-
Raia 30 wa Syria wauawa katika hujuma za ndege za muungano wa US
Aug 09, 2017 02:30Ndege za kivita za muungano unaoongozwa na Marekani zimeendeleza hujuma zake za kikatili, na mara hii zimeua raia 30 katika mji wa Raqqah kaskazini mwa Syria.
-
Seneta wa Republican awasilisha mpango mpya dhidi ya Iran kwenye Kongresi ya US
Aug 08, 2017 10:20Seneta Ted Cruz wa chama cha Republican amewasilisha mpango kwenye Kongresi ya Marekani wenye lengo la kuhakikisha raia wa nchi hiyo waliofungwa jela hapa nchini wanaachiwa huru na kurejeshwa Marekani bila ya masharti yoyote.
-
Qassemi: Pendekezo la Marekani la kutaka kutembelea vituo vya kijeshi vya Iran ni mzaha wa kisiasa
Aug 07, 2017 22:34Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelitaja pendekezo lililotolewa na Marekani la kutembelea vituo vya kijeshi vya Iran kuwa ni mzaha wa kisiasa.
-
Zaidi ya watu 230 wamepoteza maisha mwaka huu katika mpaka wa Marekani na Mexico
Aug 05, 2017 08:45Shirika la kimataifa linalojihusisha na masuala ya wakimbizi, limesema kuwa, zaidi ya watu 230 wamepoteza maisha yao mwaka huu pekee katika mpaka wa Marekani na Mexico tangu alipoingia madarakani Rais Donald Trump wa nchi hiyo.
-
Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani wakiri kuua mamia ya raia wa Syria na Iraq
Aug 04, 2017 22:09Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani katika kile kinachoitwa vita vya kupambana na ugaidi umetangaza katika takwimu zake za kila mwezi kuwa umeua raia 624 kwenye mashambulizi ya anga uliyofanya katika nchi za Iraq na Syria.
-
"Trump amewasaliti Wamarekani kwa kutafuta vita na Iran, Korea Kaskazini"
Aug 03, 2017 03:13Mbunge wa zamani wa Kongresi ya Marekani amesema Rais Donald Trump wa nchi hiyo amekiuka ahadi aliyotoa wakati wa kampeni za urais kwamba akiingia madarakani hataitumbukzia tena nchi hiyo katika vita.
-
Araqchi: Vikwazo vipya vya US vinalenga kuisambaratisha JCPOA
Aug 03, 2017 02:55Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani kusaini sheria ya vikwazo vipya dhidi ya Tehran ni njama ya Washington ya kutaka kusambaratisha makubaliano ya nyuklia ya Vienna yanayojulikana kwa kifupi kama JCPOA.
-
Iran: Yaishitaki Marekani kwa hatua yake ya kuiwekea vikwazo vipya Tehran
Aug 01, 2017 09:44Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran sambamba na kubainisha kwamba, ukiukaji wa makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kwa kifupi kama JCPOA uliofanywa na Marekani uko wazi, amesema kuwa Jamhuri ya Kiislam ya Iran imewasilisha mashitaka kwenda kwa baraza na kamisheni inayosimamia makubaliano hayo, kutokana na hatua ya Washington ya kuliwekea taifa hili vikwazo vipya.
-
Ayatullah Larijani: Wamarekani hawajajifunza kutokana na mapambano ya Wairani
Jul 31, 2017 10:42Mkuu wa Idara ya Mahakama nchini Iran amesema kuwa mfumo wa Kiislamu wa Iran kwa sasa ni imara na madhubuti zaidi kuliko wakati wowote mwingine na kuongeza kuwa: Wamarekani hawajapata ibra na mafunzo kutokana na muqawama na kusimama kidete kwa wananchi wa Iran katika kipindi chote cha miaka iliyopita.
-
Ndege za kivita za Marekani zaendelea kuua raia Syria
Jul 30, 2017 23:57Raia sita wameuawa na wengine zaidi ya kumi kujeruhiwa mashariki mwa Syria, katika mashambulizi ya ndege za kivita za muungano eti wa kupambana na Daesh (ISIS) unaoongozwa na Marekani.