-
Ungamo la kihistoria la Trump: Lilikuwa kosa kubwa Marekani kujiingiza Mashariki ya Kati
Aug 23, 2018 01:39Rais wa Marekani amesisitiza kwa mara nyingine tena kuwa lilikuwa kosa tangu awali kwa vikosi vya nchi hiyo kuwepo katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Palestina yaitaka China isaidie utatuzi wa mgogoro wa Mashariki ya Kati
Jul 14, 2018 14:10Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Palestina ameashiria njama na hatua za ukwamishaji mambo za Marekani katika kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Mashariki ya Kati na kuitaka China isaidie juhudi za kuupatia ufumbuzi mgogoro huo.
-
Iran: Daesh ni silaha ya Marekani dhidi ya usalama wa Mashariki ya Kati
May 13, 2018 07:42Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelitaja kundi la kigaidi na kitakfri la Daesh (ISIS) kama chombo cha Marekani na madola mengine ya kibeberu cha kuvuruga usalama katika eneo hili la Mashariki ya Kati.
-
Papa Francis atoa wito wa kurejeshwa amani Mashariki ya Kati
Apr 01, 2018 17:09Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ametoa wito wa kurejeshwa amani katika eneo la Mashariki ya Kati ikiwemo Syria na Yemen.
-
Iran: Hatufanyi mazungumzo na EU kuhusu kuimarika ushawishi wetu M/Kati
Mar 04, 2018 03:32Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekadhibisha ripoti zilizodai kuwa Tehran na nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya EU zimeanza kufanya mazungumzo kuhusu nafasi ya taifa hili katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Tahadhari ya Sayyid Nasrulah kuhusu njama za Marekani Mashariki ya Kati
Feb 18, 2018 03:12Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa eneo lote la Mashariki ya Kati limekuwa medani ya vita vya mafuta na gesi. Sayyid Hassan Nasrullah ameyasema hayo wakati alipokuwa akizungumzia hitilafu za mpaka wa Lebanon na utawala wa kizayuni wa Israel na mivutano ya pande hizo mbili juu ya vyanzo vya mafuta na gesi katika maji ya pwani ya eneo hilo.
-
Velayati: Muqawama utawatimua Marekani, Wazayuni Euphrates Mashariki
Feb 17, 2018 17:11Afisa wa ngazi za juu nchini Iran amesema harakati ya muqawama katika eneo itaitimua Marekani na utawala haramu wa Kizayuni kutoka eneo la Mashariki mwa Mto Euphrates ambao unatiririka kutoka Uturuki na kupitia Syria hadi Iraq.
-
Unicef: Makumi ya watoto wameuawa Mashariki ya Kati tangu Januari mwaka huu
Feb 06, 2018 07:44Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, watoto wasiopungua 87 wameuawa katika eneo la Mashariki ya Kati katika mwezi mmoja uliopita katika mapigano yanayotokea kwenye nchi za eneo hilo.
-
Rouhani: Taifa la Iran haliwezi kusahau uvamizi wa Marekani katika eneo
Feb 01, 2018 13:59Katika kile kinachoonekana ni radiamali kwa matamshi ya kinafiki ya hivi karibuni ya Rais Donald Trump wa Marekani, Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katu taifa hili haliwezi kusahau vitendo vya kivamizi vya Marekani katika eneo hili la Mashariki ya Kati.
-
The Independent: Bin Salman ndiye 'shakhsia wa mwaka' kwa mapungufu
Dec 17, 2017 08:05Mwandishi mashuhuri wa habari wa gazeti la The Independent la Uingereza kwa njia ya kinaya amemuarifisha Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman kuwa 'shakhsia wa mwaka' kutokana na kufeli sera zake katika eneo la Mashariki ya Kati.