Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Ripoti: Ofisi ya John Bolton imehusika kueneza habari za uongo dhidi ya Waislamu

    Ripoti: Ofisi ya John Bolton imehusika kueneza habari za uongo dhidi ya Waislamu

    Apr 24, 2018 03:00

    Televisheni moja ya nchini Marekani imetangaza kwamba, ofisi ya John R. Bolton, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa ikulu ya Marekani White House, ndiyo inayohusika kueneza habari zisizo na ukweli dhidi ya Waislamu duniani.

  • Marekani inaendelea kuongeza wanajeshi wake barani Afrika

    Marekani inaendelea kuongeza wanajeshi wake barani Afrika

    Apr 23, 2018 22:47

    Jeshi la Marekani linajenga kituo cha ndege za kivita zisizo na rubani nchini Niger kwa lengo la kukabiliana na kile wakuu wa Washington wanadai ni 'makundi ya kigaidi' barani Afrika.

  • Marekani inasaidia magenge stadi kuwaua wataalamu na wenye vipawa wa Kiiraqi

    Marekani inasaidia magenge stadi kuwaua wataalamu na wenye vipawa wa Kiiraqi

    Apr 23, 2018 12:07

    Mwanachama mwandamizi wa mrengo wa Muungano wa Al-Fat'h katika uchaguzi wa Iraq amesema kuna magenge stadi ya mauaji yanayoongozwa na kuungwa mkono na Marekani ili kuwaua wataalamu na shakhsia wenye vipawa wa Kiiraqi.

  • Iran: Marekani ikijitoa katika JCPOA, tutaanzisha tena shughuli za nyuklia kwa kiwango cha kisasa zaidi

    Iran: Marekani ikijitoa katika JCPOA, tutaanzisha tena shughuli za nyuklia kwa kiwango cha kisasa zaidi

    Apr 23, 2018 00:09

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, chaguo kuu la Iran endapo Marekani itajitoa katika makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA ni kuanzisha tena shughuli za nyuklia za taifa hili zenye malengo ya amani lakini kwa kiwango cha juu na cha kisasa zaidi.

  • Watetezi wa haki za binadamu walalamikia uungaji mkono wa Marekani kwa utawala wa Kizayuni

    Watetezi wa haki za binadamu walalamikia uungaji mkono wa Marekani kwa utawala wa Kizayuni

    Apr 22, 2018 20:54

    Makundi ya kutetea haki za binadamu nchini Marekani yameitaja ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya nchi hiyo iliyogusia Palestina inayokaliwa kwa mabavu kuwa isiyo sahihi, iliyopotoshwa na isiyokubalika.

  • Iran: Ripoti ya haki za binadamu ya Marekani ni ya kiuadui na kisiasa na haikubaliki

    Iran: Ripoti ya haki za binadamu ya Marekani ni ya kiuadui na kisiasa na haikubaliki

    Apr 22, 2018 03:32

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa jibu kwa ripoti ya kila mwaka inayotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kuhusu haki za binadamu kwa kueleza kwamba ripoti hiyo ni ya kiuadui na kisiasa na haikubaliki.

  • Chokochoko za Marekani za kuzifungulia njia tawala za Kiarabu ya kujiingiza moja kwa moja kijeshi nchini Syria

    Chokochoko za Marekani za kuzifungulia njia tawala za Kiarabu ya kujiingiza moja kwa moja kijeshi nchini Syria

    Apr 20, 2018 03:22

    Bouthaina Shaaban, mshauri wa kisiasa na wa masuala ya habari wa Rais Bashar Al-Assad wa Syria ametoa jibu na radiamali kwa wito wa rais wa Marekani Donald Trump wa kutaka muungano wa vikosi vya nchi za Kiarabu ukashike hatamu za udhibiti wa eneo la kaskazini mwa Syria baada ya kuondoka wanajeshi wa Marekani.

  • Trump: Mimi ni jasusi zaidi ya gaidi wa US anayezuiliwa Uturuki

    Trump: Mimi ni jasusi zaidi ya gaidi wa US anayezuiliwa Uturuki

    Apr 18, 2018 03:12

    Rais Donald Trump amejitokeza na kumkingia kifua Padri mmoja raia wa Marekani aliyepandishwa kizimbani nchini Uturuki hivi karibuni kwa tuhuma za kujihusisha na harakati za kigaidi ndani ya taifa hilo.

  • Mogherini asisitiza kuhusu kulindwa mapatano ya nyuklia ya Iran huku undumakuwili wa EU ukiendelea

    Mogherini asisitiza kuhusu kulindwa mapatano ya nyuklia ya Iran huku undumakuwili wa EU ukiendelea

    Apr 17, 2018 03:48

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya Federica Mogherini amesistiza kuhusu kulindwa mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA.

  • Mgongamno katika madai ya Marekani ya kutoka nchini Syria

    Mgongamno katika madai ya Marekani ya kutoka nchini Syria

    Apr 16, 2018 03:31

    Marekani imeendelea kutoa matamshi yanayogongana baada ya Ikulu ya nchi hiyo (White House) kudai kuwa rais wa nchi hiyo Donald Trump amekusudia kuwaondoa haraka wanajeshi wa nchi hiyo walioko Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS