-
Je, Marekani itaiondoa Cuba kwenye Orodha ya Nchi Zinazounga Mkono Ugaidi?
Jan 17, 2025 10:25Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa rais wa nchi anayeondoka mamlakani Joe Biden, ataiondoa Cuba kwenye orodha ya nchi zinazounga mkono ugaidi.
-
Cuba yalaani jinai za Marekani katika Hori ya Guantanamo
Jan 12, 2022 12:06Cuba imelaani kuendelea kuwepo Jeshi la Marekani katika Hori ya Guantanamo iliyo mashariki mwa nchi hiyo ya Amerika ya Latini, huku ukiwa umewadia mwaka wa 20 tokea gereza la kugofya la Marekani lifunguliwe katika eneo hilo.
-
Cuba na siasa za kindumilakuwili na za kiuadui za Marekani
Sep 01, 2020 02:35Kwa muda mrefu Marekani imeiwekea vikwazo na mashinikizo ya kila namna nchi ya Cuba huko Amerika ya Latini kwa visingizio mbalimbali kama vile kutochunga Havana haki za binadamu, misingi ya demokrasia na madai mengine kama hayo ambayo hayana mashiko.
-
Fidel Castro: Cuba haihitajii misaada ya Marekani
Mar 28, 2016 23:07Rais wa zamani wa Cuba Fidel Castro amesema nchi yake inaweza kujitegemea na hivyo haijitajii misaada yoyote kutoka Marekani.
-
Safari ya Rais wa Marekani nchini Cuba
Mar 21, 2016 11:48Rais Barack Obama wa Marekani Jumapili ya jana aliwasili Havana mji mkuu wa Cuba katika safari ya kihistoria.