Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Kiongozi: Hija ni fursa ya kutangaza msimamo kuhusu msikiti wa Al-Aqsa na uwepo wenye malengo maovu wa Marekani katika eneo

    Kiongozi: Hija ni fursa ya kutangaza msimamo kuhusu msikiti wa Al-Aqsa na uwepo wenye malengo maovu wa Marekani katika eneo

    Jul 30, 2017 10:45

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Hija ni fursa bora ya mahali na wakati kwa Umma wa Kiislamu kutangaza misimamo kuhusu kadhia ya Palestina, msikiti wa Al-Aqsa na uwepo wenye malengo maovu wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Kamal Kharrazi: Hatua za kihasama za Marekani dhidi ya Iran si jambo jipya

    Kamal Kharrazi: Hatua za kihasama za Marekani dhidi ya Iran si jambo jipya

    Jul 28, 2017 02:59

    Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Uhusiano wa Nje wa Iran amesema: Hatua za kihasama za Rais wa Marekani dhidi ya Iran ni siasa zilizoanza tangu mwaka 1979 wakati wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na zinaendelea hadi sasa.

  • Dakta Larijani: Iran imejiandaa kukabiliana na vikwazo vipya vya Marekani

    Dakta Larijani: Iran imejiandaa kukabiliana na vikwazo vipya vya Marekani

    Jul 27, 2017 23:03

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, Iran imejiandaa kikamilifu kukabiliana na vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya taifa hili.

  • Raia 29 wauawa katika jinai mpya za muungano unaoongozwa na Marekani nchini Syria

    Raia 29 wauawa katika jinai mpya za muungano unaoongozwa na Marekani nchini Syria

    Jul 27, 2017 03:34

    Raia 29 wa Syria jana waliuawa katika mashambulizi ya ndege za kivita za muungano eti wa kimataifa wa kupambana na Daesh unaoongozwa na Marekani. Mashambulizi hayo yalifanywa katika mji wa Raqqah kaskazini mwa Syria.

  • Boroujerdi: Marekani inapasa kuheshimu makubaliano ya kimataifa

    Boroujerdi: Marekani inapasa kuheshimu makubaliano ya kimataifa

    Jul 27, 2017 03:19

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa Marekani inapasa kujifunza maadili ya kisiasa kuhusu makubaliano ya kimataifa na kuheshimu makubaliano hayo.

  • Korea Kaskazini yaionya Marekani, yasema itaishambulia kwa nyuklia

    Korea Kaskazini yaionya Marekani, yasema itaishambulia kwa nyuklia

    Jul 27, 2017 00:13

    Korea Kaskazini imetangaza kuwa, ikiwa Marekani itafanya kosa kuishambulia kwa nyuklia, basi itapata jibu kama hilo.

  • Rais Hassan Rouhani: Iran itatoa jibu kali kwa Marekani

    Rais Hassan Rouhani: Iran itatoa jibu kali kwa Marekani

    Jul 26, 2017 09:23

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran itatoa jibu kali kwa hatua ya Marekani ya kupasishwa vikwazo vipya dhidi ya taifa hili.

  • Korea Kaskazini: Kutokuwa na umuhimu Marekani kuwapiga marufuku raia wake kuja kwetu

    Korea Kaskazini: Kutokuwa na umuhimu Marekani kuwapiga marufuku raia wake kuja kwetu

    Jul 25, 2017 23:06

    Shirika la ustawi wa kieneo la Wonsan Zone Development Corporation la Korea Kaskazini limetangaza kuwa, marufuku iliyotangazwa na Marekani ya kuwazuia raia wake kufanya safari nchini humo, haitakuwa na taathira yoyote kwenye sekta ya utalii.

  • Maduro: CIA inashirikiana na Mexico, Colombia dhidi ya Venezuela

    Maduro: CIA inashirikiana na Mexico, Colombia dhidi ya Venezuela

    Jul 25, 2017 09:43

    Rais wa Venezuela amesema Shirika la Kijasusi la Marekani CIA linashirikiana na Mexico na Colombia katika njama ya kuipindua serikali halali ya Caracas.

  • Ubaguzi dhidi ya wafungwa weusi waongezeka Marekani

    Ubaguzi dhidi ya wafungwa weusi waongezeka Marekani

    Jul 24, 2017 10:31

    Uchunguzi mpya umebaini kuwa, ubaguzi wa kimbari dhidi ya wafungwa weusi wenye asili ya Afrika umeongezeka nchini Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS