Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Uingereza yakataa kushirikiana na Marekani katika mashambulizi dhidi ya Syria

    Uingereza yakataa kushirikiana na Marekani katika mashambulizi dhidi ya Syria

    Apr 11, 2018 09:17

    Gazeti moja la Uingereza limefichua kwamba, Waziri Mkuu wa nchi hiyo amekataa ombi la Rais wa Marekani la kushiriki katika mashambulizi dhidi ya Syria.

  • Seneta Marekani akosolewa kwa kudhalilisha Kiswahili wakati wa kumsaili mkuu wa Facebook

    Seneta Marekani akosolewa kwa kudhalilisha Kiswahili wakati wa kumsaili mkuu wa Facebook

    Apr 11, 2018 03:16

    Seneta mmoja nchini Marekani amekosolewa na watumizi wa mitandao ya kijamii kutokana na hatua yake ya kuonekana kuikejeli na kuidhalilisha lugha ya Kishwaili.

  • Marekani yaiuzia Qatar makombora 5000 huku mgogoro na Saudia ukitokota

    Marekani yaiuzia Qatar makombora 5000 huku mgogoro na Saudia ukitokota

    Apr 11, 2018 00:05

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangza idhini ya kuiuzia Qatar makombora 5000 yenye thamani ya dola milioni 300 huku mgogoro baina ya nchi hiyo ndogo na Saudia ukizidi kutokota.

  • Saeb Erekat: Marekani inaongoza vita vya kisaikolojia dhidi ya raia wa Palestina

    Saeb Erekat: Marekani inaongoza vita vya kisaikolojia dhidi ya raia wa Palestina

    Apr 07, 2018 11:25

    Mamlaka ya ndani ya Palestina imeikosoa Marekani kwa kuzuia kufanyika uchunguzi wa kimataifa kuhusiana na jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Ghaza na ametaka kufanyika uchunguzi huo haraka iwezekanavyo.

  • Ripoti: Waislamu nchini Marekani wanafungwa vifungo virefu kuliko wengine

    Ripoti: Waislamu nchini Marekani wanafungwa vifungo virefu kuliko wengine

    Apr 06, 2018 23:22

    Utafiti mpya umebainisha kuwa, watuhumiwa wa uhalifu Waislamu au wenye majina ya Kiislamu nchini Marekani wanahukumiwa vifungo virefu zaidi na habari hizo kuvaliwa njuga na vyombo vya habari, kuliko watuhumiwa wasiokuwa Waislamu.

  • Rais wa Ghana: Hatutairuhusu Marekani ijenge kituo cha kijeshi nchini

    Rais wa Ghana: Hatutairuhusu Marekani ijenge kituo cha kijeshi nchini

    Apr 06, 2018 23:22

    Rais Nana Akufo-Addo wa Ghana amesema nchi hiyo katu haitasaini mkataba na Marekani wa kuiruhusu Washington ijenge kituo cha kijeshi katika nchi hiyo ya Kiafrika.

  • Marekani yawataka Wapalestina wasisogelee maeneo yanayokaliwa kwa mabavu

    Marekani yawataka Wapalestina wasisogelee maeneo yanayokaliwa kwa mabavu

    Apr 06, 2018 03:27

    Mjumbe Maalumu wa Marekani katika Masuala ya Mashariki ya Kati amewataka wafanya maaadamano wa Palestina wasisogelee mpaka wa Ukanda wa Ghaza na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Israel.

  • Iran: Tutatoa jibu kali iwapo Marekani itakiuka makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Iran: Tutatoa jibu kali iwapo Marekani itakiuka makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Apr 05, 2018 23:18

    Mkuu wa Shirika la Atomiki la Iran amezitahadharisha nchi zinazotaka kuvuruga makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kati ya Iran na nchi 6 wanachama wa kundi la 5+1 na kusisitiza kuwa, Tehran itatoa jibu kali kwa hatua kama hiyo.

  • Raia wa Afghanistan waandamana kulaani mauaji ya Marekani dhidi yao

    Raia wa Afghanistan waandamana kulaani mauaji ya Marekani dhidi yao

    Apr 05, 2018 02:53

    Raia wa mji wa Kunduz, kaskazini mwa Afghanistan wamefanya maandamano makubwa kulaani jinai za kila mara zinazofanywa na ndege za kijeshi za askari wa kigeni wakiongozwa na Marekani, katika maeneo tofauti ya nchi yao.

  • Zarif: Saudia inaendelea 'kukamwa' kwa kutoleshwa fidia na Trump

    Zarif: Saudia inaendelea 'kukamwa' kwa kutoleshwa fidia na Trump

    Apr 04, 2018 22:56

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Mtindo wa rais wa Marekani wa 'kuikama' Saudi Arabia unaendelezwa bila kusita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS