Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Libya yajibu mapigo, kuwazuia Wamarekani kuingia nchini humo

    Libya yajibu mapigo, kuwazuia Wamarekani kuingia nchini humo

    Sep 28, 2017 10:58

    Serikali ya Libya yenye makao makuu yake mashariki mwa nchi, imesema haitaruhusu raia wa Marekani kuingia katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika, ikiwa ni radiamali kwa hatua ya Washington kuwapiga marufuku Walibya kuingia Marekani.

  • Zarif: Iran haina imani na Marekani

    Zarif: Iran haina imani na Marekani

    Sep 28, 2017 04:30

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA haukufikiwa kwa msingi wa kuaminiana na kimsingi Iran haina imani na Marekani.

  • Ufaransa yashangazwa na Trump kuzuia raia wa Chad kuingia Marekani

    Ufaransa yashangazwa na Trump kuzuia raia wa Chad kuingia Marekani

    Sep 27, 2017 22:58

    Serikali ya Ufaransa imekosoa vikali hatua ya Washington ya kuijumuisha Chad katika orodha ya nchi ambazo raia wake wamepigwa marufuku kuingia Marekani.

  • Walid Al-Muallem: Kuwepo kijeshi Marekani nchini Syria ni kinyume cha sheria

    Walid Al-Muallem: Kuwepo kijeshi Marekani nchini Syria ni kinyume cha sheria

    Sep 27, 2017 00:47

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria ametoa jibu na radiamali kwa hatua za Marekani za kutaka kupanua wigo wa kuwepo kwake kijeshi kaskazini mwa nchi hiyo ukiwemo mji wa Raqqa na kutamka bayana kwamba hatua hiyo ya Washington ni kinyume cha sheria.

  • Wamarekani milioni 50 wanaishi katika dimbwi la umasikini

    Wamarekani milioni 50 wanaishi katika dimbwi la umasikini

    Sep 27, 2017 00:46

    Zaidi ya Wamarekani milioni 50 wanaishi katika dimbwi la umasikini huku kukishuhudiwa ongezeko la ukosefu wa ajira na kuzorota biashara nchini humo, uchunguzi mpya umebaini.

  • Venezuela: Marekani inafanya 'ugaidi wa kisaikolojia' dhidi yetu

    Venezuela: Marekani inafanya 'ugaidi wa kisaikolojia' dhidi yetu

    Sep 26, 2017 04:12

    Venezuela imesema Marekani inaendeleza kile ilichokitaja 'ugaidi wa kisaikolojia' dhidi ya nchi hiyo ya Amerika ya Latini.

  • Wananchi wa Marekani wanapinga kushambuliwa kijeshi Korea ya Kaskazini

    Wananchi wa Marekani wanapinga kushambuliwa kijeshi Korea ya Kaskazini

    Sep 25, 2017 23:19

    Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni nchini Marekani unaonyesha kuwa aghalabu ya wananchi wanapinga kushambuliwa kijeshi Korea ya Kaskazini.

  • Qassemi: Sura bora ya Iran imedhihirishwa katika Umoja wa Mataifa

    Qassemi: Sura bora ya Iran imedhihirishwa katika Umoja wa Mataifa

    Sep 25, 2017 11:14

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu huko New York na kushiriki kwake katika kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kumedhirisha sura bora kuhusu siasa za Iran katika eneo na ulimwenguni kwa ujumla.

  • Russia: Marekani haiwezi kuthubutu kuishambulia Korea Kaskazini

    Russia: Marekani haiwezi kuthubutu kuishambulia Korea Kaskazini

    Sep 25, 2017 00:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, Marekani haithubutu kufanya shambulizi lolote dhidi ya Korea Kaskazini kwa kuwa inafahamu fika kwamba Pyongyang ina mabomu ya nyuklia.

  • Qassemi: Trump hajui lolote isipokuwa mafuta, dola na kudansi kwa panga

    Qassemi: Trump hajui lolote isipokuwa mafuta, dola na kudansi kwa panga

    Sep 23, 2017 12:25

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Rais Donald Trump wa Marekani hajui lolote kuhusu dunia na eneo nyeti la Mashariki ya Kati isipokuwa fedha, mafuta na kudansi akiwa ameshika upanga.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS