Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Russia yazikosoa vikali Marekani na Uingereza kwa kuwapa magaidi silaha za kemikali huko Syria

    Russia yazikosoa vikali Marekani na Uingereza kwa kuwapa magaidi silaha za kemikali huko Syria

    Aug 17, 2017 03:09

    Russia imetangaza kuwa Marekani na Uingereza zinakiuka sheria za kimataifa kwa kuwapatia silaha za kemikali magaidi huko Syria.

  • Syria: US na UK ziliwapa magaidi silaha za kemikali zilizoua raia Khan Sheykhoun

    Syria: US na UK ziliwapa magaidi silaha za kemikali zilizoua raia Khan Sheykhoun

    Aug 17, 2017 02:43

    Uchunguzi uliofanywa na serikali ya Damascus umebainisha kuwa, Marekani, Uingereza na waitifaki wao zinayapa silaha zikiwemo za kemikali magenge ya kigaidi katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Marekani yaendeleza ukatili, yaua raia 38 katika hujuma za anga Syria

    Marekani yaendeleza ukatili, yaua raia 38 katika hujuma za anga Syria

    Aug 17, 2017 02:18

    Ndege za kivita za muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani zimeendeleza hujuma zake za kikatili, na mara hii zimeua raia 38 katika mji wa Raqqah kaskazini mwa Syria, ndani ya masaa 48 yaliyopita.

  • Iran yakadhibisha madai ya US kuwa inakandamiza uhuru wa kuabudu

    Iran yakadhibisha madai ya US kuwa inakandamiza uhuru wa kuabudu

    Aug 16, 2017 09:54

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepuuzilia mbali madai yaliyotolewa na Marekani kwamba hakuna uhuru wa kuabudu hapa nchini.

  • New Yorker: Kuna uwezekano wa kutokea vita vya pili vya ndani Marekani hivi karibuni kwa ubaguzi

    New Yorker: Kuna uwezekano wa kutokea vita vya pili vya ndani Marekani hivi karibuni kwa ubaguzi

    Aug 16, 2017 09:49

    Jarida la Marekani la New Yorker limetahadharisha juu ya uwezekano wa kutokea kwa vita vya ndani nchini humo hivi karibuni.

  • Wamarekani waandamana kupinga ubaguzi katika jimbo la Utah

    Wamarekani waandamana kupinga ubaguzi katika jimbo la Utah

    Aug 15, 2017 11:55

    Maelfu ya raia wa Marekani wamefanya maandamano wakipinga sera za kibaguzi za wazungu katika mji wa Salt Lake ambao ni makao makuu ya jimbo la Utah huko kusini mwa nchi hiyo.

  • Kim Jong-un alitaka jeshi la Korea Kaskazini kujiweka tayari kwa ajili ya kukishambulia kisiwa cha Guam

    Kim Jong-un alitaka jeshi la Korea Kaskazini kujiweka tayari kwa ajili ya kukishambulia kisiwa cha Guam

    Aug 15, 2017 03:40

    Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini amelitaka jeshi la nchi hiyo kujiweka tayari kwa ajili ya kufanya mashambulizi ya makombora dhidi ya kisiwa cha Guam kinachodhibitiwa na Marekani.

  • Venezuela yajibu mapigo baada ya vitisho vya uingiliaji kijeshi wa Trump

    Venezuela yajibu mapigo baada ya vitisho vya uingiliaji kijeshi wa Trump

    Aug 15, 2017 03:05

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ameliagiza jeshi la nchi hiyo kufanya luteka ya nchi nzima ikiwa ni radiamali kwa vitisho vilivyotolewa hivi karibuni na Rais Donald Trump wa Marekani aliyesema kuwa chaguo la kuishambulia kijeshi nchi hiyo lipo mezani.

  • Russia: Kampeni ya US huko Afghanistan imefeli, iondoe askari wake

    Russia: Kampeni ya US huko Afghanistan imefeli, iondoe askari wake

    Aug 15, 2017 02:43

    Mjumbe maalumu wa Rais wa Russia nchini Afghanistan amesema kampeni na uwepo wa vikosi vya Marekani nchini Afghanistan haujawa na tija yeyote hadi sasa na kwa msingi huo Washington inafaa kuwaondoa wanajeshi wake nchini humo mara moja.

  • UN yaikosoa Marekani kwa kuwazuilia wahajiri na wanaotafuta hifadhi

    UN yaikosoa Marekani kwa kuwazuilia wahajiri na wanaotafuta hifadhi

    Aug 14, 2017 23:26

    Wataalamu wa masuala ya haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wamekosoa kitendo cha Marekani kuendelea kuwazuilia wahamiaji na raia wa kigeni wanaotafuta hifadhi nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS