Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Watu 35 wameuawa katika matukio ya ufyatuaji risasi nchini Marekani

    Watu 35 wameuawa katika matukio ya ufyatuaji risasi nchini Marekani

    Aug 14, 2017 10:47

    Kituo cha takwimu za matukio ya ukatili wa utumiaji silaha moto nchini Marekani kimetangaza kuwa watu 35 wameuliwa kwenye matukio ya ufyatuaji risasi katika maeneo tofauti nchini humo.

  • Korea Kaskazini: Njia pekee ya kuzuia vita katika eneo ni Seoul kuzuia chokochoko za Marekani

    Korea Kaskazini: Njia pekee ya kuzuia vita katika eneo ni Seoul kuzuia chokochoko za Marekani

    Aug 13, 2017 23:11

    Serikali ya Korea Kaskazini imekosoa mazungumzo ya simu ya Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini na Rais Donald Trump wa Marekani yaliyofanyika hivi karibuni na kusema kuwa mazungumzo hayo hayawezi kusaidia kumaliza mgogoro uliopo.

  • Meja Jenerali Jaafari: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni chimbuko la heshima izza ulimwenguni

    Meja Jenerali Jaafari: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni chimbuko la heshima izza ulimwenguni

    Aug 13, 2017 23:05

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, SEPAH, amesema kuwa, kuwa mfuasi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni fakhari kwa watu huru duniani na kwamba, mapinduzi haya ni chimbuko la izza na heshima ulimwenguni.

  • Lavrov: Muelekeo wa Marekani wa kupambana na ugaidi ni wa kindumakuwili

    Lavrov: Muelekeo wa Marekani wa kupambana na ugaidi ni wa kindumakuwili

    Aug 13, 2017 03:40

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov, amesema muelekeo na mtazamo wa Marekani kuhusiana na ugaidi ni wa kindumakuwili na kubainisha kuwa muungano unaoitwa wa kimataifa wa kupambana na Daesh (ISIS) chini ya uongozi wa Marekani sio tu haupambani na kundi la kigaidi la Jabhatu-Nusrah bali unafanya jitihada pia za kulilinda kundi hilo.

  • Mamilioni ya wapiganaji wa kujitolea Korea Kaskazini wajiweka tayari kupambana na Marekani

    Mamilioni ya wapiganaji wa kujitolea Korea Kaskazini wajiweka tayari kupambana na Marekani

    Aug 12, 2017 23:18

    Vyombo vya habari nchini Korea Kaskazini vimeripoti kwamba karibu watu milioni 3.5 wa kujitolea wametangaza utayarifu wao kwa ajili ya kupambana na Marekani vitani.

  • Indhari ya Ujerumani na Russia kuhusu hatari ya kutokea vita kati ya Marekani na Korea Kaskazini

    Indhari ya Ujerumani na Russia kuhusu hatari ya kutokea vita kati ya Marekani na Korea Kaskazini

    Aug 12, 2017 09:02

    Kuongezeka mivutano na kutoleana kauli za vitisho viongozi wa Marekani na Korea Kaskazini kumeitia wasiwasi mkubwa jamii ya kimataifa juu ya uwezekano wa kutokea vita katika eneo la Mashariki mwa Asia.

  • Marekani yaua raia 16 katika hujuma ya anga Afghanistan

    Marekani yaua raia 16 katika hujuma ya anga Afghanistan

    Aug 12, 2017 02:29

    Kwa akali raia 16 wameuawa kufuatia shambulizi la anga la muungano wa kijeshi wa nchi za Magharibi unaoongozwa na Marekani nchini Afghanistan.

  • Majibu ya Iran kwa Kongresi ya Marekani, Washington inavuruga usalama M. ya Kati

    Majibu ya Iran kwa Kongresi ya Marekani, Washington inavuruga usalama M. ya Kati

    Aug 11, 2017 21:48

    Kamati ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje ya Bunge la Iran imepasisha mpango kamili wa kukabiliana na chokochoko na ugaidi wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Nchi za Ulaya zaendelea kupinga vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia

    Nchi za Ulaya zaendelea kupinga vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia

    Aug 10, 2017 23:59

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Sigmar Gabriel amesema kuhusu vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia kwamba, hatua mpya za Marekani za kutaka kuibana zaidi Russia zinaweza kusababisha matatizo katika umoja wa nchi za Magharibi kuhusu mgogoro wa Ukraine.

  • Iran: US ijiandae kwa matokeo mabaya ikikiuka JCPOA

    Iran: US ijiandae kwa matokeo mabaya ikikiuka JCPOA

    Aug 09, 2017 03:08

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitahadharisha Marekani na matokeo mabaya itakayoyapata iwapo itaamua kukiuka makubaliano ya nyuklia ya Vienna.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS