Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Kamanda wa IRGC: Marekani inaunga mkono  kilojistiki magaidi wa ISIS Iraq na Syria

    Kamanda wa IRGC: Marekani inaunga mkono kilojistiki magaidi wa ISIS Iraq na Syria

    Oct 12, 2017 02:10

    Kamanda wa ngazi za juu nchini Iran amesema Marekani inawapatia silaha na misaada ya chakula magaidi wa kundi la ISIS au Daesh nchini Syria na Iraq wakati magaidi hao wanakaribia kuangamizwa.

  • Rouhani: Iwapo Marekani itajitoa katika JCPOA madhara ya jambo hilo litaidhuru Marekani yenyewe

    Rouhani: Iwapo Marekani itajitoa katika JCPOA madhara ya jambo hilo litaidhuru Marekani yenyewe

    Oct 11, 2017 13:23

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, iwapo Marekani itajitoa katika makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA, madhara ya kujitoa huko yatawakumba Wamarekani wenyewe. Amesisitiza kuwa, Iran haitakwamishwa na jambo lolote katika kufikia malengo yake.

  • US yaanzisha tena chokochoko katika Peninsula ya Korea

    US yaanzisha tena chokochoko katika Peninsula ya Korea

    Oct 11, 2017 04:49

    Kwa mara nyingine tena Marekani imefanya maneva ya kijeshi kwa kushirikiana na Korea Kusini na Japan katika Peninsula Korea.

  • 17 wapoteza maisha baada ya moto kuteketeza misitu, makazi Marekani

    17 wapoteza maisha baada ya moto kuteketeza misitu, makazi Marekani

    Oct 11, 2017 04:47

    Watu wasiopungua 17 wamefariki dunia katika mkasa wa moto unaoendelea kuteketeza misitu katika jimbo la California nchini Marekani.

  • Brigedia Jenerali Jazayeri: Marekani inapaswa kupewa somo jipya

    Brigedia Jenerali Jazayeri: Marekani inapaswa kupewa somo jipya

    Oct 10, 2017 23:05

    Msemaji wa majeshi ya Iran amelaani vitisho na madai yanayotolewa na Rais Doland Trump wa Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na kusisitiza kuwa, umewadia wakati wa kutolewa somo jipya kwa Marekani.

  • Kuendelea upinzani sambamba na uamuzi tarajiwa wa Trump kuhusiana na makubaliano ya JCPOA

    Kuendelea upinzani sambamba na uamuzi tarajiwa wa Trump kuhusiana na makubaliano ya JCPOA

    Oct 10, 2017 23:02

    Sambamba na kukaribia tarehe ya kutangazwa msimamo wa serikali ya Marekani kuhusiana na Iran na makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), mazungumzo kwa ajili ya Washington kuheshimu makubaliano hayo ya nyuklia nayo yameshika kasi.

  • Clinton: Donald Trump ndiye rais hatari zaidi katika historia ya Marekani

    Clinton: Donald Trump ndiye rais hatari zaidi katika historia ya Marekani

    Oct 10, 2017 12:28

    Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani amesema kuwa, Donald Trump ndiye rais hatari zaidi katika historia ya nchi hiyo.

  • Bahram Qassemi: Miradi ya nyuklia ya Iran haijakengeuka azimio nambari 2231

    Bahram Qassemi: Miradi ya nyuklia ya Iran haijakengeuka azimio nambari 2231

    Oct 09, 2017 10:41

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa siasa za Iran kuimarisha makombora yake hazijakengeuka azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Iran itatumia fursa iliyoibuliwa na uhasama wa Rais wa Marekani kuijiimarisha kijeshi

    Iran itatumia fursa iliyoibuliwa na uhasama wa Rais wa Marekani kuijiimarisha kijeshi

    Oct 08, 2017 10:40

    Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, IRGC, amesema Iran itatumia fursa iliyojitokeza katika matamshi yaliyojaa uhasama ya Rais wa Marekani kujiimarisha kijeshi.

  • Komando wa nne wa Marekani auawa katika hujuma Niger

    Komando wa nne wa Marekani auawa katika hujuma Niger

    Oct 07, 2017 10:59

    Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon, imethibitisha kuuawa Komando wa nne wa jeshi la nchi hiyo katika hujuma ya kuvizia nchini Niger ambapo awali ilikuwa imetangazwa ni makomnando watatu waliouawa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS