuhudiwa zikiwatumia silaha mabaki ya Daesh (ISIS) nchini Syria
May 19, 2018 09:46Kwa mara nyingine wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) wamepewa msaada wa silaha na askari wa Marekani na kuwawezesha kuingia eneo la wazi la kusini magharibi mwa jimbo la Deir ez-Zor nchini Syria.