-
Marekani yahamakishwa na kufeli njama zake dhidi ya Iran
Oct 07, 2017 04:22Baada ya kushindwa njama zake zote dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, msemaji wa Ikulu ya Marekani White House amemalizia hamaki zake kwa kudai kuwa eti Iran inasababisha matatizo duniani.
-
Marekani yaiuzia Saudia mfumo wa kujilinda na makombora wa THAAD
Oct 07, 2017 04:12Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imethibitisha habari kwamba Washington imeiuzia Saudi Arabia mfumo wa THAAD wa kujilinda na mashambulizi ya makombora.
-
Naim Qassem: Migogoro yote duniani inasababishwa na Marekani
Oct 07, 2017 04:09Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani ndiyo inayosababisha matatizo na migogoro yote duniani hususan ya eneo la Mashariki ya Kati.
-
Spika Larijani: Wamarekani wanafanya uafiriti katika suala la nyuklia
Oct 06, 2017 20:43Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, licha ya chuki na njama za Wamarekani dhidi ya Iran kugonga mwamba baada ya ushindi wa mapinduzi ya Kiislamu, lakini hadi sasa wangali wanaendeleza hatua zao za chuki na wamekuwa wakifanya uafiriti katika kadhia ya nyuklia.
-
Bwabwaja za Trump kabla ya kuchukua uamuzi kuhusu makubaliano ya JCPOA
Oct 06, 2017 04:25Rais Donald Trump wa Marekani ambaye amekuwa akifanya jitihada za kuharibu makubaliano ya nyuklia ya Iran na kundi la 5+1 kwa kutumia fursa na mbinu zote, kwa mara nyingine tena amedai kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitekelezi makubaliano hayo.
-
Trump akataa kuzungumzia 'umiliki wa bunduki' licha ya mauaji ya Las Vegas
Oct 05, 2017 11:00Licha ya makumi ya watu kuuawa na mamia ya wengine kujeruhiwa katika hujuma ya ufyatuaji risasi siku chache zilizopita nchini Marekani, lakini Rais Donald Trump wa nchi hiyo amekataa katakata kuzungumzia uwezekano wa kuangaliwa upya sheria ya raia kumiliki silaha nchini humo.
-
Makomando 3 Wamarekani wauawa nchini Niger
Oct 05, 2017 04:18Makomando watatu wa kikosi maalumu cha jeshi la Marekani wameuawa katika shambulizi la kuvizia nchini Niger wakiwa katika oparesheni ya kutoa mafunzo kwa jeshi la nchi hiyo.
-
Mattis: Marekani haina budi kubakia katika makubaliano ya nyuklia ya Iran
Oct 04, 2017 04:19Waziri wa Ulinzi wa Marekani amesema serikali ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo haina chaguo jingine ghairi ya kubakia kwenye makubaliano ya nyuklia ya Iran.
-
Shambulizi la anga la Marekani laua raia 45 nchini Syria
Oct 03, 2017 04:44Kwa akali raia 45 wameuawa katika shambulizi la anga la hivi punde lililotekelezwa na ndege za kivita za Marekani nchini Syria.
-
FBI: Aliyefanya mauaji ya Las Vegas hana uhusiano na magenge ya kigaidi
Oct 03, 2017 04:39Polisi ya Upelelezi ya Marekani FBI imesema Stephen Paddock, ambaye alitekeleza mauaji ya makumi ya watu katika shambulizi la Las Vegas nchini humo hana uhusiano wowote na magenge ya kigaidi.