-
Trump: Huenda kiongozi wa Korea Kaskazini akapatwa na hatima kama ya Gaddafi
May 18, 2018 23:43Rais Donald Trump wa Marekani amemuonya kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un kuwa huenda akapatwa na hatima kama iliyomfika kiongozi wa zamani wa Libya, Kanali Muammar Gaddafi, iwapo Pyongyang haitaachana na mradi wake wa silaha za nyuklia.
-
Kiongozi Muadhamu: Kukombolewa Palestina ni kanuni ya Allah ambayo Marekani haiwezi kukabiliana nayo
May 17, 2018 23:57Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, moja ya mahitaji muhimu na ya lazima ya umma wa Kiislamu hii leo, ni udharura wa kushikamana na Qur'an Tukufu na kuifanyia kazi.
-
Onyo la Korea Kaskazini kwa Marekani, lailazimisha Washington kurejea nyuma
May 17, 2018 23:23Kufuatia onyo kali la Korea Kaskazini la kutaka kuvunja kikao tarajiwa kati ya kiongozi wa nchi hiyo na Rais wa Marekani hapo tarehe 12 Juni mwaka huu, hatimaye Washington imelazimika kutangaza kwamba ndege za kivita zenye kubeba mabomu ya nyuklia hazitashirki katika maneva ya pamoja ya anga ya nchi hiyo na Korea Kusini.
-
Vikwazo vya Marekani dhidi ya viongozi wa Hizbullah ya Lebanon
May 17, 2018 22:08Serikali ya Marekani imetangaza vikwazo vingine vipya, mara hii ikiwa ni dhidi ya viongozi waandamizi wa Hizbullah ya Lebanon akiwemo Katibu Mkuu wake Sayyid Hassan Nasrullah na naibu wake Sheikh Naeem Qassim.
-
Korea Kaskazini yatishia kufuta mkutano wake na Marekani
May 16, 2018 02:49Korea Kaskazini imetishia kufuta mkutano kati ya kiongozi wake, Kim Jong-un na Rais Donald Trump wa Marekani, kutokana na kile inachodai kuwa ni chokochoko za Washington na Korea Kusini dhidi yake.
-
Marekani yawalaumu Wapalestina kwa kuuawa na askari wa Israel, Gaza
May 15, 2018 22:11Ikulu ya Marekani White House imejitokeza kuutetea hadharani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuwaua shahidi Wapalestina wasiopungua 54 waliokuwa wakishiriki maandamano katika Ukanda wa Gaza siku ya Jumatatu.
-
Russia na Ufaransa kuendelea kufungamana na JCPOA
May 15, 2018 22:11Siku chache baada ya Rais Donald Trump kutangaza kuiondoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya Iran yanayofahamika kama JCPOA, kwa mara nyingine tena marais wa Russia na Ufaransa wamesisitizia umuhimu wa pande zilizosalia kuendelea kufungamana na mapatano hayo ya kimataifa.
-
Larijani: Marekani imedhamiria kuifuta taasisi ya Umoja wa Mataifa
May 15, 2018 03:29Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema: Marekani imekusudia kuifuta taasisi ya Umoja wa Mataifa ambayo imeundwa kwa madhumuini ya kuleta amani duniani na hivyo kuutumbukiza uga wa kimataifa kwenye machafuko na mchafukoge wa kiusalama.
-
Ujasusi wa serikali ya Marekani kwa raia wake umeongezeka kwa asilimia 300
May 15, 2018 03:19Tovuti ya taasisi inayopinga vita ya Anti War imetoa ripoti na kueleza kuwa ujasusi unaofanywa na serikali ya Marekani kwa raia wa nchi hiyo umeongezeka kwa kiwango cha asilimia 300.
-
Wapalestina zaidi ya 54 wameuawa shahidi baada ya kufyatuliwa risasi na jeshi la Israel katika maandamano ya leo
May 14, 2018 08:50Wapalestina wasiopungua 54 wameuawa shahidi baada ya kufyatuliwa risasi na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza