-
Marekani yaionya Saudia dhidi ya mienendo yake Mashariki ya Kati
Dec 09, 2017 07:23Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani ameitahadharisha Saudi Arabia juu ya matokeo mabaya ya vitendo vyake katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Marekani yaongeza idadi ya wanajeshi wake kwa asilimia 33 Mashariki ya Kati
Nov 24, 2017 04:16Idadi ya wanajeshi wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati wameongezeka kwa asilimia 33 katika kipindi cha miezi minne iliyopita.
-
Mtazamo wa Iran kuhusu njia za kuleta usalama Asia Magharibi (Mashariki ya Kati)
Nov 16, 2017 07:44Sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) zimejengeka katika msingi wa kuleta amani, uthabiti na utulivu. Iran inafualitia sera za kupunguza migogoro na malumbano katika eneo na inashiriki katika mipango yote yenye kufikia lengo hilo.
-
Siri yafichuka, Saudia na Israel zinataka kuanzisha vita Mashariki ya Kati
Nov 10, 2017 15:03Imebainika kuwa, utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel zinapanga njama ya kuanzisha vita katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Seneta McCain: Iran itaitimua Marekani Mashariki ya Kati
Oct 26, 2017 15:11John McCain, Mkuu wa Kamati ya Vikosi vya Ulinzi ya Seneti ya Marekani ameiasa serikali ya Washington iwe na stratijia inayofahamika ya kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vinginevyo, Iran itaitimua Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Rais Putin: Machafuko eneo la Mashariki ya Kati yanasababishwa na kupenda kujitanua kwa baadhi ya pande.
Oct 20, 2017 04:50Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa, hali ya sasa ya eneo la Mashariki ya Kati imekuwa mbaya kutokana na njama za baadhi ya madola katika kulisukuma eneo hilo kuelekea kwenye maslahi yao binafsi.
-
Rouhani: Kuanzisha vita hakutakuwa na manufaa kwa nchi yoyote M/Kati
Oct 11, 2017 08:16Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuhusu taathira hasi za kuanzishwa vita na kuibuliwa mifarakano zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Rouhani: Kuanzishwa vita hakutainufaisha nchi yoyote Mashariki ya Kati
Oct 11, 2017 04:53Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuhusu taathira hasi za kuanzishwa vita na kuibuliwa mifarakano zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Zarif: Iran inataka suluhu, uthabiti na usalama katika eneo
Oct 10, 2017 16:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, kwa muda sasa eneo la Mashariki ya Kati limekumbwa na machafuko na ukosefu wa uthabiti baada ya vikosi vya kijeshi vya kigeni kuanza kuingilia masuala ya eneo hili na amesisitiza kwamba Tehran inataka suluhu, uthabiti na amani vitawale katika mataifa yote ya eneo hili.
-
Uwezo wa kiulinzi wa Iran kwa ajili ya kukabiliana na mipango ya Marekani
Sep 17, 2017 02:36Kamanda wa kikosi cha anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema kuwa Marekani ilikuwa na mipango muhimu kwa ajili ya eneo la Mashariki ya Kati ambayo hata hivyo imefelishwa na kuzimwa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu.