-
Kuadhibiwa waungaji mkono wa Palestina katika vyuo vikuu vya Marekani
Nov 12, 2023 23:17Licha ya madai ya kuheshimiwa uhuru wa kujieleza katika nchi za Magharibi ikiwemo Marekani, lakini ukweli wa mambo ni kwamba kuna mistari miekundu katika uwanja huo, likiwemo suala la kutetea kadhia ya Palestina, ambapo waungaji mkono wa taifa hilo linalodhulumiwa hukabiliwa na vikwazo vya aina mbalimbali vikiwemo vya kuadhibiwa na kufungwa jela.
-
Maafisa zaidi ya 1,000 wa serikali ya Marekani wamwandikia barua Biden kumtaka akomeshe jinai za Wazayuni
Nov 12, 2023 03:24Wafanyakazi zaidi ya elfu moja wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani wamesaini barua ya wazi na kumpelekea rais wa nchi hiyo Joe Biden kumtaka asimamishe jinai na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na kusitishwa vita haraka katika Ukanda huo.
-
Utunishaji misuli wa China sambamba na harakati za Marekani katika Bahari ya China Kusini
Nov 09, 2023 23:22China imetuma meli yake ya kivita ya kubeba ndege ya Shangong katika Bahari ya China Kusini sambamba na kufanyika maneva ya baharini kati ya Marekani, Korea Kusini na Ufilipino.
-
Kituo cha jeshi la Marekani Iraq chashambuliwa, droni yake ya MQ-9 yatunguliwa Yemen
Nov 09, 2023 03:42Vikosi vya Muqawama wa Kiislamu nchini Iraq vimeishambulia kambi ya jeshi la anga inayohifadhi wanajeshi wa Marekani nchini humo. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari vya nchi hiyo.
-
Netanyahu akataa ombi la Biden la kusitisha mapigano kwa siku 3 huko Gaza
Nov 08, 2023 22:48Rais Joe Biden wa Marekani amemtaka Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa Israel asitishe mapigano kwa siku tatu ili kutatua suala la mateka. Kuhusiana na jambo hilo, Biden amesema katika mazungumzo ya simu yaliyofanyika siku ya Jumanne alimuomba Benjamin Netanyahu asitishe mapigano ili kuandaa uwanja wa kushughulikiwa suala la mateka wa Israel.
-
Netanyahu akataa usitishaji vita wa siku tatu
Nov 08, 2023 04:05Waziri mkuu wa Israel amekataa ombi la Biden la kusitisha vita kwa siku tatu.
-
Marekani na kukana mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza
Nov 07, 2023 23:11Zaidi ya mwezi mmoja umepita sasa tangu kuanza kwa vita vya Gaza na tangu kutekelezwa kwa operesheni ya "Kimbunga cha Al-Aqsa" huku utawala wa Kizayuni unaoendesha operesheni za ardhini katika Ukanda wa Gaza dhidi ya wapiganaji wa Hamas ukizidisha mashambulizi yake ya anga dhidi ya eneo hilo. Mashambulio hayo ya kinyama ya Israe; yameendelea kusababisha mauaji makubwa ya watu wanaodhulumiwa wa Ukanda wa Gaza.
-
Rais wa Iran: Kuendelea kwa mauaji ya Wapalestina kutaathiri ulimwengu
Nov 07, 2023 04:47Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inaunga mkono juhudi za pamoja za kimataifa kwa ajili ya usitishaji vita mara moja, kuondoa mzingiro na kutoa misaada kwa watu wanaodhulumiwa wa Ghaza na kusisitiza kuwa: Mauaji ya watu wa Palestina yameyakasirisha mataifa yote huru duniani, na kuendelea kwa mauaji haya kutakuwa na matokeo mabaya hadi nje ya kanda ya Magharibi mwa Asia.
-
Kuongezeka upinzani dhidi ya vitendo vya kijinai vya utawala wa Kizayuni katika nchi za Magharibi
Nov 06, 2023 23:01Mwezi mmoja ukiwa umepita tangu kujiri operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa na utawala wa Kizayuni kuanzisha mashambulizi makali ya mabomu ambayo hajawahi kushuhudiwa tena huko Ghaza, ambayo yamepelekea kuuawa shahidi na kujeruhiwa makumi ya maelfu ya Wapalestina, wengi wao wakiwa ni watoto na wanawake, mwenendo wa upinzani dhidi ya vitendo hivyo vya jinai vya Israeli, umeongezeka sana duniani ikiwa ni pamoja na nchini Marekani, ambayo ni mwitifaki mkubwa wa Tel Aviv.
-
Kata'ib Hizbullah: Ziara ya Blinken nchini Iraq haikubaliki
Nov 05, 2023 23:30Harakati ya Muqawama ya Kata'ib Hizbullah ya Iraq imetishia kushadidisha hali ya taharuki iwapo Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Anthony Blinken atafanya safari ya kuitembelea Baghdad.