Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Wamarekani waendelea kukosoa hotuba ya Trump katika UN

    Wamarekani waendelea kukosoa hotuba ya Trump katika UN

    Sep 21, 2017 11:45

    Viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa wameendelea kukosoa vikali hotuba na matamshi yaliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani katika mkutano wa 72 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York.

  • Dunia yaunga mkono mapatano ya nyuklia ya Iran, Marekani yatengwa zaidi

    Dunia yaunga mkono mapatano ya nyuklia ya Iran, Marekani yatengwa zaidi

    Sep 21, 2017 06:57

    Kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na nchi za 5+1 kimefanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York kwa lengo la kutathmini utekelezwaji wa mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji-JCPOA.

  • Sudan yaitaka Marekani iondoe vikwazo dhidi yake

    Sudan yaitaka Marekani iondoe vikwazo dhidi yake

    Sep 19, 2017 03:15

    Rais wa Sudan ametaka kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi yake.

  • Meli za kivita za China, Russia zaanza mazoezi karibu na Korea Kaskazini

    Meli za kivita za China, Russia zaanza mazoezi karibu na Korea Kaskazini

    Sep 18, 2017 09:46

    Meli za kivita za China na Russia zimeanza mazoezi ya pamoja ya kijeshi karibu na Korea Kaskazini huku kukiwa na wasiwasi kuwa mvutano baina ya Marekani na Korea Kaskazini unaweza kugeuka na kuwa makabiliano ya ana kwa ana ya kijeshi.

  • Uwezo wa kiulinzi wa Iran kwa ajili ya kukabiliana na mipango ya Marekani

    Uwezo wa kiulinzi wa Iran kwa ajili ya kukabiliana na mipango ya Marekani

    Sep 16, 2017 22:06

    Kamanda wa kikosi cha anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema kuwa Marekani ilikuwa na mipango muhimu kwa ajili ya eneo la Mashariki ya Kati ambayo hata hivyo imefelishwa na kuzimwa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Huffington Post: Wamarekani ni wabaguzi

    Huffington Post: Wamarekani ni wabaguzi

    Sep 16, 2017 03:07

    Matokeo ya uchunguzi wa taasisi mbili za kisayansi za Marekani yanaeleza kuwa, watu wengi wa nchi hiyo wana mielekeo ya kibaguzi licha ya kutoa madai ya kupinga fikra ya kuwatambua wazungu kuwa ndio wanadamu walio juu na bora kuliko wengine.

  • Brigedia Jenerali Hajizadeh: Sepah (IRGC) imepenya kwenye vituo vya kamandi ya jeshi la Marekani

    Brigedia Jenerali Hajizadeh: Sepah (IRGC) imepenya kwenye vituo vya kamandi ya jeshi la Marekani

    Sep 15, 2017 23:55

    Kamanda wa kikosi cha anga na anga za mbali za Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema jeshi hilo la Sepah limeweza kwa muda wa miaka michache iliyopita kupenya kwenye vituo vya uongozaji kamandi ya jeshi la Marekani.

  • Gallup: Wamarekani wengi wanataka Korea Kaskazini ishambuliwe kijeshi

    Gallup: Wamarekani wengi wanataka Korea Kaskazini ishambuliwe kijeshi

    Sep 15, 2017 22:06

    Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni na taasisi ya Gallup yanaonyesha kuwa, nusu ya wananchi wa Marekani wanaunga mkono suala la kushambulia kijeshi Korea Kaskazini.

  • Korea Kaskazini yafyatua kombora jengine saa chache baada ya kutishia

    Korea Kaskazini yafyatua kombora jengine saa chache baada ya kutishia "kuizamisha" Japan

    Sep 15, 2017 03:29

    Vyombo vya habari vya Japan na Korea Kusini vimetangaza kuwa Korea Kaskazini imefyatua kombora jengine lililopaa juu ya kisiwa cha Japan cha Hokkaido alfajiri ya kuamkia leo saa chache baada ya kutishia kwamba itaizamisha ardhi ya Japan.

  • Gholamali Khoshroo: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinakiuka makubaliano ya JCPOA

    Gholamali Khoshroo: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinakiuka makubaliano ya JCPOA

    Sep 14, 2017 22:57

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesaema kuwa, vikwazo vya aina yoyote vinakiuka msingi wa diplomasia na mazungumzo na haviwezi kusaidia chochote katika kupeleka mambo mbele.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS