-
Umoja wa Mataifa: Mashambulizi ya anga ya Israel nchini Syria lazima yasitishwe
Dec 20, 2024 07:59Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, mashambulizi ya anga ya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Syria ni ukiukaji wa mamlaka ya kujitawala na utimilifu wa ardhi ya nchi hiyo.
-
Wapalestina 37 wauawa shahidi katika mashambulio ya Israel huko Gaza
Apr 28, 2024 07:20Wapalestina 37 wameuawa shahidi katika mashambulio ya anga ya utawala wa Kizayuni wa Israel katikati na kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Umoja wa Mataifa wabainisha 'wasiwasi mkubwa' kuhusu Israel kuua wafanyakazi wa misaada Gaza
Apr 12, 2024 07:27Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limesema limetiwa "wasiwasi mkubwa" na shambulio la anga la hivi karibuni lililofanywa na utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza na kuua wafanyakazi saba wa shirika la misaada lenye makao yake makuu nchini Marekani.
-
Mashambulizi makubwa dhidi ya Iraq na Syria; Chokochoko mpya za Marekani eneo la Asia Magharibi
Feb 04, 2024 02:37Marekani ambayo kwa miaka kadhaa sasa imevuruga amani ya eneo la Magharibi mwa Asia kutokana na uwepo wake wa kijeshi katika eneo hilo ili kufanikisha malengo yake na ya washirika wake, imekuwa ikiyumbisha usalama wa eneo hilo nyeti na muhimu kwa kufanya mashambulizi na uvamizi wa mara kwa mara.
-
Hatua mpya za kivita na kichokozi za nchi zaMagharibi katika eneo la Asia Magharibi
Jan 25, 2024 02:55Marekani ikiwa ni mshirika wa kistratijia wa utawala wa Kizayuni wa Israel, ili kudumisha usalama, maslahi ya kiuchumi na kibiashara ya utawala huo katika Bahari Nyekundu, katikati ya mwezi wa Disemba mwaka jana, ilitangaza kuundwa muungano wa baharini lakini muungano huo haukuungwa mkono na nchi za Ulaya isipokuwa Uingereza.
-
Israel yaendeleza mashambulizi yake ya anga na mizinga Ukanda wa Gaza leo Ijumaa
Jan 05, 2024 12:21Ndege za kivita na mizinga ya utawala wa Kizayuni kwa mare nyingine tena leo Ijumaa zimeyashambulia maeneo mbalimbali ya Ukanda wa Gaza.
-
Iran yazima mashambulio ya droni katika mkoa wa Isfahan
Jan 29, 2023 12:43Wizara ya Ulinzi ya Iran imesema vyombo vya usalama vya Jamhuri ya Kiislamu vimefanikiwa kuzima mashambulio ya ndege zisizo na rubani (drone) dhidi ya kituo cha kijeshi katika mji wa Isfahan, katikati mwa nchi.
-
Mashambulizi haramu ya Marekani nchini Syria, nembo ya ubeberu wa Washington
Aug 27, 2022 03:24John Kriby, mratibu wa mahusiano ya kiistratijia ya baraza la usalama wa taifa la ikulu ya Marekani, White House amejaribu kuhalalalisha mashambulio haramu ya nchi yake huko Syria na kudai kuwa, eti Washington haina nia ya kuzidisha machafuko katika eneo hili.
-
Kufichuliwa jinai za kivita za jeshi la Marekani nchini Syria
Nov 14, 2021 11:12Gazeti la New York Times limetoa ripoti inayoonyesha kuwa, jeshi la Marekani limetenda uhalifu wa kivita kwa kuua makumi ya wanawake na watoto katika mashambulio ya anga liliyofanya nchini Syria kwa kisingizio cha kile kinachoitwa mapambano dhidi ya kundi la DAESH (ISIS).
-
Muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia waendeleza hujuma za kijeshi dhidi ya Yemen
Jul 16, 2021 08:11Muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na utawala vamizi wa Saudi Arabia umeendelea kuyashambulia maenro mbalimbali ya Yemen.