Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Korea Kaskazini: Mkataba wa kijeshi wa Marekani na Korea Kusini, ni njama dhidi ya Pyongyang

    Korea Kaskazini: Mkataba wa kijeshi wa Marekani na Korea Kusini, ni njama dhidi ya Pyongyang

    Oct 03, 2017 01:32

    Serikali ya Korea Kaskazini imeutaja mkataba wa kijeshi kati ya Marekani na Korea Kusini kuwa ni njama ya kutaka kuishambulia nchi hiyo.

  • Ripoti: Marekani ina mkono katika ujenzi wa vitongozji vya walowezi wa Kizayuni Palestina

    Ripoti: Marekani ina mkono katika ujenzi wa vitongozji vya walowezi wa Kizayuni Palestina

    Oct 03, 2017 00:32

    Imeelezwa kuwa, ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na wazayuni maghasibu umekuwa ukifanyika kwa uratibu na Marekani.

  • Watu 58 wauawa katika hujuma ya kigaidi Las Vegas, Marekani

    Watu 58 wauawa katika hujuma ya kigaidi Las Vegas, Marekani

    Oct 02, 2017 10:55

    Watu 58 wameuawa na mamia ya wengine kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi iliyotekelezwa katika mji wa Las Vegas nchini Marekani ambayo imetajwa kuwa tukio mbaya zaidi la ufyatuaji risasi kiholela nchini humo.

  • Watu kadhaa wauawa, kujeruhiwa katika ufyatuaji risasi Las Vegas, Marekani

    Watu kadhaa wauawa, kujeruhiwa katika ufyatuaji risasi Las Vegas, Marekani

    Oct 02, 2017 04:41

    Watu kadhaa wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika ufyatuaji risasi uliotokeo katika mji wa Las Vegas nchini Marekani.

  • Vikosi vya Yemen vyatungua 'drone' ya Marekani

    Vikosi vya Yemen vyatungua 'drone' ya Marekani

    Oct 01, 2017 11:47

    Vikosi vya Yemen vikishirikiana na wapiganaji wa harakati ya Ansarullah vimefanikiwa kutungua ndege isiyo na rubani ya Marekani iliyokuwa inapita katika anga ya mji mkuu Sana'a.

  • Marekani yakiri kuua makumi ya raia wa Syria na Iraq mwezi jana

    Marekani yakiri kuua makumi ya raia wa Syria na Iraq mwezi jana

    Sep 30, 2017 04:44

    Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani umekiri kuwa mashambulizi yake ya anga yameua raia wasiopungua 50 katika nchi za Iraq na Syria mwezi uliopita pekee wa Agosti.

  • Mashirika ya kutetea haki za binadamu Marekani yampeleka Trump kotini

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu Marekani yampeleka Trump kotini

    Sep 30, 2017 04:40

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu katika jimbo la Maryland nchini Marekani yameenda mahakamani kuushtaki utawala wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo juu ya marufuku mpya iliyo dhidi ya wahajiri.

  • Kashfa ya ufisadi yamlazimu Waziri wa Afya Marekani ajiuzuluu kutoka serikali ya Trump

    Kashfa ya ufisadi yamlazimu Waziri wa Afya Marekani ajiuzuluu kutoka serikali ya Trump

    Sep 30, 2017 01:18

    Waziri wa Afya na Huduma za Binaadamu nchini Marekani, Tom Price amelazimika kujiuzulu kutokana na kashfa ya ufisadi inayomkabili.

  • Kuitumia vibaya IAEA, mkakati mpya wa Marekani wa kuvuruga makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Kuitumia vibaya IAEA, mkakati mpya wa Marekani wa kuvuruga makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Sep 29, 2017 10:05

    Hatua za Marekani za kuushinikiza Wakala wa Kimataifa wa Nishati wa Atomiki IAEA kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA zimechukua mkondo mpya hivi sasa.

  • Matamshi ya uongo ya balozi wa Marekani Israel yawakasirisha Wapalestina

    Matamshi ya uongo ya balozi wa Marekani Israel yawakasirisha Wapalestina

    Sep 29, 2017 04:08

    Balozi wa Marekani Israel amewakasirisha Wapalestina baada ya kudai kwamba utawala huo haramu wa Kizayuni umevamia na kukalia kwa mabavu asilimia mbili tu ya ardhi za Palestina katika Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS