-
Kutoridhishwa Ulaya na msimamo wa Trump ulio dhidi ya makubaliano ya JCPOA
Oct 15, 2017 04:45Viongozi wa nchi tatu kubwa za Ulaya yaani Theresa May Waziri Mkuu wa Uingereza, Angela Merkel Kansela wa Ujerumani na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa wameleeza wasiwasi wao kupitia taarifa ya pamoja waliyotoa kuhusu msimamo usiofaa wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu JCPOA. Taarifa ya viongozi hao wa nchi tatu kubwa za Ulaya imetolewa kufuatia matamshi ya Rais wa Marekani kuhusiana na stratejia ya nchi hiyo mkabala na Iran.
-
Iran: Trump ni mfanyabiashara, hajui chochote kuhusu siasa na diplomasia
Oct 15, 2017 04:32Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Katika Masuala ya Kimataifa amesema tabia zisizo na mantiki za Rais Donald Trump wa Marekani zinaashiria kuwa hajui siasa wala hana ufahamu kuhusu mambo ya historia.
-
Korea Kaskazini yaionya Australia dhidi ya kushirikiana na Marekani
Oct 15, 2017 04:27Korea Kaskazini imeionya Australia kuwa inajitafutia balaa kwa kushirikiana na Marekani na Korea Kusini kuishinikiza Pyongyang iachane na mipango yake ya nyuklia na makombora ya balestiki.
-
Imarati ilitaka kuivamia kijeshi Qatar kwa kutumia mamluki wa US
Oct 15, 2017 04:20Imebainika kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ulikula njama ya kuishambulia kijeshi Qatar, kwa kutumia maelfu ya mamluki waliopata mafunzo ya kijeshi kutoka kampuni moja ya Marekani.
-
Ofisi inayoshughulikia maslahi ya Iran nchini Marekani yashambuliwa
Oct 15, 2017 04:16Ofisi inayoshughulikia maslahi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Washington imevamiwa, masaa machache baada ya hotuba ya kichochezi iliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani, dhidi ya makubaliano ya nyuklia ya Iran.
-
Russia: Marekani itahatarisha usalama wa dunia ikijiondoa JCPOA
Oct 14, 2017 00:48Russia imeonya kuwa Marekani itahatarisha usalama wa dunia ikijiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran yaliyotiwa saini mwaka 2015 baina ya Iran na madola sita makubwa duniani.
-
Marekani, Israel zatengwa kimataifa baada ya kujiondoa UNESCO
Oct 13, 2017 11:26Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel zimetengwa kimataifa bada ya kutangaza kujiondoa katika Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO.
-
Larijani: Iran haitoinasa kwenye utando wa buibui wa Marekani
Oct 13, 2017 04:30Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema muamala wa wanasiasa wa Marekani ni wa kuvutia watu wa kawaida na wa mpito na akasisitiza kwa kusema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inafuatilia kwa makini mienendo na hatua zao zote na itachukua uamuzi kulingana na maslahi yake ya taifa.
-
Marekani kujiondoa UNESCO Disemba mwaka huu
Oct 12, 2017 10:47Marekani imetangaza kuwa itajiondoa kwenye Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) kuanzia Disemba 31 mwaka huu.
-
EU: Marekani itajipotezea itibari kimataifa ikijiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran
Oct 12, 2017 03:35Mkuu wa Sera za Kigeni katika Umoja wa Ulaya amesema iwapo Marekani itajiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama "Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA), jambo hilo litaipotezea Marekani itibari miongoni mwa nchi zingine duniani.