Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Weledi wa kisiasa: Huwenda Rais Trump akakumbwa na hatma ya Richard Nixon

    Weledi wa kisiasa: Huwenda Rais Trump akakumbwa na hatma ya Richard Nixon

    Apr 02, 2018 10:30

    Kuendelea kufichuliwa kashfa mbalimbali zinazomuhusu rais wa Marekani, Donald Trump kumetajwa na weledi wa masuala ya kisiasa nchini humo kuwa kutapelekea rais huyo kujiuzulu kabla ya kumaliza muda wake.

  • Iran: Marekani ni mtuhumiwa nambari moja wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina

    Iran: Marekani ni mtuhumiwa nambari moja wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina

    Apr 01, 2018 12:46

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Bunge la Iran amelaani vikali jinai ya Wazayuni ya kuua raia wa Palestina katika maandamano ya amani yaliyofanyika Ukanda wa Gaza katika Siku ya Ardhi na kusisitiza kuwa, Marekani ndio mtuhumiwa nambari moja wa jinai hizo zilizofanywa na askari wa Israel.

  • White House yahamakishwa na hatua ya Russia kutimua wanadiplomasia 60 wa US

    White House yahamakishwa na hatua ya Russia kutimua wanadiplomasia 60 wa US

    Mar 30, 2018 10:34

    Ikulu ya Marekani ya White House imeeleza kughadhibishwa kwake na hatua ya Russia kuwafukuza nchini humo makumi ya wanadiplomasia wa Marekani sambamba na kuagiza kufungwa ofisi ya ubalozi mdogo wa nchi hiyo.

  • Zarif: Ushiriki mkubwa wa Marekani katika maafa ya Yemen hautasawariki

    Zarif: Ushiriki mkubwa wa Marekani katika maafa ya Yemen hautasawariki

    Mar 29, 2018 23:34

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amekosoa nafasi kubwa ya Marekani katika vita na mashambulizi yanayoendelea kufanywa na Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya watu wa Yemen na kusisitiza kuwa, ushiriki mkubwa wa Washington katika maafa makubwa zaidi ya binadamu duniani hautasawariki.

  • Pakistan yaionya Marekani kwa kuyawekea vikwazo mashirika yake saba ya nyuklia

    Pakistan yaionya Marekani kwa kuyawekea vikwazo mashirika yake saba ya nyuklia

    Mar 27, 2018 22:08

    Serikali ya Pakistan imetoa radiamali ya onyo kwa Marekani kufuatia hatua ya Washington ya kuyawekea vikwazo mashirika saba ya nchi hiyo kwa kujihusisha na shughuli za nyuklia.

  • Kukiri Saudi Arabia nafasi ya Marekani katika kuenea Uwahabi

    Kukiri Saudi Arabia nafasi ya Marekani katika kuenea Uwahabi

    Mar 27, 2018 22:03

    Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia amekiri katika mahojiano aliyofanyiwa na gazeti la Washington Post kwamba, nchi yake imejikita zaidi katika kueneza Uwahabi ulimwenguni kwa takwa la Marekani na kwa ajili ya kukabiliana na kambi ya Mashariki katika kipindi cha Vita Laini vya 1947-1991.

  • Marekani yamzuia rais wa zamani wa Somalia kuingia nchini humo

    Marekani yamzuia rais wa zamani wa Somalia kuingia nchini humo

    Mar 27, 2018 03:13

    Aliyekuwa rais wa Somalia amenyimwa viza ya kuingia nchini Marekani, chini ya dikrii iliyopasishwa na Rais Donald Trump ya kuzuia watu na wahajiri kutoka nchi za Kiislamu kuingia nchini humo.

  • USCIRF yaikosoa serikali ya Marekani kwa kufumbia jicho vitabu vya masomo Saudia

    USCIRF yaikosoa serikali ya Marekani kwa kufumbia jicho vitabu vya masomo Saudia

    Mar 26, 2018 21:59

    Kamisheni ya Marekani inayofuatilia uhuru wa kidini kimataifa (USCIRF) imeikosoa serikali ya nchi hiyo kwa kufumbia jicho suala la marekebisho ya vitabu vinavyotumiwa katika shule za Saudi Arabia ambavyo vinaeneza misimamo ya kufuru mipaka na itikadi za kuwakufurisha Waislamu wengine.

  • Wasi wasi wa Wamarekani kuhusiana na vita vya kibiashara kati ya nchi yao na China

    Wasi wasi wa Wamarekani kuhusiana na vita vya kibiashara kati ya nchi yao na China

    Mar 26, 2018 00:10

    Suala la Rais Donald Trump wa Marekani kutia saini dikrii ya kupandishwa ushuru wa forodha wa biadhaa za China, limeibua tofauti kubwa za kibiashara kati ya Marekani na China.

  • Ung'ang'anizi wa Marekani wa kuendelea kuweko wanajeshi wake nchini Iraq

    Ung'ang'anizi wa Marekani wa kuendelea kuweko wanajeshi wake nchini Iraq

    Mar 24, 2018 21:49

    Msemaji wa komandi ya operesheni za kijeshi ya Marekani huko magharibi mwa Iraq amedai kuwa bado kuna udharura wa kuweko wanajeshi wa nchi hiyo katika eneo hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS