Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Russia: Stratejia mpya ya US nchini Afghanistan, hatima isiyo na tija

    Russia: Stratejia mpya ya US nchini Afghanistan, hatima isiyo na tija

    Aug 24, 2017 09:49

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesema stratejia mpya ya kijeshi ya Washington kuhusiana na Afghanistan itagonga mwamba kwa kuwa inasisitizia utumiaji wa mabavu.

  • Misri yalalamikia hatua ya Marekani ya kuikatia misaada

    Misri yalalamikia hatua ya Marekani ya kuikatia misaada

    Aug 24, 2017 09:22

    Serikali ya Misri imekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuikatia misaada nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika na kutahadharisha juu ya taathira hasi inayoikodolea macho Washington kutokana na kitendo chake hicho.

  • Stratijia mpya ya kijeshi ya Marekani nchini Afghanistan

    Stratijia mpya ya kijeshi ya Marekani nchini Afghanistan

    Aug 23, 2017 07:22

    Hatimaye baada ya miezi kadhaa ya mizozano katika timu ya usalama wa taifa ya Marekani, siku ya Jumatatu iliyopita Rais wa nchi hiyo Donald Trump, alitangaza stratijia mpya ya vita ya Washington kuhusiana na Afghanistan sambamba na mpango wa kutuma askari zaidi nchini humo.

  • NATO yaunga mkono stratejia mpya ya Marekani kuhusu Afghanistan

    NATO yaunga mkono stratejia mpya ya Marekani kuhusu Afghanistan

    Aug 22, 2017 23:12

    Muungano wa Kijeshi wa NATO umeunga mkono uamuzi wa Rais wa Marekani wa kuongeza wanajeshi wengine nchini Afghanistan katika kalibu ya stratejia mpya ya Washington.

  • Malengo ya safari ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani katika nchi za Jordan, Uturuki na Ukraine

    Malengo ya safari ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani katika nchi za Jordan, Uturuki na Ukraine

    Aug 21, 2017 03:44

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani, James Mattis jana Jumapili aliwasili Amman katika awamu ya kwanza ya safari ya kuzitembelea nchi tatu za Jordan, Uturuki an Ukraine.

  • China yazalisha kombora la mabara aina ya Julang-3, kujiandaa na vita na Marekani

    China yazalisha kombora la mabara aina ya Julang-3, kujiandaa na vita na Marekani

    Aug 20, 2017 12:05

    Katika kuongeza uwezo wa kijeshi, serikali ya China imeendelea kuzalisha na kustawisha kombora la mabara la kizazi kipya kwa jina la Julang-3, ambalo limetajwa kuwa ni maandalizi ya kuingia katika vita tarajiwa na Marekani.

  • Korea Kaskazini: Chokochoko za Marekani zikiongezeka, tutaishambulia bila huruma

    Korea Kaskazini: Chokochoko za Marekani zikiongezeka, tutaishambulia bila huruma

    Aug 20, 2017 12:00

    Kwa mara nyingine serikali ya Korea Kaskazini imetoa onyo kali kwa Marekani kwa kusema kuwa, ikiwa siasa za uhasama na kupenda kujitanua dhidi ya Pyongyang zitaendelea na hatimaye kuisukuma nchi hiyo kuingia katika vita vya nyuklia, basi Washington itakabiliwa na mashambulizi makali.

  • Ayatullah Araki: Iran imesambaratisha njama zote za Marekani Iraq, Palestina, Yemen na Syria

    Ayatullah Araki: Iran imesambaratisha njama zote za Marekani Iraq, Palestina, Yemen na Syria

    Aug 18, 2017 03:38

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesambaratisha njama za Marekani nchini Iraq, Palestina, Yemen na Syria.

  • Mwanastratijia wa Trump: Mgogoro wa Korea Kaskazini hauna njia ya utatuzi wa kijeshi

    Mwanastratijia wa Trump: Mgogoro wa Korea Kaskazini hauna njia ya utatuzi wa kijeshi

    Aug 17, 2017 23:36

    Mwanastratijia wa ngazi ya juu wa ikulu ya Marekani (White House) ametoa matamshi yanayopingana na vitisho vya Rais Donald Trump wa nchi hiyo dhidi ya Pyongyang na kusema kuwa, suala la Korea Kaskazini halina njia ya utatuzi wa kijeshi.

  • Katibu Mkuu wa UN akerwa na vita vya maneno kati ya US na Korea Kaskazini

    Katibu Mkuu wa UN akerwa na vita vya maneno kati ya US na Korea Kaskazini

    Aug 17, 2017 03:12

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake kuhusu kushtadi vita vya maneno kati ya Marekani na Korea Kaskazini na kusema kuwa, kuna haja ya pande mbili hizo kukumbatia diplomasia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS