Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Nikki Haley: Jeshi la Marekani haliondoki Syria

    Nikki Haley: Jeshi la Marekani haliondoki Syria

    Apr 16, 2018 00:03

    Mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa nchi hiyo haitaondoa wanajeshi wake huko Syria hadi itakapofikia malengo yake.

  • Jebeli: Hujuma ya Marekani na Waitifaki wake Syria haiathiri utendaji wa muqawama

    Jebeli: Hujuma ya Marekani na Waitifaki wake Syria haiathiri utendaji wa muqawama

    Apr 15, 2018 09:40

    Mkuu wa Kitengo cha Kimataifa cha Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Hujuma ya Marekani na waitifaki wake dhidi ya Syria haijawa na taathira hasi katika utendaji wa jeshi na taifa la Syria pamoja na harakati ya mapambano au muqawama."

  • Larijani: Mashambulio dhidi ya Syria ni unyama na ni kinyume na sheria za kimataifa

    Larijani: Mashambulio dhidi ya Syria ni unyama na ni kinyume na sheria za kimataifa

    Apr 15, 2018 03:00

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mashambulio ya Marekani, Uingereza na Ufaransa dhidi ya Syria ni unyama na ni kinyume kabisa na sheria za kimataifa.

  • Mufti wa Syria: Marekani na washirika wake hawana hata chembe ya ubinadamu

    Mufti wa Syria: Marekani na washirika wake hawana hata chembe ya ubinadamu

    Apr 15, 2018 02:52

    Mufti Mkuu wa Syria amesema kuwa, madola ambayo yamewashambulia kwa mabomu wananchi wa Syria hayana chembe ya ubinadamu.

  • Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Mashambulizi dhidi ya Syria ni jinai, Marekani itashindwa

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Mashambulizi dhidi ya Syria ni jinai, Marekani itashindwa

    Apr 14, 2018 12:57

    Mapema leo Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameyataja mashambulizi yaliofanywa alfajiri ya leo na nchi za Marekani, Uingereza na Ufaransa dhidi ya Syria kuwa ni jinai na uhalifu na kusema kuwa: Marais wa Marekani na Ufaransa na Waziri Mkuu wa Uingereza ni wahalifu waliotenda jinai.

  • Viongozi mbalimbali waendelea kupinga mashambulizi dhidi ya Syria

    Viongozi mbalimbali waendelea kupinga mashambulizi dhidi ya Syria

    Apr 14, 2018 12:55

    Mashambulizi yaliyofanywa na Marekani, Ufaransa na Uingereza huko Syria yamekabiliwa na upinzani mkubwa barani Ulaya na huko Marekani.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu jinai ya Marekani, Uingereza na Ufaransa dhidi ya Syria

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu jinai ya Marekani, Uingereza na Ufaransa dhidi ya Syria

    Apr 14, 2018 09:27

    Mapema leo Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameyataja mashambulizi yaliofanywa alfajiri ya leo na nchi za Marekani, Uingereza na Ufaransa dhidi ya Syria kuwa ni jinai na uhalifu na kusema kuwa: Marais wa Marekani na Ufaransa na Waziri Mkuu wa Uingereza ni wahalifu waliotenda jinai.

  • Muhammad Javad Zarif: Serikali ya Marekanin imefilisika kimaadili

    Muhammad Javad Zarif: Serikali ya Marekanin imefilisika kimaadili

    Apr 13, 2018 23:47

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa njama za Marekani za kutaka kurejesha vikwazo dhidi ya Iran na kusema kuwa, serikali ya Washington imefilisika kimaadili.

  • Trump aelekeza vita vya kibiashara Afrika, Rwanda yajibu mapigo

    Trump aelekeza vita vya kibiashara Afrika, Rwanda yajibu mapigo

    Apr 12, 2018 10:18

    Baada ya kuanzisha vita vya kibiashara dhidi ya nchi za Asia na Ulaya na kupata jibu kali, sasa Rais wa Marekani Donald Trump anaonekena kueelekeza vita hivyo kwa nchi za Afrika.

  • Abdollahian: Marekani imekasirishwa na kusambaratishwa magaidi wa Daesh nchini Syria

    Abdollahian: Marekani imekasirishwa na kusambaratishwa magaidi wa Daesh nchini Syria

    Apr 11, 2018 22:03

    Mshauri wa Masuala ya Kimataifa wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, kusambaratishwa magaidi wa Daesh (ISIS) nchini Syria kumeikasirisha sana Marekani na kwamba vitisho vinavyotolewa hivi sasa na Washington dhidi ya Damascus vina shabaha ya kuhamisha mazungumzo ya Astana na Sochi na kuyapelekea Vienna na Geneva kwa lengo la kudhamini malengo ya Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS