-
Trump aliitaka Saudia ilipe dola bilioni 4 kugharamia malengo ya Marekani dhidi ya Syria
Mar 17, 2018 22:57Rais Donald Trump wa Marekani alimtaka mfalme Salman wa Saudia ampe dola bilioni nne kugharamia malengo ya Washington nchini Syria.
-
Kiongozi Muadhamu: Imani na ucha-Mungu, ni sababu ya kusimama imara taifa la Iran dhidi ya hujuma za Marekani na Israel
Mar 15, 2018 11:25Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kusimama imara na mafanikio ya Iran katika kukabiliana na hujuma za mrengo mkubwa wa kisiasa, kifedha, kijeshi, kiusalama na kiutamaduni wa Marekani na Israel, kunatokana na baraka za kuwepo imani na ucha-Mungu baina ya matabaka ya wananchi na vijana wa Iran.
-
Mwakilishi wa Democrat: Trump ni tishio kubwa kwa usalama wa Marekani; wakati wa kumuondoa umefika
Mar 17, 2018 12:14Mwakilishi wa chama cha Democrat katika Baraza la Wawakilishi la Marekani amesema rais Donald Trump ni tishio kubwa sana kwa usalama wa nchi hiyo.
-
Iran haifanyi mazungumzo tena kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Mar 16, 2018 03:20Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuwa katu haitakubali kufanyika mazungumzo mapya kuhusu mapatano ya nyuklia baina yake na mdola sita makubwa duniani.
-
Mkuu wa zamani wa NSA: Ni kweli Gina Haspel wa CIA amehusika na utesaji mkubwa wa watuhumiwa
Mar 15, 2018 11:09Mkuu wa zamani wa Shirika la Usalama wa Taifa la Marekani (NSA) amethibitisha habari kwamba, Gina Haspel mkuu mpya wa Shirika la Kijasusi la Marekani CIA amehusika na utesaji dhidi ya watuhumiwa na washukiwa wa ugaidi, huku akijaribu pia kumtetea.
-
Imarati yadai kuhusika katika kuuzuliwa Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani
Mar 14, 2018 11:01Abdulkhaliq Abdullah Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Umoja wa Falme za Kiarabu Imarati na ambaye pia ni Naibu wa Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi amedai kuwa nchi hiyo imehusika katika kuuzuliwa Rex Tillerson Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani na kusema kuwa anajifakharisha na hatua hiyo.
-
Wapalestina wasusia mkutano wa White House, Israel na Waarabu kuhusu Gaza
Mar 14, 2018 10:47Mamlaka ya Ndani ya Palestina imekataa kushiriki mkutano uliofanyika katika Ikulu ya Marekani ya White House, na kuwaleta pamoja viongozi wa nchi za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wamarekani wengi wapinga sera za Trump kuhusu Iran
Mar 13, 2018 23:14Uchunguzi wa maoni uliofanywa na taasisi ya Gallup umebaini kuwa, asilimia kubwa ya Wamarekani hawakubaliani na siasa za Rais wa nchi hiyo, Donald Trump dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mawakili wa Marekani, Palestina na Jordan kupinga uamuzi wa Trump kuhusu Quds
Mar 13, 2018 12:24Wanasheria na mawakili kadhaa wa Marekani, Palestina na Jordan wametangaza kuwa wako tayari kufungua mashtaka mahakamani dhidi ya uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu wa kuitambua Quds tukufu (Jerusalem) kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel na kutaka kuhamishia ubalozi wa Marekani katika mji huo.
-
Syria: Tishio la US kutuvamia kijeshi linachochea shambulio la silaha za kemikali
Mar 13, 2018 04:09Balozi wa Syria katika Umoja wa Mataifa amemkosoa vikali mwenzake wa Marekani kwa kutishia kuwa Washington itaishambulia kijeshi nchi hiyo ya Kiarabu kwa tuhuma kuwa serikali ya Damascus imetumia silaha za kemikali, na kusisitiza kuwa kauli za namna hii zinakusudia kuyachochea magenge ya kigaidi yatekeleze hujuma za kemikali dhidi ya raia.