-
Kulaaniwa siasa za Marekani na Israel katika marasimu ya kujibari na washirikina
Aug 31, 2017 09:15Mahujaji wa Kiirani wamelaani siasa za kupenda kujitanua za Marekani na utawala haramu wa Israel kupitia azimio lao walilolitoa mwishoni mwa marasimu ya kujibari na washirikina katika jangwa la Arafa.
-
Marekani yaendeleza ukatili wake, yaua raia 30 Afghanistan
Aug 30, 2017 22:22Makumi ya raia wameuawa katika shambulizi la anga lililofanywa na ndege ya kivita ya Marekani katika mkoa wa Logar, mashariki mwa Afghanistan.
-
Taasisi ya Gallup: Ubaguzi wa rangi Marekani umeongezeka sana, hasa kuwalenga weusi
Aug 29, 2017 22:42Uchunguzi wa maoni uliofanyika hivi karibuni nchini Marekani unaonyesha kwamba, uelewa wa wazungu walio wengi na watu wa matabaka ya walio wachache kuhusu suala la ubaguzi wa rangi, unatafuatiana sana.
-
14 wauawa, kujeruhiwa katika shambulizi karibu na ubalozi wa US, Kabul
Aug 29, 2017 03:12Habari kutoka Afghanistan zinasema, kwa akali watu watano wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia shambulizi la bomu lililotokea karibu na ubalozi wa Marekani mjini Kabul hii leo.
-
Trump; mchochezi wa ubaguzi wa rangi nchini Marekani
Aug 28, 2017 23:54Msimamo uliochukuliwa na rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu machafuko ya hivi karibuni ya mjini Charlottesville huko Virginia na hatua yake ya kuwaunga mkono wabaguzi wa rangi walioshadidisha machafuko hayo unaendelea kulaaniwa na kulalamikiwa vikali ndani na hata nje ya Marekani.
-
Trump, rais anayechukiwa zaidi katika historia ya Marekani
Aug 26, 2017 10:56Rais Donald Trump wa Marekani ameshinda tuzo ya kuwa rais anayechukiwa zaidi katika historia ya nchi hiyo.
-
Radiamali kali ya Russia juu ya ongezeko la kuwepo kijeshi Marekani nchini Ukraine
Aug 26, 2017 06:37Igor Morozev, afisa wa ngazi ya juu katika bunge la Russia ameonya kwamba, nchi yake itachukua hatua maalumu ikiwemo kuimarisha mipaka yake, ikiwa Marekani itapanua uwepo wake kijeshi nchini Ukraine.
-
Wanajeshi wa Marekani waua watoto 3 katika hujuma Somalia
Aug 26, 2017 03:21Raia wasiopungua 10, wakiwemo watoto watatu, wameuawa katika hujuma ya pamoja na Jeshi la Marekani na Jeshi la Somalia kusini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Korea Kaskazini yavurumisha makombora ya balistiki
Aug 26, 2017 02:31Korea Kaskazini imevurumisha makombora matatu ya masafa mafupi ya balistiki kuelekea pwani yake ya kaskazini.
-
Iran yaitaka Marekani iache kuingilia masuala ya magharibi mwa Asia
Aug 24, 2017 23:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa vikali mikakati mipya ya Marekani nchini Pakistan na kuitaka Washington iache mara moja kuingilia masuala ya nchi nyingine.