Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Onyo la Putin kuhusu hatari ya kugeuka mgogoro wa Korea kuwa janga la kimataifa

    Onyo la Putin kuhusu hatari ya kugeuka mgogoro wa Korea kuwa janga la kimataifa

    Sep 08, 2017 01:57

    Rais Vladimir Putin wa Russia ameonya kuwa, kuendelea mgogoro wa hivi sasa uliojitokeza baada ya majaribio ya makombora na bomu la nyuklia ya Korea Kaskazini kunaweza kuleta maafa makubwa kwa dunia nzima.

  • Hezbollah: Kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) lilianzishwa na Marekani

    Hezbollah: Kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) lilianzishwa na Marekani

    Sep 07, 2017 03:22

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sheikh Naeem Qassim amesema kundi la kigaidi la ISIS au Daesh liliundwa na Marekani kwa lengo la kutumiwa kuiangusha serikali halali ya Syria inayoongozwa na Rais Bashar al Assad.

  • Misri na Marekani kuanza tena maneva baada ya kusimamishwa kwa miaka 8

    Misri na Marekani kuanza tena maneva baada ya kusimamishwa kwa miaka 8

    Sep 06, 2017 02:37

    Misri imetangaza kuwa itaanza tena kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi na Marekani baada ya kusimamishwa kwa takriban miaka minane.

  • US: Ni kweli tumeua raia 61 katika hujuma zetu za anga Syria na Iraq

    US: Ni kweli tumeua raia 61 katika hujuma zetu za anga Syria na Iraq

    Sep 02, 2017 03:23

    Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani umekiri kuua makumi ya raia katika wimbi jipya la mashambulizi yake ya anga katika nchi za Iraq na Syria.

  • Iran yaipongeza IAEA kwa kupuuza mashinikizo ya US dhidi yake

    Iran yaipongeza IAEA kwa kupuuza mashinikizo ya US dhidi yake

    Sep 02, 2017 03:09

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepongeza msimamo wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA wa kutoa ripoti isiyoegemea upande wowote sambamba na kupuza mashinikizo ya Marekani ya kuutaka ukague vituo vya kijeshi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Russia yaapa kujibu vikali uadui wa Marekani

    Russia yaapa kujibu vikali uadui wa Marekani

    Sep 01, 2017 21:56

    Waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergei Lavrov amesema kuwa, nchi hiyo itajibu vikali hatua za kiuadui za Marekani zinazoilenga Russia.

  • Kufeli njama za Marekani na Israel nchini Lebanon

    Kufeli njama za Marekani na Israel nchini Lebanon

    Sep 01, 2017 21:55

    Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, siku ya Alkhamisi iliyoambatana na sherehe za ukombozi wa pili wa Lebanon na kusafishwa kikamilifu magaidi wakufurushaji nchini humo, alizungumzia ushindi mkubwa lilioupata jeshi na muqawama wa Lebanon katika vita dhidi ya magaidi, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na kusisitiza kuwa, hivi sasa hakuna nukta yoyote ya ardhi ya Lebanon iliyoko mikononi mwa magaidi.

  • Kimbunga cha Harvey chaua makumi ya watu Marekani

    Kimbunga cha Harvey chaua makumi ya watu Marekani

    Sep 01, 2017 03:46

    Kimbunga cha Harvey kinachoambatana na mafuriko kimeua makumi ya watu na kuwalazimisha wengine zaidi ya milioni moja kukimbia makazi yao nchini Marekani hussuan katika jimbo la Texas.

  • IAEA: Hatutakubali mashinikizo ya US ya kukagua vituo vya kijeshi vya Iran

    IAEA: Hatutakubali mashinikizo ya US ya kukagua vituo vya kijeshi vya Iran

    Aug 31, 2017 09:34

    Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA umeeleza kushangazwa kwake na mashinikizo ya Marekani ya kuutaka ukague vituo vya kijeshi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitiza kuwa hauoni dharura au haja ya kufanya ukaguzi huo.

  • Serikali ya Somalia yakiri kuua raia katika operesheni ya pamoja na Marekani

    Serikali ya Somalia yakiri kuua raia katika operesheni ya pamoja na Marekani

    Aug 31, 2017 09:23

    Serikali ya Somalia hatimaye imekiri kwamba raia 10 wa Kisomali waliuawa eti kimakosa katika operesheni ya pamoja iliyofanywa na jeshi la nchi hiyo na askari wa Marekani Ijumaa iliyopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS