-
Zarif: Russia yasema itaheshimu mapatano ya nyuklia hata baada ya Marekani kujiondoa
May 14, 2018 09:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema Russia imethibitisha kuwa itaendelea kuheshimu mapatano ya nyuklia ya Iran ambayo ni maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA, hata baada ya Marekani kujiondoa.
-
Kususiwa sherehe za ufunguzi wa ubalozi wa Marekani mjini Quds
May 13, 2018 06:05Zaidi ya nusu ya viongozi wa kigeni walioalikwa kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa ubalozi wa Marekani mjini Quds, wamekataa kushiriki sherehe hizo.
-
Waisraeli wajiunga na Wapalestina katika maandamano dhidi ya US
May 13, 2018 03:16Mamia ya Waisraeli wamejiunga na Wapalestina katika maandamano ya kupinga hatua ya kiuhasama ya Marekani ya kuuhamishia ubalozi wake katika mji wa Quds Tukufu, kutoka Tel Aviv.
-
Iran: Daesh ni silaha ya Marekani dhidi ya usalama wa Mashariki ya Kati
May 13, 2018 03:12Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelitaja kundi la kigaidi na kitakfri la Daesh (ISIS) kama chombo cha Marekani na madola mengine ya kibeberu cha kuvuruga usalama katika eneo hili la Mashariki ya Kati.
-
Kujizuia Ulaya kubeba gharama za kujitoa Marekani katika makubaliano ya JCPOA
May 12, 2018 07:55Jean-Yves Le Drian Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa ameitaja hatua ya Marekani ya kuyawekea mashinikizo mashirika ya nje ambayo yana uhusiano wa kibiashara na Iran kuwa haikubaliki na kueleza kuwa: Nchi za Ulaya hazipasi kubeba gharama za kujitoa Marekani ndani ya JCPOA.
-
Inspekta Mkuu wa IAEA ajiuzulu baada ya Marekani kujiondoa JCPOA
May 12, 2018 02:50Inspekta Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA ametangaza kujiuzulu ghafla, siku chache baada ya Rais Donald Trump kuiondoa Marekani kwenye makubaliano ya nyuklia ya Iran.
-
Majibu makali ya Russia kwa vikwazo vipya vya Marekani
May 12, 2018 02:38Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetoa tamko kali la kujibu vikwazo vipya vya Marekani dhidi yake na kusema kuwa, vikwazo hivyo vya serikali ya Donald Trump dhidi ya Moscow vinatokana na hamaki za Washington za kushindwa mashambulizi yake ya tarehe 14 Aprili nchini Syria.
-
Wananchi wa Iran waandamana na kulaani uadui wa Marekani
May 11, 2018 09:58Wananchi wa Iran wameandamana leo katika miji mbalimbali nchini baada ya Sala ya Ijumaa na kulaani vikali kuendelea uadui na ukiukaji ahadi wa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Kansela wa Ujerumani Merkel apoteza matumaini kuhusu Marekani
May 11, 2018 03:44Kansela Angela Merkel wa Ujerumani kwa mara nyingine amesema nchi za Ulaya haziwezi kuendelea kuitegemea Marekani katika masuala ya kijeshi na kujihami. Merkel amewataka waitifaki wa Ujerumani barani Ulaya wachukue hatima ya bara hilo mikononi mwao kwani Marekani haiwezi kutegemewa tena.
-
Marekani imekiuka sheria kwa kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA
May 11, 2018 00:15Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa rasmi kufuatia kufuatia hatua ya Marekani kukiuka sheria na kujiondoa katika mapatano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji JCPOA.