-
Ripoti yafichua: Marekani imetumia zaidi ya dola bilioni moja kuwanunulia silaha magaidi nchini Syria
Sep 13, 2017 23:25Kituo kimoja cha utafiti katika eneo la Balkan kimefichua kwamba Marekani imechukua hatua kadhaa kwa ajili ya kuwazatiti kwa silaha magaidi nchini Syria.
-
Seneti na Kongresi ya Marekani uso kwa uso na Trump kuhusu ubaguzi wa rangi
Sep 13, 2017 04:01Katika hatua ya kuonesha kutorishwa kwake na Rais Donald Trump wa Marekani Kongresi ya nchi hiyo imemtaka kiongozi huyo alaani vikali na waziwazi makundi ya wabaguzi wa rangi na wazungu wanaojitambua kuwa bora na juu ya zaidi ya wanadamu wengine.
-
Seneti ya Marekani yamtaka Trump alaani waziwazi makundi ya ubaguzi wa rangi
Sep 12, 2017 10:27Baraza la Seneti la Marekani limepasisha azimio likilaani harakati za makundi ya wazungu wanaojitambua kuwa bora zaidi ya wanadamu wengine.
-
Iran: Marekani inafuatilia maslahi yake tu katika Mashariki ya Kati
Sep 11, 2017 11:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema baadhi ya nchi za eneo na Marekani zinatumia baadhi ya misamiati kwa ajili ya kufanikisha malengo na maslahi yao.
-
Korea Kaskazini: Tutaizidishia mateso na machungu Marekani, ikiendelea kutufuatilia
Sep 11, 2017 03:50Serikali ya Korea Kaskazini imetangaza kuwa, ikiwa Marekani itaendeleza njama zake ili kuongeza vikwazo dhidi yake katika Umoja wa Mataifa, basi Pyongyang itaizidishia Washington machungu na taabu.
-
Syria: Tunaifahamu Marekani kama adui yetu na muungaji mkono wa magaidi
Sep 11, 2017 03:48Faisal Mekdad, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa makundi ya kigaidi yanayochafua usalama wa nchi hiyo yanaungwa mkono kikamilifu na kusaidiwa na Marekani na kwamba Washington ni adui mkubwa wa Syria.
-
New York Times: Mgogoro wa Qatar umemshinda Trump
Sep 10, 2017 10:04Gazeti la New York Times la nchini Marekani limesema kuwa, rais wa nchi hiyo, Donald Trump ameshindwa kutatua mgogoro wa Qatar na nchi nne za Kiarabu zinazoongozwa na Saudia.
-
Kuendelea jinai za utawala wa Aal Khalifa katika kivuli cha himaya ya pande zote ya Marekani
Sep 10, 2017 02:56Wizara ya Ulinzi ya Marekani Pentagon imetangaza kuwa, nchi hiyo imeafiki mpango wa kuuzia silaha utawala wa kifalme wa Bahrain wa Aal Khalifa wenye thamani ya takribani dola bilioni nne na ambao unajumuisha ndege za kivita aina ya F-16, makombora na boti za doria.
-
Marekani kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na Myanmar inayoua Waislamu
Sep 10, 2017 02:45Katika hali ambayo jamii ya kimataifa inaendelea kulaani na kukosoa vikali mauaji na ukatili wanaofanyiwa Waislamu wa kabila la Rohingya katika jimbo la Rakhine nchini Myanmar, Marekani ipo mbioni kuimarisha ushirikiano wake wa kijeshi na nchi hiyo ya kusini mashariki mwa Asia.
-
Mazungumzo ya Trump na Waarabu kwa kutumia kionjo cha "uenezaji hofu kuhusu Iran"
Sep 09, 2017 12:04Safari ya Mfalme wa Kuwait Sheikh Sabah Al-Ahmad Al-Jabir As-Sabah mjini Washington sambamba na juhudi za Rais Donald Trump wa Marekani za kutatua mgogoro baina ya Waarabu vimetumiwa kuwa kisingizio cha kumpa fursa tena Trump ya kutumia kionjo cha 'uenezaji hofu kuhusu Iran' ili kufanikisha malengo yake katika Mashariki ya Kati.