Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Kuendelea kujitanua Israel katika kivuli cha uungaji mkono wa Marekani

    Kuendelea kujitanua Israel katika kivuli cha uungaji mkono wa Marekani

    Mar 23, 2018 23:26

    Vyombo vya habari vimetangaza juhudi zinazofanywa na utawala haramu wa Israel kwa ajili ya kujenga maelfu ya nyumba mpya katika ardhi za Wapelestina.

  • Utafiti: Mamilioni kuhama Afrika na kuelekea Marekani na Ulaya

    Utafiti: Mamilioni kuhama Afrika na kuelekea Marekani na Ulaya

    Mar 23, 2018 09:37

    Watafiti wanasema kuwa karibu watu milioni 1.5 wameondoka katika nchi zilizo chini ya Jangwa la Sahara barani Afrika na kuelekea Ulaya na Marekani tangu mwaka 2010, huku mamilioni ya wengine wakifanya mipango ya kufuata nyao za wenzao.

  • Malengo ya safari ya Bin Salman nchini Marekani

    Malengo ya safari ya Bin Salman nchini Marekani

    Mar 21, 2018 03:39

    Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman jana Jumanne aliwasili Washington nchini Marekani kwa ziara ya wiki mbili.

  • Trump aendeleza bwabwaja zake dhidi ya Iran

    Trump aendeleza bwabwaja zake dhidi ya Iran

    Mar 21, 2018 00:36

    Rais Donald Trump wa Marekani jana Jumanne alikutana na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia katika Ikulu ya White House na kukariri tena madai yasiyo na msingi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

  • Kauli kinzani za Mahmoud Abbas; tuhuma dhidi ya Hamas, matusi dhidi ya balozi wa Marekani

    Kauli kinzani za Mahmoud Abbas; tuhuma dhidi ya Hamas, matusi dhidi ya balozi wa Marekani

    Mar 20, 2018 12:54

    Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametoa tuhuma dhidi ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS kwamba ilitaka kumuua Waziri Mkuu wa mamlaka hiyo Rami Hamdallah, lakini wakati huohuo ametoa matamshi ya kumfananisha balozi wa Marekani Israel na "kitoto cha mbwa" kwa sababu ya msimamo wake wa kuunga mkono ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Bin Salman akaribishwa Marekani kwa maandamano ya kulaani mauaji ya watoto Yemen

    Bin Salman akaribishwa Marekani kwa maandamano ya kulaani mauaji ya watoto Yemen

    Mar 20, 2018 12:20

    Maelfu ya wanaharakati wamefanya maandamano nje ya jengo la Capitol Hill lenye mabunge ya Marekani katika jiji la Washington, kulaani mauaji ya watoto wadogo wasio na hatia nchini Yemen yanayofanywa na ndege za kivita za Saudi Arabia.

  • Kasisi wa Marekani kupandishwa kizimbani Uturuki kwa tuhuma za ugaidi

    Kasisi wa Marekani kupandishwa kizimbani Uturuki kwa tuhuma za ugaidi

    Mar 20, 2018 12:12

    Kasisi mmoja raia wa Marekani huenda akahukumiwa kifungo cha miaka 35 jela nchini Uturuki iwapo atapatikana na hatia katika tuhuma za ugaidi na ujasusi zinazomkabili.

  • Helikopta za Marekani zawaokoa viongozi wanne wa Daesh wasiangamizwe na jeshi la Syria

    Helikopta za Marekani zawaokoa viongozi wanne wa Daesh wasiangamizwe na jeshi la Syria

    Mar 20, 2018 04:14

    Katika kuendeleza uungaji mkono wa Marekani kwa mabaki ya wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji wa Daesh (ISIS) huko kaskazini mashariki mwa Syria, helikopta nne za Marekani zimeshuhudiwa Jumatatu ya jana zikishuka kusini mashariki mwa eneo la Qamishli katika jimbo la Al-Hasakah na kuwatorosha viongozi wanne wa genge hilo.

  • Huffington Post: Marekani inashirikiana bega kwa bega na Saudia katika jinai nchini Yemen

    Huffington Post: Marekani inashirikiana bega kwa bega na Saudia katika jinai nchini Yemen

    Mar 20, 2018 01:07

    Mtandao maarufu wa habari nchini Marekani wa Huffington Post umeandika kuwa, kitendo cha Marekani kuidhaminia silaha na zana za kijeshi na kuunga mkono ukatili wa muungano wa nchi za Kiarabu katika uvamizi wa kijeshi nchini Yemen, kimeweka wazi ushiriki wa Marekani katika jinai za kivita za Saudia dhidi ya taifa hilo la Kiarabu.

  • Wall Street Journal: Marekani inatumia udhaifu wa jeshi la Saudia kuishambulia Yemen

    Wall Street Journal: Marekani inatumia udhaifu wa jeshi la Saudia kuishambulia Yemen

    Mar 19, 2018 03:38

    Gazeti la The Wall Street Journal la nchini Marekani limeandika kuwa, viongozi wa sasa wa nchi hiyo wanatumia udhaifu mkubwa lililonao jeshi la anga la Saudia na nafasi yake katika kuwalenga raia wa kawaida vitani, kuweza kuishambulia Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS