-
Sababu za kimsingi za umasikini wa watoto katika Mashariki ya Kati
May 19, 2017 02:49Utafiti uliofanywa na Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF katika nchi 11 za Mashariki ya Kati unaonyesha kuwa, kwa akali watoto milioni 29 ambao ni robo ya watoto wote wa eneo hili wanaishi katika umasikini.
-
Sababu za kimsingi za umasikini wa watoto katika Mashariki ya Kati
May 19, 2017 02:48Utafiti uliofanywa na Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF katika nchi 11 za Mashariki ya Kati unaonyesha kuwa, kwa akali watoto milioni 29 ambao ni robo ya watoto wote wa eneo hili wanaishi katika umasikini.
-
Iran: Marekani ichunge mienendo yake katika Ghuba ya Uajemi
Mar 26, 2017 03:40Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu limeionya vikali Marekani na kuitaka iwe makini katika harakati zinazofanywa na vikosi vyake vya majini katika Ghuba ya Uajemi.
-
Waislamu wa Kishia Saudi Arabia wakandamizwa na kunyimwa haki zao za kiraia
Jan 04, 2017 12:31Katika mwaka wa kwanza wa kumbukumbu ya kuuawa shahidi Sheikh Nimr Baqir Al Nimr, mwanazuoni maarufu wa Kiislamu Saudi Arabia, Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo katika eneo la Al Awamiya mashariki mwa nchi hiyo, wametangaza utiifu wao kwa malengo yake matukufu huku wakiutaka utawala wa ukoo wa Al Saud usitishe sera zake za kuwabagua Mashia.
-
Rais wa Lebanon apongeza nafasi ya Iran katika eneo
Dec 24, 2016 07:49Rais Michel Aoun wa Lebanon amepongeza na kusifu nafasi ya Iran katika eneo la Mashariki ya Kati na kubainisha kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imechangia pakubwa kupatiwa ufumbuzi migogoro mbalimbali katika eneo.
-
Hizbullah: Tuna matumaini ya kuwa na "Mashariki ya Kati Yenye Muqawama"
Nov 19, 2016 15:39Sayyid Hashim Safiyyuddin, mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema ushindi na kujitolea mhanga Ulimwengu wa Kiislamu na Kiarabu kutawezesha kujengwa mustakabali wenye kung'ara kwa Umma wa Kiislamu na kuanzishwa "Mashariki ya Kati Yenye Muqawama".
-
Rouhani: Uingiliaji wa kigeni umeleta mgawanyiko Mashariki ya Kati
Nov 02, 2016 04:37Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema matatizo yanayolikabili eneo hili la Mashariki ya Kati yamesababishwa na uingiliaji unaofanywa na nchi za kigeni katika masuala ya ndani ya nchi za eneo hilo.
-
Duff: Kuchaguliwa Aoun kunaonesha Saudia inazidi kupoteza ushawishi
Nov 01, 2016 15:08Gordon Duff, Mhariri Mwandamizi wa jarida la Veterans Today la Marekani na pia mchambuzi wa masuala ya siasa amesema hatua ya Lebanon kupata rais mpya ni dhihirisho kuwa Saudi Arabia inazidi kupoteza ushawishi wake katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Jafarov: Aal Saudia ni watekelezaji wa njama za Wazayuni dhidi ya Waislamu duniani
Sep 10, 2016 14:01Mtaalamu wa masuala ya Mashariki ya Kati amesema kuwa, utawala wa Aal Saud nchini Saudia ni watekelezaji wa njama chafu za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Waislamu duniani.
-
"Silaha za Marekani zinachochea ugaidi Mashariki ya Kati"
Aug 18, 2016 14:21Mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha Kijani nchini Marekani amesema kuna haja ya kuwekewa vikwazo vya silaha nchi zinazochochea machafuko na ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati na kusisitiza kuwa, Washington imechangia pakubwa hali ya mchafukoge na harakati za ugaidi katika nchi za eneo hilo.