Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Jibu la Russia kwa vitisho vya Trump dhidi ya BRICS

    Jibu la Russia kwa vitisho vya Trump dhidi ya BRICS

    Feb 10, 2025 23:14

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetoa taarifa kuhusiana na tishio la Rais Donald Trump wa Marekani la kutoza ushuru wa asilimia 100 kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi za BRICS iwapo dola itafutwa katika mabadilishano ya kibiashara ya nchi hizo, na kusisitiza kuwa ushirikiano wa nchi wanachama wa BRICS unalenga kuimarisha uwezo wa kijamii, kiuchumi na kibinadamu wa nchi hizo.

  • Rais Pezeshkian: Iran itazima njama zote za maadui

    Rais Pezeshkian: Iran itazima njama zote za maadui

    Feb 10, 2025 07:57

    Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian anasema Jamhuri ya Kiislamu itafanya juu chini kuzima njama zote zinazopangwa na maadui dhidi ya taifa hili.

  • Trump: Canada 'haifai' kama nchi bila misaada ya Marekani

    Trump: Canada 'haifai' kama nchi bila misaada ya Marekani

    Feb 10, 2025 07:54

    Rais Donald Trump wa Marekani ameendelea kutoa kauli za dharau na kejeli dhidi ya nchi mbali mbali duniani, mara hii akiishambulia tena moja ya waitifaki wake, akisema Canada "haifai" kama nchi bila msaada wa kiuchumi na ulinzi wa kijeshi wa Marekani.

  • Ubadhirifu mkubwa Marekani, kila mwaka Idara ya Hazina inalipa dola bilioni 100 kwa watu hewa

    Ubadhirifu mkubwa Marekani, kila mwaka Idara ya Hazina inalipa dola bilioni 100 kwa watu hewa

    Feb 09, 2025 07:10

    Elon Musk, Mkuu wa Ofisi ya Ufanisi wa Serikali ya Marekani (DOGE) amesema kuwa, Idara ya Hazina ya nchi hiyo imegubikwa na ubadhirifu mkubwa na kwamba kila mwaka inalipa watu hewa dola bilioni 100 za Kimarekani.

  • Waafrika Kusini 'weupe' wakataa 'ofa' ya kuwa wakimbizi Marekani

    Waafrika Kusini 'weupe' wakataa 'ofa' ya kuwa wakimbizi Marekani

    Feb 09, 2025 03:42

    Raia wa Afrika Kusini wenye asili ya Uholanzi na nchi nyingine za Ulaya wamepuuzilia mbali mwito wa Rais Donald Trump, wa kwenda kuwa wakimbizi nchini Marekani, kwa madai ya kubaguliwa nchini Afrika Kusini.

  • Joseph Aoun: Kuondoka jeshi la Israel ni ufunguo wa kurejea amani Lebanon

    Joseph Aoun: Kuondoka jeshi la Israel ni ufunguo wa kurejea amani Lebanon

    Feb 08, 2025 04:33

    Rais wa Lebanon amesisitiza katika mazungumzo na Mjumbe wa Marekani kuwa amani itarejea kusini mwa Lebanon iwapo jeshi la utawala wa Kizayuni litaondoka katika eneo hilo.

  • Baqaei: Marekani imezilenga taasisi za kimataifa

    Baqaei: Marekani imezilenga taasisi za kimataifa

    Feb 08, 2025 04:14

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: Uraibu wa Marekani wa kutumia sheria nje ya mipaka yake, sasa umezilenga taasisi za kimataifa.

  • Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Kufanya mazungumzo na Marekani si jambo la werevu, mantiki, wala heshima

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Kufanya mazungumzo na Marekani si jambo la werevu, mantiki, wala heshima

    Feb 07, 2025 07:17

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika mkutano na makamanda na wafanyakazi wa Kikosi cha Anga na cha Ulinzi wa Anga vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba kufanya mazungumzo na Marekani si jambo la werevu, mantiki, wala heshima.

  • Kamanda Salami wa IRGC : Hatutasalimu amri mbele ya tishio lolote

    Kamanda Salami wa IRGC : Hatutasalimu amri mbele ya tishio lolote

    Feb 07, 2025 04:26

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC amesema nguvu za Iran na historia yake pana inaifanya isiweze kutetereshwa na mashinikizo ya nje.

  • Afrika Kusini: Hatutakubali kuburuzwa na Marekani

    Afrika Kusini: Hatutakubali kuburuzwa na Marekani

    Feb 07, 2025 04:25

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa, taifa hilo halitakubali kuburuzwa na kushinikizwa na maajinabi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS