Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Umoja wa Mataifa watoa onyo kali kuhusu kuongezeka majanga katika Ukanda wa Gaza

    Umoja wa Mataifa watoa onyo kali kuhusu kuongezeka majanga katika Ukanda wa Gaza

    Jun 20, 2024 22:44

    Francesca Albanese, Ripota wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Palestina, amesema katika taarifa kwamba hali ya maafa huko Ukanda wa Gaza imezidi kuwa mbaya. Kwa kauli yake, utawala haramu wa Israel unalenga misafara ya misaada ya kibinadamu inayotumwa Gaza na kuzuia ufikaji wa misaada katika ukanda huo.

  • Ndege za kivita za Marekani na Uingereza zashambulia tena magharibi mwa Yemen

    Ndege za kivita za Marekani na Uingereza zashambulia tena magharibi mwa Yemen

    Jun 18, 2024 04:46

    Ndege za kivita za Marekani na Uingereza kwa mara nyingine tena zimeshambulia kwa mabomu maeneo ya magharibi mwa Yemen.

  • HAMAS: Blinken amevuruga juhudi za usitishaji vita Gaza

    HAMAS: Blinken amevuruga juhudi za usitishaji vita Gaza

    Jun 13, 2024 04:11

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Anthony Blinken anabeba dhima ya kutofikiwa makubaliano tarajiwa ya kusitisha vita katika Ukanda wa Gaza.

  • Yaliyoifanya Marekani ipendekeze katika Baraza la Usalama la UN azimio la kusitishwa vita Ghaza

    Yaliyoifanya Marekani ipendekeze katika Baraza la Usalama la UN azimio la kusitishwa vita Ghaza

    Jun 12, 2024 22:40

    Marekani ambayo huko nyuma ilionyesha waziwazi kuwa ndiye muungaji mkono mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuyapigia kura ya turufu mara kadhaa maazimio tofauti ya Umoja wa Mataifa ya kusitisha vita katika Ukanda wa Ghaza, hatimaye siku ya Jumatatu Juni 10 iliwasilisha azimio jipya la usitishaji vita ambalo lilipitishwa na Baraza la Usalama kwa kura 14 kati ya 15 zilizounga mkono, ukiondoa Russia tu iliyoamua kutopiga kura.

  • Tehran yalaani taarifa ya chuki dhidi ya Iran iliyotolewa na marais wa Marekani na Ufaransa

    Tehran yalaani taarifa ya chuki dhidi ya Iran iliyotolewa na marais wa Marekani na Ufaransa

    Jun 11, 2024 03:54

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, amesema kuwa, yaliyomo katika taarifa ya chuki dhidi ya Iran iliyotolewa na marais wa Marekani na Ufaransa hayana msingi wowote bali yana malengo na misukumo ya kisiasa na ni mwendelezo wa siasa zilizoshindwa tangu zamani.

  • Yemen yashambulia kwa droni na makombora meli tatu ikiwemo ya Marekani kuunga mkono Ghaza

    Yemen yashambulia kwa droni na makombora meli tatu ikiwemo ya Marekani kuunga mkono Ghaza

    Jun 06, 2024 03:19

    Vikosi vya Jeshi la Yemen vimetekeleza operesheni mbili mpya za mashambulio kwa lengo la kuwaunga mkono Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza wanaohimili vita vya mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel, na operesheni ya tatu dhidi ya Marekani kujibu uchokozi wa nchi hiyo dhidi ya Yemen.

  • Polisi wa US wakamata waandamanaji 70 baada ya kuvamia ubalozi wa Israel, San Fransisco

    Polisi wa US wakamata waandamanaji 70 baada ya kuvamia ubalozi wa Israel, San Fransisco

    Jun 04, 2024 03:47

    Polisi wa Marekani katika mji wa San Fransisco wamewakamata waandamanaji wapatao 70 wanaotetea na kuunga mkono Palestina baada ya kuingia kwenye ukumbi wa ubalozi mdogo wa utawala wa Kizayuni wa Israel ulioko kwenye mji huo.

  • Adhabu kwa wanachuo wa Marekani wanaounga mkono Palestina

    Adhabu kwa wanachuo wa Marekani wanaounga mkono Palestina

    Jun 03, 2024 03:41

    Makumi ya wanachuo wa Chuo Kikuu cha Chicago nchini Marekani wameondoka katika chuo hicho wakipinga hatua ya bodi ya wakurugenzi ya kukataa kutoa shahada za wanafunzi wanaounga mkono Palestina.

  • Sanders: Inasikitisha kuona Netanyahu anaalikwa kuhutubia Kongresi ya US

    Sanders: Inasikitisha kuona Netanyahu anaalikwa kuhutubia Kongresi ya US

    Jun 02, 2024 06:58

    Seneta wa jimbo la Vermont nchini Marekani amewakosoa vikali viongozi wa Kongresi ya nchi hiyo kwa kumualika 'mtenda jinai' Waziri Mkuu wa utawala wa Israel, Benjamin Netanyahu kuhutubia kikao cha pamoja cha Baraza la Wawakilishi na Baraza la Seneti la Marekani.

  • Biden atangaza mpango wa kukomesha vita Ghaza, Netanyahu asisitiza vita vitaendelea

    Biden atangaza mpango wa kukomesha vita Ghaza, Netanyahu asisitiza vita vitaendelea

    Jun 01, 2024 07:13

    Ofisi ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu imesisitiza juu ya nia ya serikali ya Netanyahu ya kuendeleza mashambulizi ya kinyama dhidi ya Ukanda wa Ghaza hadi itakapohakikisha malengo yote ya vita ya Tel Aviv yamefikiwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS